Elections 2015 Mwigulu Nchemba: Huu Unyama Una baraka zote za Dr. Slaa na genge lake

Kila kampeni za uchaguzi amekua akitembea na kinyago chake Hana sera gaidi huyu mwegulu
 
musa tesha inasemekana alimwagiwa tindikali na ccm wenzake kwa kuwarusha pesa za mgawo wa uchaguzi.
 
Siyo wewe ambaye kuna doctor mmoja aliwahi kutueleza magonjwa yako ushapona ili uwe credible?Tunawaogopa sana wagonjwa wa akili,vp huko ccm hauogopwi?Maana mtu kama Mwigulu na aliyemrundikia vyeo sidhani kama wazima

Hajapona bado, na hawezi kupona kirahisi kwa kuwa ana laana ya kula rambirambi pia.
 
Mwigulu Nchemba amesema dhambi ya Mauaji na Unyama unaoendelea kwenye mikutano ya siasa na maeneo mbalimbali haitamwacha Dr.slaa Salama kutokana na yeye kuwa kiongozi anayebariki Siasa chafu hizo.
Chanzo:Kalenga



Hivi yule mwenyekiti wa CHADEMA TEMEKE MZIMA? hawa watu ni hatari sana, nami nataka kutoa ripoti polis kwani kuna watu wananifuatilia,,,lol!!!!
 

Huyu Mwigulu ni Waziri. ambaye ni sehemu ya serikali. na kauli ya waziri ni kauli ya serikali. sasa kama serikali inaishia kulalamika majukwaani badala ya kuchunguza na kumbaini mhalifu, basi majanga.
 
Huwa nasemaga kila siku "Mwigulu Nchemba ni mwehu sana"!
 
Mbona mnatuchanganya.Kata ya Ifakara na jimbo la Kalenga wapi na wapi yarabi!!?Kuweni makini,Ifakara ni makao makuu ya wilaya Kilombero,mkoani Morogoro,Kalenga iko Iringa.
Msiwape CcM pointi za kutukandia kuwa CHADEMA hatujasoma?Makosa kama hili ni hoja ya kuwapumbazia wapiga kura kwao CcM
 
Mwigulu akili hana,.Tena akajipange upya!Asituchafulie CHADEMA yetu kwanza ushahidi hana!
 
kumbe jamaa alikua Milembe? tumsamehe bure

Nashauri. Mwigulu tulia ofsini fanya kazi za kukuza uchumi na sio kukuza uchuki na uzandiki. Hii nchi bwana imeliwa sasa waziri mzima anazunguka nyumba kwa nyumba kupiga kampeni. Umaskini hautakwisha bila ccm.kuwajibishwa na upinzani. Jifunzeni uingeteza, marekani etc. bila upinzani mahiri serikali inalala na watu watahamisha ofisi makwao. Niwasisitize wana upinzani kazeni buti. Haki haiji kirahisi bali kwa jasho.......sio lelemama..so upinzani.msilale komboeni wanyonge. Msiogope vitisho ....mnatakiwa kuiadhibu serikali ili ijitambue.
 

M
wigulu nchemba akumbwa na zomea zomea mbaya kalenga,tukiwa katika kijiji cha kidamali kata ya nzihi kwenye mazishi ya wanachama wetu wa chadema wawili walio kufa kwa ajari ya lori jana mwigulu amekutwa na kasumba hii ya zomea zomea ya wananchi baada ya kuanza kumnadi mgombea wa ccm mtoto wa mgimwamy take: wana kalenga wamekataa utawala wa kifalme poleni sana wafiwa;

chanzao chadema kalenga
 
Chris, Mwigulu, na MaCCM mnafikiri WaTZ ni wajinga??
Dr Slaa anamiliki jeshi la Polisi, mahakama, TISS ?? Ana ubavu gani wa kushinda Serikali??
Mauwaji mfanye nyinyi mmsingizie Mzee wa watu??
Arusha mmeuwa, tena kwa mabomu, Igunga mkauwa, Morogoro mkauwa, Iringa Nyororo mkauwa Mwangosi kwa bomu!!
Bado tuu hamjatosheka, damu za watu zinawalilia makaini nyinyi!!
Watu wamewachoka, subiri hukumu yenu inakuja!!
 
Wakome nao kwa wizi wa kura, hata huku njombe wakati wa uchaguzi mdogo ngazi ya kata kuna vijana wawili walikuwa na kura 400 zikiwa zimetikiwa ccm, walipokamatwa walipigwa nusu ya kuuawa, hivyo wakati mwingine ccm ndio chanzo cha huo ulemavu. Kati ya hao wawili kuna msanii mmoja anaitwa b alone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…