Mwigulu Nchemba kuongoza Wizara ya fedha ni pigo kubwa kwa Wafanyabiashara na Walipa kodi

Mwigulu Nchemba kuongoza Wizara ya fedha ni pigo kubwa kwa Wafanyabiashara na Walipa kodi

Naunga mkono bajeti hii, ili tufikie malengo nilazima tuchangie. Bajeti imegusa Kila mtanzania Kwakumpa maisha hora na salama
 
Mwigulu atafanya kazi vizuri sasa kuliko awamu iliyopita.

Rais Samia sio kama hayati aliyekuwa hawapi nafasi mawaziri wake waweze kuzitumia vyema elimu na ubunifu walionao.

Huyu Mama atawapa mawaziri uhuru na watafanya kazi bila ya hofu ya kupigiwa simu za matusi saa nane usiku.
 
Tozo ya shiling 0 hadi 200 kila lain ya sim sijaelewa kwan makampuni haya lip kodi si lain zao inakuwaje mwananchi wa kawaida atozwe
Pili swala la posho kwa madiwani hivi mnadhani wasomi ni wajinga kukimbilia siasa sekta ya Elimu haina marupu rupu ndio sekta pekee yenye kila misuko suko na ndio sekta pekee ambayo imezaraulika na kuzalisha watu kama kina mwigulu
Tatu kwa nn asipende keze kila mbunge kwenye vikao vyao wakatwe Elfu 50000 au serikali iwaingize kwenye mfumo wa paye ili wakatwe kodi wajue maumivu
 
Tatizo hujui serikali inaendeshwaje? Hii budget inapitishwa na serikali na waziri wa fedha ni msomaji tu
Sijui ! hivi mtu wa kiwango cha kugombea ubunge aweza asijue serikali inavyoendeshwa ? halafu ni kikao gani cha serikali nzima kilichokaa na kuamua kuiba hela za wafanyabiashara kwenye akaunti zao ?
 
Sijui ! hivi mtu wa kiwango cha kugombea ubunge aweza asijue serikali inavyoendeshwa ? halafu ni kikao gani cha serikali nzima kilichokaa na kuamua kuiba hela za wafanyabiashara kwenye akaunti zao ?
Hivi kugombea hata ambaye hakwenda shule bali anajua kusoma na kuandika anagombea. Hata Mbowe hajui jinsi serikali inavyoendeshwa maana hajawahi kuwa hata assistant director. Achana na mpuuzi Tundu Lissu maana hata faili hajawahi kuligusa la serikali. Budget iliyosomwa leo lazima Samia apitie ukurasa kwa ukurasa maana ni yake
 
Back
Top Bottom