Mwigulu Nchemba kuongoza Wizara ya fedha ni pigo kubwa kwa Wafanyabiashara na Walipa kodi

Mwigulu Nchemba kuongoza Wizara ya fedha ni pigo kubwa kwa Wafanyabiashara na Walipa kodi

Wizara hii muhimu ilihitaji Waziri msikivu asiyejikweza kwa kiburi cha madaraka
tatizo la Mwigulu ndio hilo hapo juu. Huyu mtu bado anajiona anafaa kuja kuwa raisi. hafai na ashukuru kuwa anaongoza watu wa jimbo la singida ingekuwa mikoa inayojitambua asingepata!
 
Nadhani kuna haja ya wana JF kuwa tunazingatia sana baadhi ya maandiko yanayowekwa humu
 
Mungu ibariki JF
Tumeridhia mafuta kupanda ili matajiri wenye magari waishi kama mashetani "mashetani huenda ni maskini" na tumeridhia tozo ipande kwa asilimia mia , alafu tushushe kwa asilimia 10 ibaki 90 alafu "wanyonge wapige makalio kushangilia"

ATCL imepata asara ya bilioni 400 hiyo watalipa matajiri, wanyonge haiwahusu.!

Niwakumbushe "Wanyonge wasizae mtoto kama HAMZA"
 
Tmeridhia mafuta kup[anda ili matajiri wenye magari waishi kama mashetani "mashetani huenda ni maskini" na tumeridhia tozo ipande kwa asilimia mia , alafu tushushe kwa asilimia 10 ibaki 90 alafu "wanyonge wapige makalio kushangilia"

ATCL imepata asara ya bilioni 400 hiyo watalipa matajiri, wanyonge haiwahusu.
😆😆😆
 
Back
Top Bottom