pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
tatizo la Mwigulu ndio hilo hapo juu. Huyu mtu bado anajiona anafaa kuja kuwa raisi. hafai na ashukuru kuwa anaongoza watu wa jimbo la singida ingekuwa mikoa inayojitambua asingepata!Wizara hii muhimu ilihitaji Waziri msikivu asiyejikweza kwa kiburi cha madaraka
Hii nchi ina bahati mbaya sana !tatizo la Mwigulu ndio hilo hapo juu. Huyu mtu bado anajiona anafaa kuja kuwa raisi. hafai na ashukuru kuwa anaongoza watu wa jimbo la singida ingekuwa mikoa inayojitambua asingepata!
Mkuu wewe ni nabii ?Kwa hali ilivyo,Mwigulu atapwaya!
Sioni mwanga bora siku zijazo.
Muda utasema
Huyu Waziri wa Fedha bila kuwekwa kando,hii ngoma haitatulia.Amesha haribu kabisaa,na anaendelea kuitibua.Tuongeze mda,tutaona.Nadhani kuna haja ya wana JF kuwa tunazingatia sana baadhi ya maandiko yanayowekwa humu
Biashara gani unafanya?Kama pesa yako safi hakuna cha kuogopa bwashee. Tatizo mnaishi kwa magendo.
Mbona sisi tunafanya biashara na tunaelewa nia njema ya serikali.
akikutajia nistueBiashara gani unafanya?
Tumeridhia mafuta kupanda ili matajiri wenye magari waishi kama mashetani "mashetani huenda ni maskini" na tumeridhia tozo ipande kwa asilimia mia , alafu tushushe kwa asilimia 10 ibaki 90 alafu "wanyonge wapige makalio kushangilia"Mungu ibariki JF
πππTmeridhia mafuta kup[anda ili matajiri wenye magari waishi kama mashetani "mashetani huenda ni maskini" na tumeridhia tozo ipande kwa asilimia mia , alafu tushushe kwa asilimia 10 ibaki 90 alafu "wanyonge wapige makalio kushangilia"
ATCL imepata asara ya bilioni 400 hiyo watalipa matajiri, wanyonge haiwahusu.
Vipi bado upo na msimamo wako? Au hayatuhusu? πKama hatukuunga juhudi wakati wa kutekwa ndio tuunge leo ?