tpaul
JF-Expert Member
- Feb 3, 2008
- 24,225
- 22,632
Huyu Mwigulu ni hatari sana; hafai. Kila mtandao ninaofungua nakuta anapingwa kwa nguvu zote. Tukumbuke kuwa enzi za uwaziri wake alikuwa kinara wa kuwabambika kodi wafanyabiashara na aliua biashara nyingi sana hadi JPM akaamua kumuondoa pale. Sijui mama Samia ametumia kigezo gani kumpa kumteua huyu jamaa lakini nadhani ataiharibu sana hii wizara.