Responded Mwigulu Nchemba: Maveterani wa Vita ya Kagera wataanza kulipwa mwaka huu wa fedha

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchembaakiwa Bungeni leo Septemba 3, 2026 amezungumzia malipo ya wanajeshi waliopigana katika Vita ya Kagera Mwaka 1978.

Pia soma ~Mafao ya Wanajeshi waliopigana vita ya Kagera imekuwa ahadi isiyotekelezeka

Mara kadhaa Wadau mbalimbali wamekuwa wakihoji kuhusu malipo hayo kusuasua na kwamba si mara ya kwanza kwa Serikali kuahidi kuwa watalipwa lakini ahadi haikamiliki.

Pia soma
~
Mwigulu: Maveterani wa Vita vya Kagera kuanza kulipwa Pensheni zao
~ Mwigulu: Maveterani wa Vita vya Kagera kuanza kulipwa Pensheni zao
~ Sijalipwa malipo yangu ya Vita ya Kagera, kila nikifuatilia naambiwa hakuna anayedai
 
Wakati unaenda vitani 1978/79 ukiwa na umri wa miaka 23. Fasfoward 2026 unalipwa ukiwa na miaka 70. Si mbaya kuliko kukosa!! Vipi na wale waliofariki, familia zao zitalipwa?
 
Wale waliofariki watalipwa? Maana babu yangu naye alishiriki katika kumfurusha Iddi.
 
Kheeeh vipi walio fariki? Nao stahiki zao? Babu zangu wote walishiriki hiyo VITA na wote wameshaondoka Duniani, vipi stahiki zao??
 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchembaakiwa Bungeni leo Septemba 3, 2026 amezungumzia malipo ya wanajeshi waliopigana katika Vita ya Kagera Mwaka 1978.

Pia soma ~Mafao ya Wanajeshi waliopigana vita ya Kagera imekuwa ahadi isiyotekelezeka

Mara kadhaa Wadau mbalimbali wamekuwa wakihoji kuhusu malipo hayo kusuasua na kwamba si mara ya kwanza kwa Serikali kuahidi kuwa watalipwa lakini ahadi haikamiliki.

Pia soma
~
Mwigulu: Maveterani wa Vita vya Kagera kuanza kulipwa Pensheni zao
~ Mwigulu: Maveterani wa Vita vya Kagera kuanza kulipwa Pensheni zao
~ Sijalipwa malipo yangu ya Vita ya Kagera, kila nikifuatilia naambiwa hakuna anayedai
Politics,wengi walishakufa na walio hai ni wazee sana. Serkali ilipaswa kuwalipa mapema wakiwa angali na nguvu.

Hawa watu wametesema sana na baadhi yao waliachwa na elemavu kutoka na vita.

Na kwa upande wangu sioni dhamira ya dhati ya kulipa hawa wazee.
 
Leo ndiyo wanakumbuka wakati wengine walishakufa na wengine ni wazee?
 
Hizo hela zingeweka Bomba la Maji kutoka Victoria mpaka Dodoma hao wa mikoa ya njiani watawanyishe wenyewe maji mikoani kwao...
Maveteran wawe wazalendo kwa maendeleo ya nchi..
 
Ukiangalia hela zinazoliwa na mafisadi na matumizi yasiyo na tija kwenye idara za serkali,ukifikiria kuna wazee wanaodai malipo yao tokea miaka ya themanini(tunazungumzia miaka 40 na zaidi) roho inauma sana.
Matendo kama haya yanavunja moyo na kupunguza uzalendo.
 
Hata hawa wanaotumwa kuteka nao watalipwa wakikalibia kufa au kupalalaiz mimi sometime kuna wazee watumishi wastaafu siwaonei hurua maana wengiwao huona bila wao kusingekua na tz na yawezekana waliwanyanyasa sana wazee wenzao
 
Hizo hela zingeweka Bomba la Maji kutoka Victoria mpaka Dodoma hao wa mikoa ya njiani watawanyishe wenyewe maji mikoani kwao...
Maveteran wawe wazalendo kwa maendeleo ya nchi..
Kama mtu anaweza kudai haki yake na asiipate wa wakati na kwa thamani inayopaswa na huku ni kijana na matendo aliyotendewa ni bayana sembuse hawa wazee.
Kusema kweli inauma sana.
 
Kheeeh vipi walio fariki? Nao stahiki zao? Babu zangu wote walishiriki hiyo VITA na wote wameshaondoka Duniani, vipi stahiki zao??
Ndiyo maana malipo yanachelewa ili wafe wengi na watakaolipwa ni wachache. Hii ni mbinu za kubana matumizi.
 
50 years later, 90% plus walishadedi kitambo, watazipiga zote kwa list fake waliyojitengenezea, mamake CCM
 
Politics,wengi walishakufa na walio hai ni wazee sana. Serkali ilipaswa kuwalipa mapema wakiwa angali na nguvu.

Hawa watu wametesema sana na baadhi yao waliachwa na elemavu kutoka na vita.

Na kwa upande wangu sioni dhamira ya dhati ya kulipa hawa wazee.
Heri chochote kitu Kwa waliobaki kuliko kutokuwa na kitu kabisa.
 
Back
Top Bottom