Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Ushaliwa. Yaani Ushaamini watalipwa? Nimekaa palesafi sana
Politics,wengi walishakufa na walio hai ni wazee sana. Serkali ilipaswa kuwalipa mapema wakiwa angali na nguvu.Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchembaakiwa Bungeni leo Septemba 3, 2026 amezungumzia malipo ya wanajeshi waliopigana katika Vita ya Kagera Mwaka 1978.
Pia soma ~Mafao ya Wanajeshi waliopigana vita ya Kagera imekuwa ahadi isiyotekelezeka
Mara kadhaa Wadau mbalimbali wamekuwa wakihoji kuhusu malipo hayo kusuasua na kwamba si mara ya kwanza kwa Serikali kuahidi kuwa watalipwa lakini ahadi haikamiliki.
Pia soma
~ Mwigulu: Maveterani wa Vita vya Kagera kuanza kulipwa Pensheni zao
~ Mwigulu: Maveterani wa Vita vya Kagera kuanza kulipwa Pensheni zao
~ Sijalipwa malipo yangu ya Vita ya Kagera, kila nikifuatilia naambiwa hakuna anayedai
Ukiangalia hela zinazoliwa na mafisadi na matumizi yasiyo na tija kwenye idara za serkali,ukifikiria kuna wazee wanaodai malipo yao tokea miaka ya themanini(tunazungumzia miaka 40 na zaidi) roho inauma sana.Leo ndiyo wanakumbuka wakati wengine walishakufa na wengine ni wazee?
Kama mtu anaweza kudai haki yake na asiipate wa wakati na kwa thamani inayopaswa na huku ni kijana na matendo aliyotendewa ni bayana sembuse hawa wazee.Hizo hela zingeweka Bomba la Maji kutoka Victoria mpaka Dodoma hao wa mikoa ya njiani watawanyishe wenyewe maji mikoani kwao...
Maveteran wawe wazalendo kwa maendeleo ya nchi..
Ndiyo maana malipo yanachelewa ili wafe wengi na watakaolipwa ni wachache. Hii ni mbinu za kubana matumizi.Kheeeh vipi walio fariki? Nao stahiki zao? Babu zangu wote walishiriki hiyo VITA na wote wameshaondoka Duniani, vipi stahiki zao??
Heri chochote kitu Kwa waliobaki kuliko kutokuwa na kitu kabisa.Politics,wengi walishakufa na walio hai ni wazee sana. Serkali ilipaswa kuwalipa mapema wakiwa angali na nguvu.
Hawa watu wametesema sana na baadhi yao waliachwa na elemavu kutoka na vita.
Na kwa upande wangu sioni dhamira ya dhati ya kulipa hawa wazee.