Mwigulu Nchemba ni mtuhumiwa wa kwanza kutekwa kwa Absalom Kibanda

Kweli aysee. Walifunza magaidi wa sisiem kule IRINGA 2010. Nadhani wapo pamoja na mtoto wa mkulima pale aliposema na liwalo liwe, na likawa kwa Magosi

nchi haitatawalika by mbowe
 
Kweli aysee. Walifunza magaidi wa sisiem kule IRINGA 2010. Nadhani wapo pamoja na mtoto wa mkulima pale aliposema na liwalo liwe, na likawa kwa Magosi

nchi haitatawalika by slaa.tunaanza naye
 
Me hata sinaga muda kuishauri serikali au jeshi la polisi kufanya kile ambacho naona kinafaa! Ndugu yangu kweli unafikiri polisi hawafahamu nini mwigulu anakifanya nchi hii? Unajua maana ya Wassira kusema kuwa CHADEMA haitatoboa 2015? Hii ndiyo maana yake, na Nape, Wassira na Mwigulu ndio waratibu wakuu wa hii mambo yote, unafikiri polisi hawafahamu? Wangekuwa kweli hawafahamu wangehangaika usiku kucha KUFABRICATE EVIDENCE ZA LWAKATARE? Kweli, haya yanawezekana tz tu, na siyo nchi nyingine yoyote!!!
 
anza na mbowe alituma watu wamdhuru kibanda baada ya kuacha kazi tanzania daima
Hilo uliandikalo ndio ilikuwa nia yenu ifikiriwe hivyo kama vile mlivyomuua Mwangosi mkitegemea hatutaona na kusikia mlichokifanya kumbuka PENYE UKWELI UONGO UJITENGA na ndio kinachijidhihirisha kwa sasa kwani Mwigulu anaropoka bila kujua kwamba kila analoliongea watu wenye akili kuliko yeye na nyie tunayachanganua kwa kina.
 
Hivi viroba ukinywa wakati wa jua kali bila kula kitu huwa vinaleta madhara makubwa kichwani
 
kwa kupewa mkanda wa muv na wanacdm
mwenye muv ya slaa akiiba mke wa mtu airushe hapa plz
ni zamu ya babu slaa tu tangu amesema nch haitatawalika tuanze naye
nchi haitatawalika by slaa.tunaanza naye
nchi haitatawalika by mbowe
wanatapatapa hawa magaidi coz next ni slaa tu hapa hachomoki
demage control haitatumika kudhoofisha kasi ya kukamata magaidi
wewe ndio boga kabisga mwigulu na kibanda wapi na wapi .magaid hamchomoki hapa
ben saanane atakamatwa kwa kutaka kuua.zzk
Unaposhabikia hicho ukishabikiacho ni sawa na kuwa na akili za marehemu maana ujitambui kwa nini upo hapo ulipo na kwa nini upo duniani na unachokishabikia kina manufaa na uzao wako na wenzako?
 
Mwigulu ni mtuhumiwa namba1 hilo liko wazi, ameshiriki kufanikisha mauaji mengi sana asipopelekwa mahakamani basi J. K atapandishwa ndege to ICC
 

Naunga mkono hoja kwa asilimia 100. ila tu serikali dhalimu kama hii itashindwa kuchukua hatua kwa sababu anafanya kazi ya maccm
 
Makachero wa Scotland Yard waliokuja Kenya kupeleleza kifo cha Robert Ouko aliyekuwa Waziri wa Mambo ya nchi za nje, walimtia hatiani Mkuu wa Usalama wa Taifa, Waziri wa Mambo ya ndani, Mkuu wa Wilaya na Viongozi wengine waandamizi. Makachero kama wale wangalikuja kuchunguza mateso ya Ulimboika na mateso ya Kibanda, kuna watu wengi maarufu na wakubwa wangetiwa hatiani. Kwa mpelelezi mwenye weledi na kazi yake bila kutazama misukumo ya kisiasa, watu kama Rama Ighondu lazima angehojiwa. Katika suala la Kibanda watu kama Mwugulu lazima wangehojiwa. Lakini kwa Tanzania.......mh! Hawathubutu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…