Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Sheria bado inafanya kazi Gari za serikali mwisho kutembea saa 9 na week end inatakiwa ziwe zimepark lakini Mwigulu hadi J2 anatumia Kodi zetu kuzungukia mashamba yake bagamoyo!! Maana wese analotumia ni Kodi yangu hiyo!!Ile sheria ya magari ya Serikali kuwa yame Park maofisini baada ya saa za kaxi na siku za weekend jamaa kaibatilisha lini? Hebu WAPELEKE hiyo taarifa hao jamaa wa PCCB au PCCM.....!!!