Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

Ile sheria ya magari ya Serikali kuwa yame Park maofisini baada ya saa za kaxi na siku za weekend jamaa kaibatilisha lini? Hebu WAPELEKE hiyo taarifa hao jamaa wa PCCB au PCCM.....!!!
Sheria bado inafanya kazi Gari za serikali mwisho kutembea saa 9 na week end inatakiwa ziwe zimepark lakini Mwigulu hadi J2 anatumia Kodi zetu kuzungukia mashamba yake bagamoyo!! Maana wese analotumia ni Kodi yangu hiyo!!
 
Shikilia tune hiyo hiyo, mh. Waziri! Yule jamaa wa maji umemuacha kilomita mingi!! Kwa “mapambio” mazito hivi, Majaliwa achunge kiti chake, shauri yake!
 
Mkuu Mtingi, asante kuniheshimu na pole kunishangaa.
Uchaguzi ni process iko very transparent tangu mwanzo. Kura zinapigwa kutuoni, zinahesabiwa kituoni na matokeo yanabandikwa kituoni na kila stage kuna mawakala wa vyama na wanasaini.

Hili la Tume huru tumelijadili sana humu

P
Sheria/Taratibu za NEC kwasasa sio lazima wakala asaini form ya matokeo yaani ni Option kusaini.
 
Membe ni mnafiki tu na mpumbavu pamoja na kwamba sikubaliani na Magufuli ila membe hapana hatuwezi kurudisha nchi kwa ngedere.

Wakati fulani huwa nakusikiliza hivi,
Memne amelekodi watu wa kumshangilia kisha anaona kama hatuna akili.
 
Umefuta uchafu wote kwenye barabara, madaraja, majabali na sehemu zote ulioandikwa MWIGULU RAIS 2015?

Maana tumekuchoka unavyojikomba kwa JPM
MSOMI UCHWARA WEWE
 
Nilichogundua watz wengi wana ugonjwa wakutojiamini hususan wasomi walioko kwenye kitengo.mtanzania alieishia std 7 anajiamini sna kuliko yule aliyegrduate.fanya tafiti.kuna haja kurekebisha elimu yev
 
Mh. Usiwe na wasiwasi tupo kwa ajili ya kuwanyoosha vibara na wasaliti wote! Tuko imara sana kuliko jana!
 
Sheria bado inafanya kazi Gari za serikali mwisho kutembea saa 9 na week end inatakiwa ziwe zimepark lakini Mwigulu hadi J2 anatumia Kodi zetu kuzungukia mashamba yake bagamoyo!! Maana wese analotumia ni Kodi yangu hiyo!!

TAKUKURU Wapewe taarifa haraka!
Haya ndo tunasema MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA na MISUSE OF RESOURCES kwa private issues!
Kama umefanikiwa kupiga picha za hiyo gari ya W-KS peleka PCCB Fasta!
 
Umefuta uchafu wote kwenye barabara,madaraja,majabali,na sehemu zote ulioandikwa MWIGULU RAIS 2015?

Maana tumekuchoka unavyojikomba kwa JPM
MSOMI UCHWARA WEWE
Mbona wewe unajikomba sana kwa mlevi na fuska Mbowe lakini hatusemi??
 
Iko siku Mwigulu nae atakuja humu kulilia tume huru.

Kama wanaolialia wale wanaotoka chadema wakitaka kujua hatima ya peaa zao nyie manasema wana njaa, nanyi ipo siku mtataka kujua mtaambiwa mna njaa.
 
Hivi somo alilopata Trump kwa kutegemea Majeshi huku kwetu halijafika? Kilichotokea Sudan kaskazini na sasa Mali hamkioni? Majeshi yanaweza kuungana na raia saa yoyote wanapoona wananchi wanayo hoja.

Uwoga unataka wapi wakati kila siku ni pongezi tu. Mnashindwa na serikali iliyopita pamoja na kupewa lawama kila siku lakini haikuingilia Tume wala kuzuia waangalizi.

Hiki ni kiwango cha kimataifa kuwa na waangalizi. Utambue kuwa maoni yao yalisaidia sisi kueleweka. Iwapo tutawazuia chochote kitakacholalamikiwa kitaaminika na kulitia doa taifa. Chonde chonde rudisheni akili zenu msichafue taifa
 
Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu
 
Huyo anayejidai kujua habari za tume huru mnafiki tu. Jambo lolote likifanywa kinafiki halifanikiwi kamwe. Hiyo tume itakuja kudaiwa na wazalendo wa kweli muda ukifika.

Makosa yale yale watu walitaka mabadiliko kupitia mafisadi mwaka 2015. Vita yao ya madaraka ndio inayotuletea ajenda ambazo ni kwa faida yao. Huyo Membe amewahi kuzungumzia tume huru akiwa anakula mema ya nchi? Unafiki unafiki tu.
 
Sawasawa Mheshimiwa! Lakini kwenye bajeti ya 2020/2021 kama zilivyo bajeti zilizopita MABEBERU huwa wanachangia! Bila Mabeberu kuchangia kwenye Bajeti CCM haiwezi kuwa na jeuri kama hiyo.
 
Nilichogundua watz wengi wana ugonjwa wakutojiamini hususan wasomi walioko kwenye kitengo.mtanzania alieishia std 7 anajiamini sna kuliko yule aliyegrduate.fanya tafiti.kuna haja kurekebisha elimu yev

Umeongea point!
Mimi huwa nacheka sana nikiangalia michango ya Wabunge wa Bunge la Tanzania...!!
Jaribu kuangalia michango ya kina Joseph Kasheku (Msukuma) na Johnstone Lusinde(Kibajaji) wanaposimama kuchangia hoja huwa wanadiriki kuwa attack au kuwa challenge doctors na Professors na Wataishia kumshangilia na kupiga meza....!!!Elimu ya Tanzania iko shida kubwa!!!
 
Back
Top Bottom