Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Sheria bado inafanya kazi Gari za serikali mwisho kutembea saa 9 na week end inatakiwa ziwe zimepark lakini Mwigulu hadi J2 anatumia Kodi zetu kuzungukia mashamba yake bagamoyo!! Maana wese analotumia ni Kodi yangu hiyo!!Ile sheria ya magari ya Serikali kuwa yame Park maofisini baada ya saa za kaxi na siku za weekend jamaa kaibatilisha lini? Hebu WAPELEKE hiyo taarifa hao jamaa wa PCCB au PCCM.....!!!
Sheria/Taratibu za NEC kwasasa sio lazima wakala asaini form ya matokeo yaani ni Option kusaini.Mkuu Mtingi, asante kuniheshimu na pole kunishangaa.
Uchaguzi ni process iko very transparent tangu mwanzo. Kura zinapigwa kutuoni, zinahesabiwa kituoni na matokeo yanabandikwa kituoni na kila stage kuna mawakala wa vyama na wanasaini.
Hili la Tume huru tumelijadili sana humu
P
Membe ni mnafiki tu na mpumbavu pamoja na kwamba sikubaliani na Magufuli ila membe hapana hatuwezi kurudisha nchi kwa ngedere.
Sheria bado inafanya kazi Gari za serikali mwisho kutembea saa 9 na week end inatakiwa ziwe zimepark lakini Mwigulu hadi J2 anatumia Kodi zetu kuzungukia mashamba yake bagamoyo!! Maana wese analotumia ni Kodi yangu hiyo!!
Mbona wewe unajikomba sana kwa mlevi na fuska Mbowe lakini hatusemi??Umefuta uchafu wote kwenye barabara,madaraja,majabali,na sehemu zote ulioandikwa MWIGULU RAIS 2015?
Maana tumekuchoka unavyojikomba kwa JPM
MSOMI UCHWARA WEWE
Iko siku Mwigulu nae atakuja humu kulilia tume huru.
nakumbuka maneno ya Bagonza '' zamani tuliondoa ujinga kwa chuo kimoja ila asa hivi vyuo vingi tunaongeza ujinga"
Nilichogundua watz wengi wana ugonjwa wakutojiamini hususan wasomi walioko kwenye kitengo.mtanzania alieishia std 7 anajiamini sna kuliko yule aliyegrduate.fanya tafiti.kuna haja kurekebisha elimu yev
Huyu ndiye waziri wa Katiba na sheria wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania