Mkuu Mtingi, asante kuniheshimu na pole kunishangaa.
Uchaguzi ni process iko very transparent tangu mwanzo. Kura zinapigwa kutuoni, zinahesabiwa kituoni na matokeo yanabandikwa kituoni na kila stage kuna mawakala wa vyama na wanasaini..
Kukemea matumizi mabaya ya mali ya umma sio WIVU wa KIKE wewe POYOYO Aka BUMUNDA!! Hata kama Mnalipwa na kutetea UOZO wa Awamu ya 5 muwe mnashirikisha UBONGO baadhi ya HOJA!!Utakufa na stress acha wivu wa kike!
Sheria/Taratibu za NEC kwasasa sio lazima wakala asaini form ya matokeo yaani ni Option kusaini.
Kiherehere cha kukosoa ili kulinda ugali wako kinakutia fedhea mbele za watu. Maana hata huelewi hiyo cloud ilitamkwa wapi.Clouds = Tibandebage
Cloud = Tiba
Na usije uka dhani Clouds ni mawingu! La hasha ni jina sasa kama TAZARA, CHADEMA, Tandika kuna kituo cha daladala kinaitwa FOMA - kwasababu kuna transformer ya Tanesco etc.
Haina madhara yoyote na personal attacks zinakufurahisha na kukuliwaza wewe lakini hazina faida kwa umma wa watanzania. Pia hazimnyimi mtu usingizi especially someone who has attained and hold the highest post in the country. Nikikaa na wewe nina uhakika nitakukosoa kiingereza sana. Maana kama umefikia kumaind small things, kichwani unapwaya!
Kwani kuna Muda uliopangwa wa kudai Tume Huru uliowekwa? Tumia akili kidogo tu kufikiri sio unaandika upupuNi aibu kwa machadema wakishirikiana na Membe kudai tume huru kipindi hiki,!
Mlipokuwa mnashupalia ishu za kijinga badala ya kujikita kudai tume huru mlifikiri muda unarudi nyuma? Tulieni mje mpigwe tu madole hapo oktoba
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
@Mwigulu Nchemba utaacha lini kuiaibisha PhD?1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile.
2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa mabeberu, Hatuhitaji KIRANJA kutoka popote awe mwangalizi au MCHOCHEZI aseme ndio kilichofanywa au kilichosemwa kiwe na UHALALI.
KIRANJA wetu ni Rais wetu.
3) Inaudhi Sana, wasio Watanzania waisimange nchi yetu, walioko mbali waisimange nchi yetu, na walioko ndani WATUMIKE kuisimanga nchi yetu, yaani hatuoni kazi zilizofanyika tunaona tu hatuna tume huru?????.
4) NCHI YETU HATUJAWAHI KUFANYA UCHAGUZI BILA TUME HURU YA UCHAGUZI, MIJITU MINGINE ILIKUWEPO NDANI TANGU UJANA WAO HADI SASA, LEO NDIO WAONE HATUNA TUME HURU?? MLISHAISHI MAISHA YENU TANGU ASUBUHI, JIONI YENU MNATAKA KUTUHARIBIA AMANI YA NCHI YETU, VIJANA TUKO MACHO, "HATUTATUMIKA" HATUTARUHUSU TAMAA ZENU ZA MADARAKA KUVUNJA AMANI YA NCHI YETU.
WALIOWATUMA WAPENI TAARIFA kwamba TANZANIA IPO IMARA, na ina KIONGOZI wa Nchi IMARA zaidi ya JANA.
Pia soma:
Elections 2020 - Bernard Membe: Tunafanyaje Uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi na Waangalizi wa Uchaguzi wa Kimataifa?
Basi subiri ccm watakupa tume huru siku ya kutangaza matokeoKwani kuna Muda uliopangwa wa kudai Tume Huru uliowekwa? Tumia akili kidogo tu kufikiri sio unaandika upupu
Andika vizuri nikuelewe ndugu yangu.Kama wanaolialia wale wanaotoka chadema wakitaka kujua hatima ya peaa zao nyie manasema wana njaa, nanyi ipo siku mtataka kujua mtaambiwa mna njaa.
Aristotle = educated people are wise; I don’t see wisdom from your writings above.1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile.
2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa mabeberu, Hatuhitaji KIRANJA kutoka popote awe mwangalizi au MCHOCHEZI aseme ndio kilichofanywa au kilichosemwa kiwe na UHALALI.
KIRANJA wetu ni Rais wetu.
3) Inaudhi Sana, wasio Watanzania waisimange nchi yetu, walioko mbali waisimange nchi yetu, na walioko ndani WATUMIKE kuisimanga nchi yetu, yaani hatuoni kazi zilizofanyika tunaona tu hatuna tume huru?????.
4) NCHI YETU HATUJAWAHI KUFANYA UCHAGUZI BILA TUME HURU YA UCHAGUZI, MIJITU MINGINE ILIKUWEPO NDANI TANGU UJANA WAO HADI SASA, LEO NDIO WAONE HATUNA TUME HURU?? MLISHAISHI MAISHA YENU TANGU ASUBUHI, JIONI YENU MNATAKA KUTUHARIBIA AMANI YA NCHI YETU, VIJANA TUKO MACHO, "HATUTATUMIKA" HATUTARUHUSU TAMAA ZENU ZA MADARAKA KUVUNJA AMANI YA NCHI YETU.
WALIOWATUMA WAPENI TAARIFA kwamba TANZANIA IPO IMARA, na ina KIONGOZI wa Nchi IMARA zaidi ya JANA.
Pia soma:
Elections 2020 - Bernard Membe: Tunafanyaje Uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi na Waangalizi wa Uchaguzi wa Kimataifa?
Mkuu unalinganisha uchaguzi na uchafuzi?.Hivi kuna mtanzania anaendaga kuobserve uchaguzi wa Uingereza ?
Mh. Membe ni mzoefu wa masuala ya kimataifa, ndiyo maana hataki kusimama ktk mila, desturi na utamaduni ambao kwa uzoefu wake anauona umepitwa na wakati. Hata kama alikubaliana na hali hiyo ktk maisha ya ujana wake, haimlazimishi kufanya hivyo ktk maisha yake ya sasa ya kutaka demokrasia pana ndani ya chama chake, ambacho amekitumikia kwa muda mrefu na kwa uaminifu mkubwa.1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile.
2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa mabeberu, Hatuhitaji KIRANJA kutoka popote awe mwangalizi au MCHOCHEZI aseme ndio kilichofanywa au kilichosemwa kiwe na UHALALI.
KIRANJA wetu ni Rais wetu.
3) Inaudhi Sana, wasio Watanzania waisimange nchi yetu, walioko mbali waisimange nchi yetu, na walioko ndani WATUMIKE kuisimanga nchi yetu, yaani hatuoni kazi zilizofanyika tunaona tu hatuna tume huru?????.
4) NCHI YETU HATUJAWAHI KUFANYA UCHAGUZI BILA TUME HURU YA UCHAGUZI, MIJITU MINGINE ILIKUWEPO NDANI TANGU UJANA WAO HADI SASA, LEO NDIO WAONE HATUNA TUME HURU?? MLISHAISHI MAISHA YENU TANGU ASUBUHI, JIONI YENU MNATAKA KUTUHARIBIA AMANI YA NCHI YETU, VIJANA TUKO MACHO, "HATUTATUMIKA" HATUTARUHUSU TAMAA ZENU ZA MADARAKA KUVUNJA AMANI YA NCHI YETU.
WALIOWATUMA WAPENI TAARIFA kwamba TANZANIA IPO IMARA, na ina KIONGOZI wa Nchi IMARA zaidi ya JANA.
Pia soma:
Elections 2020 - Bernard Membe: Tunafanyaje Uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi na Waangalizi wa Uchaguzi wa Kimataifa?
Jikite kwenye hoja zake, ziko sawa au?Yule mwingine alipendekeza watu wauwawe akapewa U-DC juzi na huyu nae anatafuta uwaziri tena baada ya uchaguzi mkuu.
Na huyo huyo akikipa ushindi chama chako na mgombea wako hana tatizo kabisa!!Yaani muangalizi huyo huyo,mgombea huyo huyo,muhesabu kura huyo huyo na mpanga matokeo huyo huyo
[emoji23][emoji23][emoji23]Jinsi alivyotuchafulia mawe 2015 huyu mtu ilipaswa awe ndani sahivi
Mkuu G Sam, unajibainisha kuwa wewe ni bingwa na mtaalamu wa siasa, tusaidie kutambua sifa za kiongozi unayedhani anafaa badala ya kulalamika na kulaumu tu kila mara. Kwa kuwa nchi inaingia kwenye uchaguzi mkuu, ufafanuzi wako utamsaidia mtu kufanya maamuzi yaliyo sahihi. Kwa lugha ya kigeni "informed decision"Huyu ndiye waziri wa Katiba na sheria wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Acha tu mkuu inatia hasira!!Hawa jamaa kila siku wanatafuta mbinu za kukarabati Kanuni na Sheria za Uchaguzi ili Wapinzani wasiweze kupumua.....! Kumbuka sekeseke la Marehemu Acqulina......chanzo ilikuwa ni form zinazosainiwa na Mawakala baada ya Mkurugenzi kukataa kuwapa CHADEMA!!