Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

Mkuu Mtingi, asante kuniheshimu na pole kunishangaa.
Uchaguzi ni process iko very transparent tangu mwanzo. Kura zinapigwa kutuoni, zinahesabiwa kituoni na matokeo yanabandikwa kituoni na kila stage kuna mawakala wa vyama na wanasaini..

Hapa nakataa sio Tume Huru bali inaitwa huru. Ukimwita paka sungura haina maana si paka
 
Utakufa na stress acha wivu wa kike!
Kukemea matumizi mabaya ya mali ya umma sio WIVU wa KIKE wewe POYOYO Aka BUMUNDA!! Hata kama Mnalipwa na kutetea UOZO wa Awamu ya 5 muwe mnashirikisha UBONGO baadhi ya HOJA!!
 
Sheria/Taratibu za NEC kwasasa sio lazima wakala asaini form ya matokeo yaani ni Option kusaini.

Hawa jamaa kila siku wanatafuta mbinu za kukarabati Kanuni na Sheria za Uchaguzi ili Wapinzani wasiweze kupumua.....! Kumbuka sekeseke la Marehemu Acqulina......chanzo ilikuwa ni form zinazosainiwa na Mawakala baada ya Mkurugenzi kukataa kuwapa CHADEMA!!
 
Attachments

  • 2431549_09886.jpg
    2431549_09886.jpg
    46.6 KB · Views: 3
Clouds = Tibandebage
Cloud = Tiba
Na usije uka dhani Clouds ni mawingu! La hasha ni jina sasa kama TAZARA, CHADEMA, Tandika kuna kituo cha daladala kinaitwa FOMA - kwasababu kuna transformer ya Tanesco etc.
Haina madhara yoyote na personal attacks zinakufurahisha na kukuliwaza wewe lakini hazina faida kwa umma wa watanzania. Pia hazimnyimi mtu usingizi especially someone who has attained and hold the highest post in the country. Nikikaa na wewe nina uhakika nitakukosoa kiingereza sana. Maana kama umefikia kumaind small things, kichwani unapwaya!
Kiherehere cha kukosoa ili kulinda ugali wako kinakutia fedhea mbele za watu. Maana hata huelewi hiyo cloud ilitamkwa wapi.
 
Ni aibu kwa machadema wakishirikiana na Membe kudai tume huru kipindi hiki,!

Mlipokuwa mnashupalia ishu za kijinga badala ya kujikita kudai tume huru mlifikiri muda unarudi nyuma? Tulieni mje mpigwe tu madole hapo oktoba

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Kwani kuna Muda uliopangwa wa kudai Tume Huru uliowekwa? Tumia akili kidogo tu kufikiri sio unaandika upupu
 
1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile.

2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa mabeberu, Hatuhitaji KIRANJA kutoka popote awe mwangalizi au MCHOCHEZI aseme ndio kilichofanywa au kilichosemwa kiwe na UHALALI.
KIRANJA wetu ni Rais wetu.

3) Inaudhi Sana, wasio Watanzania waisimange nchi yetu, walioko mbali waisimange nchi yetu, na walioko ndani WATUMIKE kuisimanga nchi yetu, yaani hatuoni kazi zilizofanyika tunaona tu hatuna tume huru?????.

4) NCHI YETU HATUJAWAHI KUFANYA UCHAGUZI BILA TUME HURU YA UCHAGUZI, MIJITU MINGINE ILIKUWEPO NDANI TANGU UJANA WAO HADI SASA, LEO NDIO WAONE HATUNA TUME HURU?? MLISHAISHI MAISHA YENU TANGU ASUBUHI, JIONI YENU MNATAKA KUTUHARIBIA AMANI YA NCHI YETU, VIJANA TUKO MACHO, "HATUTATUMIKA" HATUTARUHUSU TAMAA ZENU ZA MADARAKA KUVUNJA AMANI YA NCHI YETU.

WALIOWATUMA WAPENI TAARIFA kwamba TANZANIA IPO IMARA, na ina KIONGOZI wa Nchi IMARA zaidi ya JANA.

Pia soma:

Elections 2020 - Bernard Membe: Tunafanyaje Uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi na Waangalizi wa Uchaguzi wa Kimataifa?
@Mwigulu Nchemba utaacha lini kuiaibisha PhD?
Unasema Kuna tume huru ya uchaguzi kweli!!
Fikiria mbuzi aliowauza mzee wako ili usome matokeo yake ndio haya!!!?

Mwenzako mmoja alishukuru kwa kutolewa jalalani ilihali Ni professor
Mnawafundisha Nini wanaosoma bado?

Mambo yalipokua shwari Membe hakuwahi kuongelea tume huru
Leo yameharibika amekiri mwenyewe hakuna tume huru.

Wanasiasa tupumzisheni TUMEWACHOKA.
 
1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile.

2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa mabeberu, Hatuhitaji KIRANJA kutoka popote awe mwangalizi au MCHOCHEZI aseme ndio kilichofanywa au kilichosemwa kiwe na UHALALI.
KIRANJA wetu ni Rais wetu.

3) Inaudhi Sana, wasio Watanzania waisimange nchi yetu, walioko mbali waisimange nchi yetu, na walioko ndani WATUMIKE kuisimanga nchi yetu, yaani hatuoni kazi zilizofanyika tunaona tu hatuna tume huru?????.

4) NCHI YETU HATUJAWAHI KUFANYA UCHAGUZI BILA TUME HURU YA UCHAGUZI, MIJITU MINGINE ILIKUWEPO NDANI TANGU UJANA WAO HADI SASA, LEO NDIO WAONE HATUNA TUME HURU?? MLISHAISHI MAISHA YENU TANGU ASUBUHI, JIONI YENU MNATAKA KUTUHARIBIA AMANI YA NCHI YETU, VIJANA TUKO MACHO, "HATUTATUMIKA" HATUTARUHUSU TAMAA ZENU ZA MADARAKA KUVUNJA AMANI YA NCHI YETU.

WALIOWATUMA WAPENI TAARIFA kwamba TANZANIA IPO IMARA, na ina KIONGOZI wa Nchi IMARA zaidi ya JANA.

Pia soma:

Elections 2020 - Bernard Membe: Tunafanyaje Uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi na Waangalizi wa Uchaguzi wa Kimataifa?
Aristotle = educated people are wise; I don’t see wisdom from your writings above.

Again: “Tanzania educated people where do you publish your papers?” Beni saanane
 
Yes tunaona kazi nzuri mliyofanya sasa tunaomba tume iwe huru kulingana na kazi nzuri na maendeleo mliyoleta,

Tunamaanisha tume huru kwa maana ya wajumbe wa tume ya uchaguzi wasitokane na uteuzi wa mwenyekiti /mgombea wa chama kinachoshiriki uchaguzi husika ili kuepusha na mazingira ya bias.

Wengine nia yetu ni njema kabisa labda msime kama kuna mabeberu ambayo intellijensia yenu imewaambia wanania ovu kupitia kilio hichi cha tume ila sisi walaa hatuna shida tunataka kushinda na kushindwa kufanyike kwa haki zaidi ya hapo awali.

Tanzania inahitaji tume huru ili tuepushe mauaji kama ya Akwelina aliyeuliwa kwa risasi baada ya msimamizi wa uchaguzi kuficha form za mawakala wa vyama pinzani.
 
Hivi kuna mtanzania anaendaga kuobserve uchaguzi wa Uingereza ?
Mkuu unalinganisha uchaguzi na uchafuzi?.
Observers kuja huku wanagharimikiwa na mabeberu,kwa hiyo wawalipie na Watanzania kwenda kwao sijui kuobserve nini?.
 
1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile.

2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa mabeberu, Hatuhitaji KIRANJA kutoka popote awe mwangalizi au MCHOCHEZI aseme ndio kilichofanywa au kilichosemwa kiwe na UHALALI.
KIRANJA wetu ni Rais wetu.

3) Inaudhi Sana, wasio Watanzania waisimange nchi yetu, walioko mbali waisimange nchi yetu, na walioko ndani WATUMIKE kuisimanga nchi yetu, yaani hatuoni kazi zilizofanyika tunaona tu hatuna tume huru?????.

4) NCHI YETU HATUJAWAHI KUFANYA UCHAGUZI BILA TUME HURU YA UCHAGUZI, MIJITU MINGINE ILIKUWEPO NDANI TANGU UJANA WAO HADI SASA, LEO NDIO WAONE HATUNA TUME HURU?? MLISHAISHI MAISHA YENU TANGU ASUBUHI, JIONI YENU MNATAKA KUTUHARIBIA AMANI YA NCHI YETU, VIJANA TUKO MACHO, "HATUTATUMIKA" HATUTARUHUSU TAMAA ZENU ZA MADARAKA KUVUNJA AMANI YA NCHI YETU.

WALIOWATUMA WAPENI TAARIFA kwamba TANZANIA IPO IMARA, na ina KIONGOZI wa Nchi IMARA zaidi ya JANA.

Pia soma:

Elections 2020 - Bernard Membe: Tunafanyaje Uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi na Waangalizi wa Uchaguzi wa Kimataifa?
Mh. Membe ni mzoefu wa masuala ya kimataifa, ndiyo maana hataki kusimama ktk mila, desturi na utamaduni ambao kwa uzoefu wake anauona umepitwa na wakati. Hata kama alikubaliana na hali hiyo ktk maisha ya ujana wake, haimlazimishi kufanya hivyo ktk maisha yake ya sasa ya kutaka demokrasia pana ndani ya chama chake, ambacho amekitumikia kwa muda mrefu na kwa uaminifu mkubwa.

Katiba ya chama inatoa ruhusa ya watia nia kuingia kwenye kinyang'anyiro, haijalishi uwepo wa "iincumbent office bearer". With due respect to Hon. Nchemba, tena kwa kuzingatia yeye anahitaji sana fadhila za Mwenyekiti Taifa, isiwe sababu ya kuona wanachama wengine wenye msimamo tofauti naye kuwa wanakosea.

Tofauti za kimisimamo ndiyo hukijenga chama na kukifanya vkiwe imara. Tushiindanishe fikra mbadala ili tukapate kujua ipi ni pumba na ipi ni mchele.
 
Yaani muangalizi huyo huyo,mgombea huyo huyo,muhesabu kura huyo huyo na mpanga matokeo huyo huyo
Na huyo huyo akikipa ushindi chama chako na mgombea wako hana tatizo kabisa!!
Tanzania bila unafiki haiwezekani
 
Ni vibaya sana kuongea wakati wa kula,,, wewe kula kimyakimya sio hadi watu tujue... Mpeni sifa mpishi akiwa jikoni sio kwenye dinning table
 
Huyu ndiye waziri wa Katiba na sheria wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Mkuu G Sam, unajibainisha kuwa wewe ni bingwa na mtaalamu wa siasa, tusaidie kutambua sifa za kiongozi unayedhani anafaa badala ya kulalamika na kulaumu tu kila mara. Kwa kuwa nchi inaingia kwenye uchaguzi mkuu, ufafanuzi wako utamsaidia mtu kufanya maamuzi yaliyo sahihi. Kwa lugha ya kigeni "informed decision"
 
Back
Top Bottom