Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

22228155_1009674832507341_1402074420001502549_n.jpg
 
Chama cha Magufuli (CCM) kinashiriki uchaguzi afu Magufuli ndo mgombea na msimamizi hapo hapo. Hiyo phd ya Mwigulu ni ya nini?
PhD ya utapeli. Alitapeli mchaga mmoja pale Complex,akaja kutapeli kontena - UDSM.
 
Hakuna asiyejua kuwa JPM ndiye atasimama mdogo wangu Mwigulu,ila siyo kwa namna unavyosema........ni vema kusoma na katiba pia ya nchi na chama pia.
 
Hata mzee mkapa wakati akizindua kitabu chake alisisitiza na kuomba Sana, tume ya uchaguzi iwe huru ili Haki ipatikane na upendeleo usiwepo,..
Kama Magufuli anakubalika Sana amefanya maaajabu katika uchumi, kwanini ahofie tume huru?
Magufuli aliwekeza kwenye propoganda badala ya kazi,ndo maana anahofu kubwa,watanzania si wajinga,yeye a
Hoja hapa ni dola huru kufanya mambo yake kwa uhuru bila kuingiliwa na mabeberu. Kwa kuzingatia katiba na sheria za nchi.Ndio maana miaka yote chaguzi zimekuwa huru na zinafanyika kwa amani.
Kwa hiyo this time around nani kaingilia? Membe ndo beberu aliyeingilia? Au Lissu?
 
Akiwa waziri wa mambo ya ndani huyu kulikua na utekaji mwingi sanaaa. Wakati huo Tundu lisu alipigwa risasi mchana, Azory na Ben saanane walipotezwa , watu wengi sana walitekwa na kuumizwa. Huyo jamaa ni shetani zaidi ya shetani mwenyewe.
Lakini pia na CCM watanzania upole umetuzidi sana,kwani yeye ana roho ya chuma hadi ishindikane nae kumpoteza?
 
Mwigulu ni mwanasiasa wa ccm! Hana tofauti na Masigwa au Mbowe, au Lisu kutokea na kusema Rais wetu ni Lisu kuanzia oktoba,!

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo anaposema vijana hawatakubali maana yake anaaminj vijana wote wako CCM? Au kwa kuwa wengine wamekuwa wapole sana ndo basi anajiona yeye anahaki zaidi kuliko wengine
 
Yaani Membe hajawahi kusema tume huru wakati anashinda ubunge Mara zote Leo yuko nje ndo atake tume huru anayotaka yeye, ajiandae kunyolewa tu
Wakatri huo ilikua inampa favor, anaujua ukweli, ndio maana sasa hivi anaona itammuumiza, sio mfaidika tena!
 
Dah!! Huyu muuwaji hawazi chochote zaidi ya madaraka. Na tangu walipogundua kuwa Jesus wa Tanzania anapenda sifa ili kulinda kibarua chako sasa imekua too much
 
Katika wizara zote alizowahi kusimamia hakuna chochote alichodeliver zaidi ya kuvaa scaf ya bendera ya taifa tu.

Sasa ili aonekane kwa wateuzi lazima ajikombe kombe na kuramba miguu ya wateuzi.
Wakazi wa Arusha hawatamsahau kwa tukio la kipoteza wapendwa wao kwenye siku ya kufunga kampeni ya uchaguzi mdogo zilizofanyika viwanja vya Soweto R.I.P wapendwa.
 
Katika wizara zote alizowahi kusimamia hakuna chochote alichodeliver zaidi ya kuvaa scaf ya bendera ya taifa tu.

Sasa ili aonekane kwa wateuzi lazima ajikombe kombe na kuramba miguu ya wateuzi.
Wakazi wa Arusha hawatamsahau kwa tukio la kipoteza wapendwa wao kwenye siku ya kufunga kampeni ya uchaguzi mdogo zilizofanyika viwanja vya Soweto R.I.P wapendwa
 
Naye alikuwa huko huko jikoni na alishiriki kwenye bunge la katiba na kuipiga chini katiba mpya ya Jaji Warioba. Saizi anapohitaji kupata nafasi anakuta na msumeno ambao alikuwa anaushikilia unaweza kumkata. Ikiwa nawe ni kijana kama sisi. Inabidi ukubali katiba mpya na tume huru.

Nawe ipo siku utatangaza nia na kukatwa na kujikuta unaangaika kama mwenzio ambaye amechelewa kudai tume huru.

.
 
Tume huru Kama ile ya kina Jecha S. Jescha

Tume huru ipi hiyo ambayo inaongelewa hapa na huo uhuru unatoka wapi?

Tume huru ambayo inaongozwa na watendaji wanaoteulwa na rais?

Kuna uhuru gani hapo zaidi ya kulinda maslahi binafsi

Tume Huru ninayoitambua ni ile iliyozikwa kwenye katiba mpya..
 
1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile.

2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa mabeberu, Hatuhitaji KIRANJA kutoka popote awe mwangalizi au MCHOCHEZI aseme ndio kilichofanywa au kilichosemwa kiwe na UHALALI.
KIRANJA wetu ni Rais wetu.

3) Inaudhi Sana, wasio Watanzania waisimange nchi yetu, walioko mbali waisimange nchi yetu, na walioko ndani WATUMIKE kuisimanga nchi yetu, yaani hatuoni kazi zilizofanyika tunaona tu hatuna tume huru?????.

4) NCHI YETU HATUJAWAHI KUFANYA UCHAGUZI BILA TUME HURU YA UCHAGUZI, MIJITU MINGINE ILIKUWEPO NDANI TANGU UJANA WAO HADI SASA, LEO NDIO WAONE HATUNA TUME HURU?? MLISHAISHI MAISHA YENU TANGU ASUBUHI, JIONI YENU MNATAKA KUTUHARIBIA AMANI YA NCHI YETU, VIJANA TUKO MACHO, "HATUTATUMIKA" HATUTARUHUSU TAMAA ZENU ZA MADARAKA KUVUNJA AMANI YA NCHI YETU.

WALIOWATUMA WAPENI TAARIFA kwamba TANZANIA IPO IMARA, na ina KIONGOZI wa Nchi IMARA zaidi ya JANA.

Pia soma:

Elections 2020 - Bernard Membe: Tunafanyaje Uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi na Waangalizi wa Uchaguzi wa Kimataifa?
Wewe jamaa sitakusahau, ulivyokuwa waziri wa mambo ya ndani waislam na askari wengi waliuawa!
 
Ningependa kuona waziri mwenye dhamana akafanya mambo yake pasipo kuwa na hofu ya kutumbuliwa, akatimiza majukumu yake pasipo kutegemea jina au uchapakazi wa muajiri wake, yn ningependa kuona ufafanuzi wa waziri mwenye dhamana pasipo kutaja jina la rais, km mh. Rais amekuteua it means anakuamini so angependa kuona aliyemteua anakuwa mbunifu pasipo kusafiria nyota ya mteuzi, that's all.
 
Huyu ndiye waziri wa Katiba na sheria wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Mtaani tunasema kaseme alichosema mwenyekiti na sio tofauti...waziri kamasio yeye aliyekuwa anamponda Magufuli..maisha haya kweli muda ndo sababu ya msingi kwenye kila kitu
 
phd za kupeana ndugu...kumbuka kuna namna
Mbaya zaidi na wewe ni waziri, hii ni aibu. Hivi ukiwa mwana ccm lazima uwe mpumbavu?

Nna mashaka na PhD yako. Stupid.
[/QUOT
phd za kupeana mjini hapa..lamsingi chanel tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njaa mbaya sana
 
Back
Top Bottom