Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PhD ya utapeli. Alitapeli mchaga mmoja pale Complex,akaja kutapeli kontena - UDSM.Chama cha Magufuli (CCM) kinashiriki uchaguzi afu Magufuli ndo mgombea na msimamizi hapo hapo. Hiyo phd ya Mwigulu ni ya nini?
Magufuli aliwekeza kwenye propoganda badala ya kazi,ndo maana anahofu kubwa,watanzania si wajinga,yeye aHata mzee mkapa wakati akizindua kitabu chake alisisitiza na kuomba Sana, tume ya uchaguzi iwe huru ili Haki ipatikane na upendeleo usiwepo,..
Kama Magufuli anakubalika Sana amefanya maaajabu katika uchumi, kwanini ahofie tume huru?
Kwa hiyo this time around nani kaingilia? Membe ndo beberu aliyeingilia? Au Lissu?Hoja hapa ni dola huru kufanya mambo yake kwa uhuru bila kuingiliwa na mabeberu. Kwa kuzingatia katiba na sheria za nchi.Ndio maana miaka yote chaguzi zimekuwa huru na zinafanyika kwa amani.
Lakini pia na CCM watanzania upole umetuzidi sana,kwani yeye ana roho ya chuma hadi ishindikane nae kumpoteza?Akiwa waziri wa mambo ya ndani huyu kulikua na utekaji mwingi sanaaa. Wakati huo Tundu lisu alipigwa risasi mchana, Azory na Ben saanane walipotezwa , watu wengi sana walitekwa na kuumizwa. Huyo jamaa ni shetani zaidi ya shetani mwenyewe.
Yesu wa chato hatachaguliwa na hivyo kumfanya mwigulu aukose uwaziri.Hivi tume huru itaharibu nini kwenye taifa letu kuelekea uchaguzi mkuu?
Kwa hiyo anaposema vijana hawatakubali maana yake anaaminj vijana wote wako CCM? Au kwa kuwa wengine wamekuwa wapole sana ndo basi anajiona yeye anahaki zaidi kuliko wengineMwigulu ni mwanasiasa wa ccm! Hana tofauti na Masigwa au Mbowe, au Lisu kutokea na kusema Rais wetu ni Lisu kuanzia oktoba,!
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Wakatri huo ilikua inampa favor, anaujua ukweli, ndio maana sasa hivi anaona itammuumiza, sio mfaidika tena!Yaani Membe hajawahi kusema tume huru wakati anashinda ubunge Mara zote Leo yuko nje ndo atake tume huru anayotaka yeye, ajiandae kunyolewa tu
Wakazi wa Arusha hawatamsahau kwa tukio la kipoteza wapendwa wao kwenye siku ya kufunga kampeni ya uchaguzi mdogo zilizofanyika viwanja vya Soweto R.I.P wapendwa.Katika wizara zote alizowahi kusimamia hakuna chochote alichodeliver zaidi ya kuvaa scaf ya bendera ya taifa tu.
Sasa ili aonekane kwa wateuzi lazima ajikombe kombe na kuramba miguu ya wateuzi.
Wakazi wa Arusha hawatamsahau kwa tukio la kipoteza wapendwa wao kwenye siku ya kufunga kampeni ya uchaguzi mdogo zilizofanyika viwanja vya Soweto R.I.P wapendwaKatika wizara zote alizowahi kusimamia hakuna chochote alichodeliver zaidi ya kuvaa scaf ya bendera ya taifa tu.
Sasa ili aonekane kwa wateuzi lazima ajikombe kombe na kuramba miguu ya wateuzi.
Wewe jamaa sitakusahau, ulivyokuwa waziri wa mambo ya ndani waislam na askari wengi waliuawa!1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile.
2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa mabeberu, Hatuhitaji KIRANJA kutoka popote awe mwangalizi au MCHOCHEZI aseme ndio kilichofanywa au kilichosemwa kiwe na UHALALI.
KIRANJA wetu ni Rais wetu.
3) Inaudhi Sana, wasio Watanzania waisimange nchi yetu, walioko mbali waisimange nchi yetu, na walioko ndani WATUMIKE kuisimanga nchi yetu, yaani hatuoni kazi zilizofanyika tunaona tu hatuna tume huru?????.
4) NCHI YETU HATUJAWAHI KUFANYA UCHAGUZI BILA TUME HURU YA UCHAGUZI, MIJITU MINGINE ILIKUWEPO NDANI TANGU UJANA WAO HADI SASA, LEO NDIO WAONE HATUNA TUME HURU?? MLISHAISHI MAISHA YENU TANGU ASUBUHI, JIONI YENU MNATAKA KUTUHARIBIA AMANI YA NCHI YETU, VIJANA TUKO MACHO, "HATUTATUMIKA" HATUTARUHUSU TAMAA ZENU ZA MADARAKA KUVUNJA AMANI YA NCHI YETU.
WALIOWATUMA WAPENI TAARIFA kwamba TANZANIA IPO IMARA, na ina KIONGOZI wa Nchi IMARA zaidi ya JANA.
Pia soma:
Elections 2020 - Bernard Membe: Tunafanyaje Uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi na Waangalizi wa Uchaguzi wa Kimataifa?
Mtaani tunasema kaseme alichosema mwenyekiti na sio tofauti...waziri kamasio yeye aliyekuwa anamponda Magufuli..maisha haya kweli muda ndo sababu ya msingi kwenye kila kituHuyu ndiye waziri wa Katiba na sheria wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Mbaya zaidi na wewe ni waziri, hii ni aibu. Hivi ukiwa mwana ccm lazima uwe mpumbavu?
Nna mashaka na PhD yako. Stupid.
[/QUOT
phd za kupeana mjini hapa..lamsingi chanel tu
hata shetani akizeeka anakuwa malaika usisahauMembe kisa anautaka Urais ndio anatudanganya na mambo ya tume huru.