kwann hawasemagi wakiwa madarakani jamani..kila mtu anasema wakati yuko njee ya uwanja na sio ndani..wanakuwa kama mashabiki kwann hakupiga vizuri pale wakati yuko njeeHata Rais mstaafu, Mh. Mkapa, katika kitabu chake, aliongekea umuhimu wa kuundwa Tume huru ya uchaguzi. Hii ni ishara kuwa hii "taasisi" haiko huru!
sasa unadhani bila kusifia tajiri yako watoto wataishi vipi mjini kaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njaa mbaya sana
Kabla ya kumtukana mwenzako hebu jitadhimini Basi kwanz wewe, usikomenti tu ili na wewe uonekane umechangia uzi.Hivi vetting ya kumpa mtu uwaziri awamu hii ikoje? Mbona wajinga wengi sana kwenye baraza!
sasa unadhani bila kusifia tajiri yako watoto wataishi vipi mjini kaka
Haujui ni singida gani halafu unachangia uzi, Jamani kama hauna Cha kuchangia ni Bora pia ukaa tu ukawa msomaji tu. Otherwise utaaibika bure.Kitila Mkumbo anakusubiri.Wewe shupalia Magufuli tu badala ya kuongelea uliyoyafanya Singida mashariki sijui magharibi.
kuna utofauti wa elimu ya mtaani na elimu ya darasani...darasani tunasoma ngoswe lakini mtaani ili maisha yaende lazima uwe na mahusiano na watu wengi siop lazima yawe ya kimapenzi...na pia wengne wanakuwa na mahusiano ya kimapenzi ofisini na bado maisha yanaendaKwa elimu walizonazo na wanayoyafanya habiendani kabisa
Hajacomment vibaya amuhoji vigezo vya kuwachagua ni vipi na mie namuunga sana mkono maana sio wajinga tu ila wanafanya kazi kwa kuangalia sana waandishi wa habari na magazeti tuKabla ya kumtukana mwenzako hebu jitadhimini Basi kwanz wewe, usikomenti tu ili na wewe uonekane umechangia uzi.
Grow up.
Unaweza kusoma lkn usielimikeNapata shida kuamini kama hayo maneno yametoka kwa msomi first class
Sihitaji kujua. Point ni kwamba Kitila Mkumbo atagombea jimbo linaloongonzwa na Mwigulu. Katika medicine bora useme haujui kuliko kuandika jibu la uongo.Haujui ni singida gani halafu unachangia uzi, Jamani kama hauna Cha kuchangia ni Bora pia ukaa tu ukawa msomaji tu. Otherwise utaaibika bure.
Kwani kuna Muda uliopangwa wa kudai Tume Huru uliowekwa? Tumia akili kidogo tu kufikiri sio unaandika upupu
Tanzania ni Tanzania na Kenya ni Kenya.
Kwa mujibu wa sheria iliyounda Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni Tume huru, japo sio Shirikishi.
P
Game ya Simba na Yanga, Kocha wa Simba ndio anamteuwa Refa, kamisaa na maraizi meni. Kutakuwa na Fairness kweli?Pascal,
Hoja yako haina mashiko. Unajitekenya halafu unacheka mwenyewe. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu....tukubaliane kutokukubaliana: TANZANIA HATUNA TUME HURU YA UCHAGUZI! That's all.
Mkuu Mzalendo, kwenye ujengaji wa hoja yoyote, lazima uwe na vigezo unavyotumia kujenga hoja yako na kufikia hitimisho kama NEC ni Tume huru au la, kisha akautetea msimamo wako based on vigezo vyake.Pascal,
Hoja yako haina mashiko. Unajitekenya halafu unacheka mwenyewe. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu....tukubaliane kutokukubaliana: TANZANIA HATUNA TUME HURU YA UCHAGUZI! That's all.
Mwigulu ni shetani lililojivika sura ya binadamu. Kuna kipindi alikuwa anamtumia kijana mmoja alimwagiwa tindikali kama mtaji wa kisiasa kila chocho kila media anampeleka.Wakazi wa Arusha hawatamsahau kwa tukio la kipoteza wapendwa wao kwenye siku ya kufunga kampeni ya uchaguzi mdogo zilizofanyika viwanja vya Soweto R.I.P wapendwa