Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

Hata Rais mstaafu, Mh. Mkapa, katika kitabu chake, aliongekea umuhimu wa kuundwa Tume huru ya uchaguzi. Hii ni ishara kuwa hii "taasisi" haiko huru!
kwann hawasemagi wakiwa madarakani jamani..kila mtu anasema wakati yuko njee ya uwanja na sio ndani..wanakuwa kama mashabiki kwann hakupiga vizuri pale wakati yuko njee
 
Hivi vetting ya kumpa mtu uwaziri awamu hii ikoje? Mbona wajinga wengi sana kwenye baraza!
Kabla ya kumtukana mwenzako hebu jitadhimini Basi kwanz wewe, usikomenti tu ili na wewe uonekane umechangia uzi.

Grow up.
 
Kitila Mkumbo anakusubiri.Wewe shupalia Magufuli tu badala ya kuongelea uliyoyafanya Singida mashariki sijui magharibi.
Haujui ni singida gani halafu unachangia uzi, Jamani kama hauna Cha kuchangia ni Bora pia ukaa tu ukawa msomaji tu. Otherwise utaaibika bure.
 
Kwa elimu walizonazo na wanayoyafanya habiendani kabisa
kuna utofauti wa elimu ya mtaani na elimu ya darasani...darasani tunasoma ngoswe lakini mtaani ili maisha yaende lazima uwe na mahusiano na watu wengi siop lazima yawe ya kimapenzi...na pia wengne wanakuwa na mahusiano ya kimapenzi ofisini na bado maisha yanaenda

tujue kutofautisha
 
Kabla ya kumtukana mwenzako hebu jitadhimini Basi kwanz wewe, usikomenti tu ili na wewe uonekane umechangia uzi.

Grow up.
Hajacomment vibaya amuhoji vigezo vya kuwachagua ni vipi na mie namuunga sana mkono maana sio wajinga tu ila wanafanya kazi kwa kuangalia sana waandishi wa habari na magazeti tu
 
Msomi wa PHD anaandika aya nzima kwa herufi kubwa! mfano huyu anakuwa mwalimu wangu nabadili course nasomea hata ufugaji wa nzi.
 
Haujui ni singida gani halafu unachangia uzi, Jamani kama hauna Cha kuchangia ni Bora pia ukaa tu ukawa msomaji tu. Otherwise utaaibika bure.
Sihitaji kujua. Point ni kwamba Kitila Mkumbo atagombea jimbo linaloongonzwa na Mwigulu. Katika medicine bora useme haujui kuliko kuandika jibu la uongo.
 
Kwani kuna Muda uliopangwa wa kudai Tume Huru uliowekwa? Tumia akili kidogo tu kufikiri sio unaandika upupu

Chukueni Membe awasaidie acheni kiherehere msio sikia la mkuu mtavunjika shingo.
 
Tanzania ni Tanzania na Kenya ni Kenya.
Kwa mujibu wa sheria iliyounda Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni Tume huru, japo sio Shirikishi.
P

Pascal,
Hoja yako haina mashiko. Unajitekenya halafu unacheka mwenyewe. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu....tukubaliane kutokukubaliana: TANZANIA HATUNA TUME HURU YA UCHAGUZI! That's all.
 
Pascal,
Hoja yako haina mashiko. Unajitekenya halafu unacheka mwenyewe. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu....tukubaliane kutokukubaliana: TANZANIA HATUNA TUME HURU YA UCHAGUZI! That's all.
Game ya Simba na Yanga, Kocha wa Simba ndio anamteuwa Refa, kamisaa na maraizi meni. Kutakuwa na Fairness kweli?
 
Pascal,
Hoja yako haina mashiko. Unajitekenya halafu unacheka mwenyewe. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu....tukubaliane kutokukubaliana: TANZANIA HATUNA TUME HURU YA UCHAGUZI! That's all.
Mkuu Mzalendo, kwenye ujengaji wa hoja yoyote, lazima uwe na vigezo unavyotumia kujenga hoja yako na kufikia hitimisho kama NEC ni Tume huru au la, kisha akautetea msimamo wako based on vigezo vyake.

Mimi nimesema Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni Tume huru based on sheria iliyounda Tume hiyo ni Tume huru kimuundo, kama ilivyo ofisi ya CAG, Ofisi ya DPP, Tume ya Maadili, Tume ya Haki za Binaadam etc.

Kwa wengi kwao wanaona uhuru tuu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, kwanza mimi najua kuwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni Tume huru ila tatizo la Tume ni sio Shirikishi, not inclusive na sio kuwa Tume sio huru!. Kwangu mimi tatizo la chaguzi zetu ni sheria mbovu ya uchaguzi na uwanja usio sawa.

Sheria ya Uchaguzi Ni Bad Law! Kuendelea Kuitumia ni Ujinga? Kuwabebesha Masikini Gharama za Uchaguzi ni Dhambi!

Hivyo naunga mkono kukubaliana kutokubaliana na kuheshimu mawazo yako based on hoja zako.
Kukubaliana kutokubaliana is very healthy kwenye mijadala yote civilised.
P
 
Wakazi wa Arusha hawatamsahau kwa tukio la kipoteza wapendwa wao kwenye siku ya kufunga kampeni ya uchaguzi mdogo zilizofanyika viwanja vya Soweto R.I.P wapendwa
Mwigulu ni shetani lililojivika sura ya binadamu. Kuna kipindi alikuwa anamtumia kijana mmoja alimwagiwa tindikali kama mtaji wa kisiasa kila chocho kila media anampeleka.
 
Lakini Tume huru zimekuwepo zikitangaza hata wapinzani kama wabunge katika majimbo yetu na uchaguzi wa 2015 kweli wabunge upinzani waliongezeka sana Bungeni. Twendelee kuziamini hizi tume huru.
 
Back
Top Bottom