Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

Wewe mzee sijui una tatizo gani? kudai tume huru kuna kutoa povu na wakati mmejenga viwanda, barabara, sijui ndege na Iramba sasahivi lami mpaka kwenye nyumba za tembe yaani Iramba ni zaidi ya Moshi, shida yenu nini?

Hivi nyie Tanzania ndiyo yenu peke yenu wengine hawaruhusiwi kuwa na fikira tofauti na nyie? Unajua unafisia siyo kutoka moyoni isipokuwa ni kumpamba mzee masifa aendelee kukuteua.
 
Sihitaji kujua. Point ni kwamba Kitila Mkumbo atagombea jimbo linaloongonzwa na Mwigulu. Katika medicine bora useme haujui kuliko kuandika jibu la uongo.
Got it, Ila mwigulu atashinda.😏😏😏
 
Lameck kampa za USO Joka la mdimu anayejifanya anajua kila kitu
 
Mwigulu ni shetani lililojivika sura ya binadamu. Kuna kipindi alikuwa anamtumia kijana mmoja alimwagiwa tindikali kama mtaji wa kisiasa kila chocho kila media anampeleka.
Huyo kijana anaitwa Musa alimwagiwa tindi kali kwenye uchaguzi Igunga ambako Mwigulu alikamatwa ugoni,alikuwa anatembea na huyo kijana kwenye gari na kina Mwambapa na kina Shonza.

Halafu usiku ukiingia Juliana Shonza haijulikani room aliyokuwa analala kwenye hizo ziara huku asbh akionekana mchovu na mnyonge huku Mwigulu akifurahi na yale masharubu na kofia ya kijani yenye nyota nyekundu
 
Kabisa
 
Tuache kujimwambafy na kujazana ujinga nakupeana story zakitoto, hii nchi haiwez kujimudu bila mikopo na misaada ya hao mabeberu(wahisani).

Hatakama hatuna PhD ila tuheshimiane jaman naporojo kma hizi mutafute mahali pakuzipeleka
 
uliropoka bungeni ukapewa uwazir
sasa unaropoka tena sijui unataka nini tena.
ivi na wewe ni miongoni mwa wale wanaoamini kwenye MABEBERU yanayokusaidia hata maboma ya sindano?
 
Wewe huna haki ya kusema lolote, kabla ya kupewa ulaji mbona ulikua kimya kabisa leo hii ndio umeamka? Hizi njaa zimewageuza mashetani
 
Mwigulu, umeanza kulewa madaraka mapema hivi? Huyo Magufuli angekuwa hana tamaa ya madaraka ange amuru TL achapwe risasi mchana kweupe?

Kama kweli angekuwa hana tamaa ya madaraka angechapicha fomu moja tu, ya kugombea Urais kupitia CCM? Mkila na kuvimbiwa msifanye watu wengine wajinga.
 
Wewe huna haki ya kusema lolote, kabla ya kupewa ulaji mbona ulikua kimya kabisa leo hii ndio umeamka? Hizi njaa zimewageuza mashetani
Kusifia pumba ndo kumemtoa.
Yeye ndo alishauri data za Corona zisitolewe kabisa.
 
Napata shida kuamini kama hayo maneno yametoka kwa msomi first class
Ni kama huko akilini mwangu vile, niko nawaza kumbe nami naweza kumzidi japo sina PhD, Elimu yetu imeporomoka sana kama mwenye PhD anaandika hivi!!. na ndio maana nakutana na vijana waliomaliza kidato cha 4 lkn hawawezi kuandika milioni 1 kwa tarakimu.
 
Tume huru so mali ya chama cha Siasa bali ni mali ya umma tena hao walipa kodi ambazo mawaziri na wabunge wanunulia nguo za ndani,chakula na kulipa karo za watoto wao.

Nchi kua huru aitoshi kama wananchi wenyewe awapo huru kutoa maoni yao.Kuwaita watoa misaada na mikopo kwa ajiri ya Afya,Shule,bara bara leo mnawaita mabeberu.
 
Umeongea kila kitu haswaaa.kwa kifupi wapo watu wachache huenda matamanio yao ni kuona vurugu nchini mwetu, la msingi wafahamishwe kuwa Watanzania hatuongozwi na maneno ya kuunga unga tuna Kiongozi imara na shupa yupo makini kutuvusha.
 
nimeielewasa sana hyo point ya 4, mimi siipendi ccm, unafiki unasumbua sana watu, wanaoikimbia ccm wanapaswa kuogopwa kuliko ccm yenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…