Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

Waruhusu wagombea wengine wachukue form ili cc yenu iwachuje, kwanini mnaogopa sana ushindani?
Asante mheshimiwa neno kuntu kabisa hili. Wanajaribu kutikisa meli kwa mikono huku wamo ndani. Hawana madhara yoyote wananchi tunaona na tutawaadhibu.
 
Anawalaza na viatu mataga
Yaani Membe hajawahi kusema tume huru wakati anashinda ubunge Mara zote Leo yuko nje ndo atake tume huru anayotaka yeye, ajiandae kunyolewa tu
 
Tunakumbushana tu.
1. Mwigulu Nchemba tayari amewekewa 250m kwenye account yake. Yaani salio lake kwa sasa ni zaidi ya Tsh 250,000,000/=. Acha asifie.

2. Kuna upinzani wa kugombea jimbo kati yake na Kitila kwa hiyo ili asikatwe lazima asifie.

NB: Siasa zinalipa. Nakushauri wewe unayesoma hapa chukua fomu ya ubunge mwaka huu maana lolote linaweza kutokea sasa au baadae (uteuzi).
 
Why Rais wenu anapenda kusifiwa tu muda wote? Yeye hakosei? And Mkuu kwenye watu mil 50 unataka wote wafanane mawazo??? Hiyo kitu haiwezekani! Even God was and still is challenged! Acheni huo ulimbukeni wa madaraka.
Lini alikwambia haya
 
Hao "mijitu" ndiyo kina nani? Waziri mzima unaonyesha chuki hivi kwa mtanzania mwenzako kisa tu kautaka urais, je akija kwako kuhitaji msaada kama waziri utamsaidia?

Ndiyo maana huwa naamini unahusika katika mauaji kadhaa na watu kupotea! Waziri huwezi kuita raia "lijitu"
 
Hatuhitaji kusikia chochote kutoka kwa huyu. Kwanza akafute mabandiko yake yote ya "MWIGULU RAIS 2015" kwenye mawe yote nchi zima. Aende pia kulipa gharama za matangazo kwenye halmashauri zote nchi zima.
 
Back
Top Bottom