kukumweupe
JF-Expert Member
- Apr 18, 2020
- 439
- 599
Alikuwa wapi wakati kimwete ndugu yake anaweka sheria ya kugombea peke yake akisaidiwa na shekhe yahaya HusseinMembe kisa anautaka Urais ndio anatudanganya na mambo ya tume huru.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa wapi wakati kimwete ndugu yake anaweka sheria ya kugombea peke yake akisaidiwa na shekhe yahaya HusseinMembe kisa anautaka Urais ndio anatudanganya na mambo ya tume huru.
Yaani Membe hajawahi kusema tume huru wakati anashinda ubunge Mara zote Leo yuko nje ndo atake tume huru anayotaka yeye, ajiandae kunyolewa tu
Vetting ya uwaziri awamu hii ni uwezo wako wa kumsifia bwana mkubwaHivi vetting ya kumpa mtu uwaziri awamu hii ikoje? Mbona wajinga wengi sana kwenye baraza!
Membe na Rostam walikuwa mstari wa mbele kuwashawishi wana CCM wengine wasichukue fomu kumpinga Kikwete leo kisa anataka yeye hakumbuki utaratibu wa ChamaAlikuwa wapi wakati kimwete ndugu yake anaweka sheria ya kugombea peke yake akisaidiwa na shekhe yahaya Hussein
Hivi kuna mtanzania anaendaga kuobserve uchaguzi wa Uingereza ?
Mwambieni membe aachekutumika na mabeberuDah mkuu umeniwahi, wewe ukiuweka kule kwenye mitandao ya mabeberu (Twitter,FB,Instagram) jua tu utafika hapa JF 😀
Ukiwa na akili timamu,sijui kama utakubaliana na maneno hayo.
Kesho hao anawaita mijitu wakishika madaraka,utaona tena anajikomba na kuwalamba miguu...4) NCHI YETU HATUJAWAHI KUFANYA UCHAGUZI BILA TUME HURU YA UCHAGUZI, MIJITU MINGINE ILIKUWEPO NDANI TANGU UJANA WAO HADI SASA
Mkuu,"Mijitu" ndio lugha gani,msipaniki jibuni hoja tu
"yaani hatuoni kazi zilizofanyika tunaona tu hatuna tume huru?????."
Wewe kama unaona kazi zinazofanyika,wengine wanaona ambazo hazifanyiki kwahio endeeleni kuwa wapole tu
Tanzania itajengwa na watanzania wote ikiwa ni pamoja na wenye mawazo tofauti ya yenu
Nashangaa katumia lugh ya hovyo alafu watu mods wanafuta comments za watu wanaomjibu!Hao "mijitu" ndiyo kina nani? Waziri mzima unaonyesha chuki hivi kwa mtanzania mwenzako kisa tu kautaka urais, je akija kwako kuhitaji msaada kama waziri utamsaidia?
Ndiyo maana huwa naamini unahusika katika mauaji kadhaa na watu kupotea! Waziri huwezi kuita raia "lijitu"
Huyu aliyekamatwa hadi analialiaMembe anawatesa sana,kasema sentesi moja mmetoka shimoni
Hapa mwigulu anatetea nchi yake sio tumbo mwigulu hana njaa kama ukoo wenuEndelea kusifia Mwigulu ili utetee tumbo lako maana elimu mlizosoma nyie mnaojiita wasomi wa nchi hazijawakomboa kifikra kwani mnaamini bila siasa na kujikomba kwa binadamu mwenzio huwezi kuishi kwa kupata tonge...Jitu zima unakaa kutumia mda wako kutype unamsifia mwanamme mwenzako hata aibu huna..Njaa mbaya sana
Hata Rais mstaafu, Mh. Mkapa, katika kitabu chake, aliongekea umuhimu wa kuundwa Tume huru ya uchaguzi. Hii ni ishara kuwa hii "taasisi" haiko huru!