Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

Membe kisa anautaka Urais ndio anatudanganya na mambo ya tume huru.
Alikuwa wapi wakati kimwete ndugu yake anaweka sheria ya kugombea peke yake akisaidiwa na shekhe yahaya Hussein
 
Yaani Membe hajawahi kusema tume huru wakati anashinda ubunge Mara zote Leo yuko nje ndo atake tume huru anayotaka yeye, ajiandae kunyolewa tu

Ni hivi, hakuna mtanzania bila kujali itikadi yake asiyejua kuwa tume hii ya uchaguzi sio huru. Membe ni mnafiki aliyeamua kuusema ukweli kwakuwa tume hii iliyopo haimbebi. Angekuwa na nafasi ccm kwakuwa tume hii mbovu inambeba, angekaa kimya.

Nawashauri wapinzani wapige kelele za nguvu kuhusu Tume huru ya uchaguzi, maana kelele hizi zinawachanganya wezi wa kura. Na sisi wapiga kura tunaojitambua tutamia ushawishi wetu huku mitandaoni na mitaani, kufikisha madai halali ya tume ya huru ya uchaguzi.
 
Alikuwa wapi wakati kimwete ndugu yake anaweka sheria ya kugombea peke yake akisaidiwa na shekhe yahaya Hussein
Membe na Rostam walikuwa mstari wa mbele kuwashawishi wana CCM wengine wasichukue fomu kumpinga Kikwete leo kisa anataka yeye hakumbuki utaratibu wa Chama
 
4) NCHI YETU HATUJAWAHI KUFANYA UCHAGUZI BILA TUME HURU YA UCHAGUZI, MIJITU MINGINE ILIKUWEPO NDANI TANGU UJANA WAO HADI SASA

Mkuu,"Mijitu" ndio lugha gani, usipaniki jibu hoja tu,hii ni dalili ya chuki

"yaani hatuoni kazi zilizofanyika tunaona tu hatuna tume huru??"

Wewe kama unaona kazi zinazofanyika,wengine wanaona ambazo hazifanyiki kwahio endeeleni kuwa wapole tu

Tanzania itajengwa na watanzania wote ikiwa ni pamoja na wenye mawazo tofauti ya yenu
 
Kwanini msijali maslahi mapana ya taifa letu? Magufuli hana sifa za kuwa rais hata sasa ilitakiwa awe jela sio Ikulu.

-Unajua kwanini alimtoa CAG? ili aibe vizuri.

-Ameuza haki za watu kwa kuwaambia wampe hela wakati mahakama haijathibitisha kuwa wana hatia.

-Ameua uhusiano wetu na majirani pasipo sababu yoyote.

-Amewageuza watu wazima misukule kama wewe, hata akiwaambia msivae barakoa hamvai ili tu mumfarahishe.

-Ameshindwa kuajiri wala kuongeza mishahara.

-Amemaliza pesa zooote za mifuko ya jamii kujengea uwanja wa ndege Chato.

-Ameua biashara na uwekezaji. Soko la hisa DSE sasa hivi mauzo ni SIFURI.

-Ni muongo, anawadanganya watu kamaliza Corona Tanzania. Yaani Corona iwepo Kenya , Uganda Zambia, Rwanda na Burundi ila Tanzania isiwepo???

ATASHINDA KWA KUTUKIA POLISI, TISS NA TUME YA UCHAGUZI ILA SIO KWA KURA ZA WATANZANIA.
 
4) NCHI YETU HATUJAWAHI KUFANYA UCHAGUZI BILA TUME HURU YA UCHAGUZI, MIJITU MINGINE ILIKUWEPO NDANI TANGU UJANA WAO HADI SASA

Mkuu,"Mijitu" ndio lugha gani,msipaniki jibuni hoja tu

"yaani hatuoni kazi zilizofanyika tunaona tu hatuna tume huru?????."

Wewe kama unaona kazi zinazofanyika,wengine wanaona ambazo hazifanyiki kwahio endeeleni kuwa wapole tu

Tanzania itajengwa na watanzania wote ikiwa ni pamoja na wenye mawazo tofauti ya yenu
Kesho hao anawaita mijitu wakishika madaraka,utaona tena anajikomba na kuwalamba miguu...
NDUMILAKUWILI.
 
Hao "mijitu" ndiyo kina nani? Waziri mzima unaonyesha chuki hivi kwa mtanzania mwenzako kisa tu kautaka urais, je akija kwako kuhitaji msaada kama waziri utamsaidia?

Ndiyo maana huwa naamini unahusika katika mauaji kadhaa na watu kupotea! Waziri huwezi kuita raia "lijitu"
Nashangaa katumia lugh ya hovyo alafu watu mods wanafuta comments za watu wanaomjibu!
 
Upo Sahihi Mh Mwigulu! Hao Vibaraka hawawezi kututisha we are Sovereign Country! Wasubiri maumivu October' "The Comrades "
 
Endelea kusifia Mwigulu ili utetee tumbo lako maana elimu mlizosoma nyie mnaojiita wasomi wa nchi hazijawakomboa kifikra kwani mnaamini bila siasa na kujikomba kwa binadamu mwenzio huwezi kuishi kwa kupata tonge...Jitu zima unakaa kutumia mda wako kutype unamsifia mwanamme mwenzako hata aibu huna..Njaa mbaya sana
Hapa mwigulu anatetea nchi yake sio tumbo mwigulu hana njaa kama ukoo wenu
 
Hata Rais mstaafu, Mh. Mkapa, katika kitabu chake, aliongekea umuhimu wa kuundwa Tume huru ya uchaguzi. Hii ni ishara kuwa hii "taasisi" haiko huru!

Watu wote wene akili timamu wanajua huo Ukweli! TANZANIA INAHITAJI KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI. Hili hata Magufuli na Mwigulu Mchemba wanalijua....!
 
Back
Top Bottom