SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Yaani yuko kama anatokea Kongwa vile.Wewe Mwigulu ndio wale wanasiasa ;malaya malaya" aliowasema Nyerere. "Malaya malaya kwa kuwa mna bei, yaani mnanunulika". Bei yako ni cheo.
Yale mawe uliyoyaandika "mwigulu rais 2015" nenda kayafute.
Tume huru kimekuwa ni kilio Cha muda mrefu Cha vyama vyote vya upinzani nchini na hata wapenda Haki wa chache ndani ya ccm, Nini maana ya wananchi kukaa juani siku nzima kupiga kura, alafu mwisho wa siku mwenye maamuzi ya kuamua Nani ashinde ni time ya uchaguzi yenye vibaraka wa chama tawalaYani nyie ni vitasa kweli,! Mnadai tume huru leo? Miezi 3 kabla?
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Hamna sasa unatakaje?Nisaidie kuuulizia zile milioni hamsini kila kijiji. Naomba msaada wako.
Waafrica hatuna hulka ya kuongea wakati tunakula,hata mwigulu anajua tume siyo huru Ila kwa kuwa yupo mezani Sasa hawezi ongeaYaani Membe hajawahi kusema tume huru wakati anashinda ubunge Mara zote Leo yuko nje ndo atake tume huru anayotaka yeye, ajiandae kunyolewa tu
Mkuu Mwigulu anasema Magufuli ndo rais wetu Sasa huo uchaguzi wa October ni kwa ajiri ya kuchagua rais wa wapi?Nyie mnaendeleza huo u Yesu ndio wapumbavu kuliko yule alietamka pale bungeni.
Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
Hoja hapa ni dola huru kufanya mambo yake kwa uhuru bila kuingiliwa na mabeberu. Kwa kuzingatia katiba na sheria za nchi.Ndio maana miaka yote chaguzi zimekuwa huru na zinafanyika kwa amani.Kitila Mkumbo anakusubiri.Wewe shupalia Magufuli tu badala ya kuongelea uliyoyafanya Singida mashariki sijui magharibi.
Mwigulu ni mwanasiasa wa ccm! Hana tofauti na Masigwa au Mbowe, au Lisu kutokea na kusema Rais wetu ni Lisu kuanzia oktoba,!Mkuu Mwigulu anasema Magufuli ndo rais wetu Sasa huo uchaguzi wa October ni kwa ajiri ya kuchagua rais wa wapi?
Wezi katika ubora waoHivi kuna mtanzania anaendaga kuobserve uchaguzi wa Uingereza ?
Haya ni maoni ya Mwigulu kama yeye ameweka kando madaraka yake. Na hapa anaeleza ukweli. Tanzania ni dola huru na inafanya mambo yake bila kuingiliwa na taifa lolote lile.Mwigulu huitetei nchi, bali unajipendekeza kwa rais kwakuwa anaweza kukupa madaraka, ambayo yatakufanya ww, familia yako na ukoo wenu kuepukana na umasikini. Huna historia ya kuitetea nchi, bali siku zote umekuwa na utamaduni wa kukitetea ccm, maana huko ndio una nafasi ya kuepukana na umasikini. Isitoshe we sio mtu muadilifu, bali ni mtu wa siasa za chuki, ukatili na uhasama. Unajipa jukumu la kumtetea rais kwani kwa yale uliyoyafanya, cheo cha urais tu ndio kinaweza kukupa cover. Lakini kwa maneno marahisi ww sio mzalendo, bali ni muhuni mwenye madaraka ya kujipendekeza.
Yatamkuta tu ni habari ya muda! kwani Membe anaepiga Miayo sasa hivi wakati akiwa kwenye panel na mkwere ungemwambia leo atakuwa mlizi angekuelewa?Never ever!
Anachoongea Mwigulu Nchemba hapa ni ULEVI WA MADARAKA kwa vile yuko ndani ya CCM!
Angelikuwa Yuko Upinzani asinge ropoka huo ujinga!
Nani kasema waanakomolewaMkuu unadhani hapa wanaokomolewa ni CHADEMA?
Tukiharibu kwenye uchaguzi na kupata Viongozi wabovu maumivu hayatakuwa ya CHADEMA,yatakuwa kwa wananchi wote...
Tujikumbushe kwa uchache tu...
Maamuzi mabovu yaliyofanywa kwenye zao la korosho,wanamtwara na Lindi watwambie,waliokuwa CCM waliuza kwa bei kubwa zaidi ya wale wa CUF,ACT NA CHADEMA?
Watumishi wa umma waliochagua CCM wameongezewa mishahara yao kwa miaka 5 ukilinganisha na wale waliochagua UKAWA?
Mawazo Kama ya kwako,(kudhani kwamba kudai haki ni kazi ya kundi fulani),ni hafifu sana, kwani madhara ya kutokuwepo kwa haki hiyo hata wewe yatakupata
Yatamkuta tu ni habari ya muda! kwani Membe anaepiga Miayo sasa hivi wakati akiwa kwenye panel na mkwere ungemwambia leo atakuwa mlizi angekuelewa?
Membe kishasababisha madifi yanagonja pichu!Huyu ndiye waziri wa Katiba na sheria wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Tazama alichopost na picha aliyoweka.
View attachment 1485190
View attachment 1485186
Mnafiki tu huyo anajitengenezea sifa za kurithi uongozi wa kidikteta!Jitu Kama Mwigulu Nchemba ATI Daktari(sijajua ni daktari wa nn)linafikri MAGUFULI atakuwa Rais wa MAISHA na si ajabu ndo kundi la kina Kessy, Ngamia na Ayubu wanaopiga debe Magufuli AONGEZEWE MUDA wa Urahisi mpaka 2040 watakaporudi Bungeni Nov, 2020!! Yajayo ni kichefuchefu!