Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

Uchaguzi 2020 Mwigulu Nchemba: Rais wetu ni Magufuli, waambieni waliowatuma enyi wenye tamaa ya Madaraka

Savimbi katika ubora wako. Alafu nyinyi ndiyo munaongoza kuwaambia vijana wajiajiri wakati nyinyi mpo tayari mavi ya wanaume wezenu ili waendelee kuwapitisha kwenye uchaguzi kisha muteuliwe Uwaziri. Na hivi mumemjua Mfaulme Juha anapenda nini tutakoma.
 
Dume zima kusifia mwanaume mwenzako au wewe mambo swaaafi,tuelezane na uache kujikomba komba.
 
Yaani muangalizi huyo huyo,mgombea huyo huyo,muhesabu kura huyo huyo na mpanga matokeo huyo huyo
Na huyo ndio kiboko wa mabeberu na mawakala wao. Kila mlango wanaoujaribu wanakuta umefungwa.
Hivi ile kiki ya kujivunja mguu imeishia wapi!?
 
Mh! Nitafurahi ukinijibu, nakubaliana na wewe katika mengi, isipokuwa katika point number 3, hivi wewe kama waziri wa katiba unaona ni sawa kutokuwa na tume huru ya UCHAGUZI?

Mkurugenzi mteule wa Rais unadhani ataenda tofauti na maelekezo ya bosi wake?

Waiting for your reply dear brethren.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhe. P,
Sifa moja ya Wasukuma ni unafiki, umbeya na kujikomba kwa Sana!
Hivi kwa akili yako ukiwa tena mwana Habari(by profession) unathubutu kusema Tanzania na TUME HURU? Really? You must be joking seriously!
Yaani NEC iliyojaa wateule wa Mhe. Rais wa CCM, kuanzia Mwenyekiti, Mkurugenzi na Wasimamizi wote( Wakurugenzi wa Halmshauri na Majiji ) halafu useme hiyo Ni NEC HURU?
Je, unaweza kuilinganisha Tume ya Uchaguzi Tanzania (NEC) na Tume Huru ya Uchaguzi Kenya(IEBC) na utuambie hapa kama ziko sawa?
Tanzania ni Tanzania na Kenya ni Kenya.
Kwa mujibu wa sheria iliyounda Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni Tume huru, japo sio Shirikishi.
P
 
Clouds = Tibandebage
Cloud = Tiba
Na usije uka dhani Clouds ni mawingu! La hasha ni jina sasa kama TAZARA, CHADEMA, Tandika kuna kituo cha daladala kinaitwa FOMA - kwasababu kuna transformer ya Tanesco etc.
Bila kumjaji yeyote yule, hebu tuliangazie hili;

Unaelewa maana ya Trademark? Unajua kwamba Clouds na Cloud ni vitu viwili tofauti na vinaleta confusion?

Ama Samsung na Samsun si kitu kilekile bali ni vitu viwili tofauti?

Unaelewa kwamba Trademark si jina tu bali ni alama yenye hatimiliki na inapotumika ama tu kutamkwa vibaya kuna madhara yake?
 
Huyo Membe ni mnafiki tu mara mia wapinzani wadai hiyo Tume Huru italeta maana lakini huyu jamaa hamna kabisa nasema hivyo sababu alikuepo CCM mda mrefu hakujua kuomba Tume Huru mpaka walipompa shit ndo anajifanya kuijua Tume Huru, aache unaa..!
 
ulifanya Kama hivi ukarudi Tena kwenye first eleven ya Yohana...

Sasa bila shaka kwa Uzi huu unaweza kuupata ukapteni kabisa..

hongera
 
Why Rais wenu anapenda kusifiwa tu muda wote? Yeye hakosei? And Mkuu kwenye watu mil 50 unataka wote wafanane mawazo??? Hiyo kitu haiwezekani! Even God was and still is challenged! Acheni huo ulimbukeni wa madaraka.
Nani amekuzuia kukosoa hayo mapungufu yake? We utakuwa huyaoni ndio maana unafunga domo.
 
Tanzania ni Tanzania na Kenya ni Kenya.
Kwa mujibu wa sheria iliyounda Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni Tume huru, japo sio Shirikishi.
P
Nakuheshimu sana Pascal ila kwa hili, nakushangaa. Hivi DED ambaye ni mteule wa Rais anaweza kutenda haki kweli ikiwa anaona jahazi la chama chake linazama?

Yaani mwanaCCM akizamishe chama chake hivihivi kweli? Hata mimi naweza kichagua kuwa royal kwa chama langu aisee! Something is wrong....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1) Kwa Ushupavu wa Rais wetu, Watanzania tumeendelea na shughuli zetu zote, Hatuwazi Jambo moja tu la UCHAGUZI tuseme mazingira ya Corona, TANZANIA uchaguzi na kazi zote zinaendelea vilevile.

2) Tanzania ni nchi HURU, Watanzania tunafanya kazi zote bila uangalizi wa mtu yeyote toka kwa mabeberu, Hatuhitaji KIRANJA kutoka popote awe mwangalizi au MCHOCHEZI aseme ndio kilichofanywa au kilichosemwa kiwe na UHALALI.
KIRANJA wetu ni Rais wetu.

3) Inaudhi Sana, wasio Watanzania waisimange nchi yetu, walioko mbali waisimange nchi yetu, na walioko ndani WATUMIKE kuisimanga nchi yetu, yaani hatuoni kazi zilizofanyika tunaona tu hatuna tume huru?????.

4) NCHI YETU HATUJAWAHI KUFANYA UCHAGUZI BILA TUME HURU YA UCHAGUZI, MIJITU MINGINE ILIKUWEPO NDANI TANGU UJANA WAO HADI SASA, LEO NDIO WAONE HATUNA TUME HURU?? MLISHAISHI MAISHA YENU TANGU ASUBUHI, JIONI YENU MNATAKA KUTUHARIBIA AMANI YA NCHI YETU, VIJANA TUKO MACHO, "HATUTATUMIKA" HATUTARUHUSU TAMAA ZENU ZA MADARAKA KUVUNJA AMANI YA NCHI YETU.

WALIOWATUMA WAPENI TAARIFA kwamba TANZANIA IPO IMARA, na ina KIONGOZI wa Nchi IMARA zaidi ya JANA.

Pia soma:

Elections 2020 - Bernard Membe: Tunafanyaje Uchaguzi bila Tume Huru ya Uchaguzi na Waangalizi wa Uchaguzi wa Kimataifa?
waangalizi wa kimataifa hawazuiriki uwe unawataka au huwataki kwahiyo vumilia tu wazr
 
nakumbuka maneno ya Bagonza '' zamani tuliondoa ujinga kwa chuo kimoja ila asa hivi vyuo vingi tunaongeza ujinga"
 
Tunachokishangaa ni kwanini siku zote Tume huru haikuwa tatizo ionekane leo hii Tume huru ni tatizo kubwa?

Kuwa na viongozi ambao wapo tayari watanue magoli kwaajili ya kupata wanachokitaka ni tatizo kubwa,kwanini hii tume haikudaiwa 2005 au 2010 na iwe sasa?
 
Back
Top Bottom