Mwigulu Nchemba: Serikali imekusanya bilioni 48 kutoka kwenye Tozo za miamala ya simu kwa wiki nne

Mwigulu Nchemba: Serikali imekusanya bilioni 48 kutoka kwenye Tozo za miamala ya simu kwa wiki nne

Hongera sana waziri Mwigulu kwa kutoka na kuzitetea tozo zenu kwa hoja mujarabu.

Kama umenotice kuna change of attitude ya wananchi (hata kwa kutumia sample ya wanaJF) baada ya wewe kuzitolea maelezo hizo tozo (nini kimekusanywa, kilipokusanywa kimefanya nini, na falsafa iliyosukuma ujio wa hizo tozo ni nini).

Kilichomiss katika maelezo yako ni evidence. Mfano vijiji gani vilikuwa havina vituo vya afya na sasa kuna vituo vya afya vinajengwa baada ya hizo pesa kupelekwa.

Hii nchi ishaumizwa sana na wanasiasa na itahitaji watu creative katika hoja na katika vitendo ili kuweza kutuweka wote on the same page kimtazamo kuhusu maendeleo ya nchi yetu na kutondolea mashaka mashaka kama mnayoyasema kweli ndiyo yanayofanyika.
 
Kabla hakujakuwa na tozo serikali ilikuwa inatoa huduma inazotoa na kujenga miundombinu inayojenga kwa tozo sasa :-

1. Je fedha zilizokuwa zinapelekwa katika maeneo hayo (Zisizokuwa za tozo) zitaendelea kupelekwa?

2. Je maeneo yanayopelekewa fedha Hizo yameainishwa na bajeti iliyopangwa na Bunge?

3. Je nini na nani anaebainisha maeneo yanayopelekewa pesa za tozo mfano kijiji kisicho na zahanati Ruvuma kipewe zahanati kabla ya kijiji kisicho na zahanati Kigoma?

4. Maswali ni mengi...

Binafsi nadhani hili swala la kukusanya pesa kwa wananchi kama michango ya harusi na kuitumia kama pesa za rambirambi ni la ovyo na la ovyo kabisa hasa kwa kuzingatia kipengele muhimu cha ukusanyaji na utawanyishi wa rasilimali za Taifa.

Naona ingefaa upangaji wa tozo ungezingatia utaratibu wa Kodi kama Kodi za kipato na matumizi yake yafanywe kwa utaratibu wa Bunge la bajeti nahofia kutokuwa na usawa katika utozaji wa hizi tozo, upigaji na kutokuwa na usawa kwenye matumizi.
 
Wafanyabiashara nao wanadai business volume imeshuka, kuanzia kwa mawakala na mpaka kampuni za zinazotoa hiyo huduma.

Ukizingatia kila transaction inakuwa na 18% VAT ni kiasi gani cha hayo mapato nayo kimeporoka kutokana na kupungua kwa utumiaji wa huduma.

Si ajabu utakuta wanakusanya kitu kile kile kabla ya tozo (if not less) only that safari hii watu wachache ndio wanachangia na sehemu ya hiyo hela inaenda kwenye mfuko unaoitwa wa kizalendo.

Wakati kwenye kufanya ivyo they managed to piss a lot of people in the process.

Hela za kujenga zahanati na hospitali za mkoa ni mkopo Magufuli tu nae alikuwa
anapenda cheap politics kudai ni makusanyo.

Hela za kujenga shule mpya na kurekebisha shule kongwe pia zilikuwa ni mkopo na juzi wametuambia wamepata mkopo mwingine wa $2.5 billion za kuwekeza huko huko.

So tozo ni fidia ya kushuka kwa makusanyo ya TRA na majukumu waliyojitwika ya kupandisha madaraja watu bila ya serikali kuwa na uwezo (I can’t verify that it’s just a probability).

Hizi ndio zilikuwa sera enzi za JK serikali yake ilikuwa aijali taasisi zake kuongeza kodi na tozo kwa wananchi.

Baada ya Magufuli ndani ya miaka 5 NHC awajaongeza kodi kwa sababu mishahara nayo aikupanda ndani ya muda huo, pamoja na hayo alifuta tozo luluki ambazo walikuwa wamepewa wakulima, alipiga marufuku taasisi kuanzisha tozo kiholela na kujaribu kutoa middlemen.

Sasa tunatudi kulekule chekea wafanyabiashara, umiza wananchi. Mama alishaambiwa stick to the plan aachane na JK maana ata kutulia nae awezi, ‘Vasco da Gama’ in the making mikutano ikianza huko nchi za ulaya huyu mama atutamuona na hivi kuna Dreamliner ndio kabisa.
 
Muongo huyo anafikiri watanzania wajinga na mataahira....watu wamesusa kuweka pesa huko sasaamwendo waokutuma wanavyojua wao
 
Hiyo hesabu sijaielewa ya bi 22 kwa vituo 90 alafu bilion 15 vituo vingine 150, Pia watupe orodha ya maeneo vitakapojengwa ili tuongeze ufuatiliaji maaana tunataka vitu vinavyonekana na kushikika (TANGIBLE THINGS)
 
Kodi watu hawapingi,, shida ya nchi hili ni ubadhilifu, kesho na keshokutwa unasikia fedha zimechotwa, sijui nanii kapiga bilioni 2, halafu wanachekeana, lau kama wangekuwa serious(mafisadi wachukuliwe hatua, matumizi ya serikali yapunguzwe, wabunge mishahara ipunguzwe, walipe kama wengine, na kero ndogo ndogo) sio tu kodi, bali wananchi tungekuwa tuko radhi kuchangia mradi fulan.. Tuliweza kuwachangia watani(yanga) [emoji23][emoji23]ndio tushindwe vitu vya msingi kwa serikali yetu bwana.
Hahahahaha hahhahaha hili jamaaa seeng*** kweli. Eti tuliweza kuwachangia Yanga..
 
Watanzania ni wavivu wa kuyatafakari mambo kwa kina ... Wengi ni wafuata mkumbo..

Naona kuna hata MATAGA yanapiga kelele.. Ila yalikuwa yakimshangilia Magufuli alivyoigeuza nchi yote ka pocket money yake...

Miradi yote kaanzisha yeye...pesa zote alikomba yeye...

Watu tuliishi ka madigidigi na bado alikuwa akitutukana...na kufilisi watu na kuwafungia biashara zao.

Wapumbavu na wavivu wa kufikiri wanafikiri Rais Samia kuna pesa yeyote kaikuta..

Tutafakafi mambo kwa kina na sii kusubiri kutafakariwa.

Hii miradi Mama ana uwezo wa kuisusa. Anaongozwa na Busara

Wapumbaavu wana CCM ambao mnajitoa akili makusudi kabisa dawa yenu inachemka.

Mama songa Mbele..

Una maadui wengi.
Usiwe una comment chochote ukiwa umelewa kaka.
 
Watu mitandaoni wanaweza piga kelele huyu anaua biashara sijui TRA ovyo. Lakini waziri anaweza pata historical data zote Brela kampuni ngapi zilisajiliwa, akaenda TRA kuona TIN number ngapi zimekuwa issued, ngapi zimeacha kulipa kodi kwa sababu biashara imefungwa etc.

Waziri anaweza pata data za good imported, internal production volumes ya bidhaa mbali mbali zinazozalishwa na kukadiria vat ya mwaka; so many data.

Kutumia hizo info kufanya maamuzi sahihi ya kiuchumi sio kuokota malalamiko ya wabunge na mitandaoni na kuyafanyia kazi.

Maamuzi ya kiuchumi yanataka data kwanza na pili kwa mwanasiasa ni kuelewa wider impact ya maamuzi yako, tatu kuwa tayari kuishi na maamuzi yako na kuyatetea kwa sababu unaamini ni sahihi.

Hivi mtu unakuja unatuambia kuna wafanyabiashara wanakwepa kodi, sasa unadhani watu kama hao TRA wakitumia sheria kufanya forensic audit inakuwaje. Mjomba lazima wavamie account yako kuona matumizi yako ili wajue mzigo ulionunua na thamani yake kama umelipa VAT sahihi na kodi yao ya income/corporate tax.

TRA aikuwa na shida enzi za Magufuli (yes ndani ya taasisi kulikuwa na wahuni wachache) lakini ukikwepa kodi mziki wake wakija sio mdogo na wafanyabiashara walishaanza kuji tune psychologically kukwepa kodi ni sawa kuuwa biashara yako.

Nyie mmeenda warudisha wafanyabiashara zama zile, halafu unakuja unatuambia kuna watu awatoi risiti sasa unataka TRA wafanye nini wakati njia zao za kupambana na wakwepa kodi amzitaki ain’t that just pathetic.
 
Sasa tunatudi kulekule chekea wafanyabiashara, umiza wananchi. Mama alishaambiwa stick to the plan aachane na JK maana ata kutulia nae awezi, ‘Vasco da Gama’ in the making mikutano ikianza huko nchi za ulaya huyu mama atutamuona na hivi kuna Dreamliner ndio kabisa.

Mimi ni muumini wa chekea wafanyabiashara, ili mzigo ubebwe na wananchi wote.

Wafanyabiashara siyo wananchi?

Miaka ya Magufuli mmepiga sana kelele kwamba anaua sekta binafsi. Na ni kweli Magufuli aliingia pale with an attitude kwamba wafanyabiashara ni wakwepa kodi kwa hiyo lazima awabane. Katika kubana huko biashara nyingi zilishindwa kupanuka na hicho kinachoitwa kupungua kwa mzunguko wa pesa mtaani ni matokeo ya sera za serikali za kuwakamua watu wachache wenye biashara rasmi wanaoweza kufikika na vyombo rasmi vya kukusanya mapato, yaani TRA.

Nchi ina watu milioni 60, wafanyabiashara rasmi watozwao kodi hawafiki hata milioni 5, yet unawakamua as if serikali ndiyo itakayowarejeshea mikopo benki, kuwalipa mishahara wafanyakazi wao, kuwalisha na kuwasomeshea watoto wao, kulipa pango, bado kuna kodi zingine utitiri na bado itabidi wamaintain na kukuza mitaji.

No. Nope! Hii nchi haikufutwa kodi ya kichwa ili mzigo uwaelemee watu wachache. Tozo za miamala ya simu ni njia mojawapo ya kuwafikia wananchi wengi ili yule aliyekoswa na TRA lakini anakidhi viwango vyote vya kulipa kodi (na watu wa dizaini hiyo wapo wengi tu) nao washiriki katika kuijenga nchi yao.

Hivi mwalimu wa shule ya msingi mwenye mshahara wa laki nne na nusu anatofautiana vipi na mlima mboga za kando ya mto anayeingiza laki nne na nusu kila mwezi? Tofauti yao ni moja tu: mwalimu wa shule ya msingi atakatwa takribani laki moja kila mwezi kama PAYE wakati mlima mboga ataitwa mwananchi tu eti asiyestahili kuguswa. Huu ni unyonyaji tu kama unyonyaji mwingine: aliukataa Nyerere enzi zile na tunaendelea kuukataa na tutaupiga vita hata sisi wa kizazi cha leo.

Kila mtu alipe kodi na kila mtu ashiriki kujenga nchi.
 
Wakuu,

Waziri wa Fedha, Dr Mwigulu Nchemba anazungumza na waandishi wa habari muda huu kuhusu miradi ya Serikali pamoja na Tozo za miamala ya simu pamoja na mafuta. Kuwa nami kukujuza yanayojiri

==========

Mwigulu Nchemba-Waziri wa Fedha na Mipango
=▷
Itakuwa aibu mtanzania yoyote alie hai, kuna mradi umekwama kwasababu tu viongozi waanzilishi labda hawapo duniani au hawapo kwenye madaraka, itakuwa aibu ya kila mtanzania alie hai leo.

=▷ Watanzania wameendelea kufanya shughuli za miamala, namba zinaendelea kucheza mulemule kama zilivyokuwa kabla. Kwa mfano kabla hatujaanza kulikuwa na miamala milioni kumi/ kumi na moja na sasa inacheza humo humo kwenye milioni 10/ tisa kama ilivyokuwa mwanzo.

=▷ Katika wiki nne ambazo tumefanya hii shughuli wakati tukisubiri marekebisho haya tunayopanga kuyafanya, kwasababu hii ilikuwa sheria ya bunge iliendelea kutekelezwa

=▷ Lakini katika kipindi hicho ambapo shughuli hii ilianza hapo tarehe 15 mwezi wa saba mpaka hivi tunavyoongea leo ukioanisha na mapendekezo tuliyokuwa tumeyapangilia, tayari tumeshakusanya 48,489,225,670(Bilioni 48.4)

=▷
Katika hizo, tayari tumeshapeleka zaidi ya bilioni 22 kwenye vituo vya afya kwa maeneo ambayo hayana vituo vya afya kabisa ambapo ukipiga hesabu kwa haraka haraka ni zaidi ya vituo 90 vya afya

=▷ Tumeshapeleka nyingine zaidi ya bilioni 15 iende kwenye eneo hilohilo ambayo itafanya zaidi ya vituo 150 sasa kwenye maeneo ambayo hayakuwahi kuwa na kituo

=▷ Zaidi ya bilioni saba zingine kwaajili ya madarasa kwa ajili ya kujiandaa kupokea watoto wa form one, waziri mwenye sekta atakuja kusema jinsi alivyopangilia.

=▷ Kipindi cha mwezi mmoja Serikali imekusanya Sh 24 bilioni, kutokana na tozo za mafuta ambazo ni mahususi kwa ajili ya kujenga barabara.

=▷ Kama serikali tutaendelea kupokea na kuyafanyia kazi maoni yote, na haijalishi mtoa maoni yuko Serikalini au la, kwetu maoni ni maoni muhimu maoni hao yanalenga kujenga nchi yetu

=▷ Tuliokuwepo hapa ni dhamana tu, la msingi hata yote tunayofanya ni yetu na ni njia ya kupangalia namna ya kuyafanya, ndio maana ndio maana kiongozi wetu mkuu alisikia sauti hizo na akaelekeza kwamba haya mambo yafanyike.

=▷ Imechukua muda, ni utaratibu tu za kiutekelezaji wa maelekezo na sababu nitazielezea mbele, huwa tunahusisha na makundi mengine ambayo yako nje yetu sisi.

=▷ Mheshimiwa Rais akishakuwa na malengo mazuri namna hii na kule vijijini kwenye maeneo yetu, yakishakuwa mazuri hivi tusigombane kuhusu malengo wala khusu utaratibu. Tushauriane tu namna ya kufanya vizuri kwa ufanisi mzuri zaidi.

=▷ Tunapata ufanisi zaidi tukifanya hivyo, watanzania wanaoishi vijijini na wanaoishi mjini wote wajione wako Tanzania.

=▷ Hii ndio itakayotuondlea pengo la walionacho na wasianacho, zamani ilikuwa inatokea wanafanya mtihani, kijiji kizima hatokei hata mtoto mmoja aliefaulu kwahiyo kuboresha hii miundombine, afya watanzania tukibebe kwa yowe kabisa kwa sababu ni chetu. Niwaombe watanzania kuendela kuwa watulivu na wavumilivu.

Pia, soma=▷ Dkt. Ndugulile: Rais Samia ameagiza tulitazame upya suala la tozo, wananchi kuweni na subira tutakuja na mapitio
Yaani bila tozo ya miamala hakuna maendeleo!!!!!!
 
NImekukubali sana. Unastahili like kutoka kwangu
Mimi ni muumini wa chekea wafanyabiashara, ili mzigo ubebwe na wananchi wote.

Wafanyabiashara siyo wananchi?

Miaka ya Magufuli mmepiga sana kelele kwamba anaua sekta binafsi. Na ni kweli Magufuli aliingia pale with an attitude kwamba wafanyabiashara ni wakwepa kodi kwa hiyo lazima awabane. Katika kubana huko biashara nyingi zilishindwa kupanuka na hicho kinachoitwa kupungua kwa mzunguko wa pesa mtaani ni matokeo ya sera za serikali za kuwakamua watu wachache wenye biashara rasmi wanaoweza kufikika na vyombo rasmi vya kukusanya mapato, yaani TRA.

Nchi ina watu milioni 60, wafanyabiashara rasmi watozwao kodi hawafiki hata milioni 5, yet unawakamua as if serikali ndiyo itakayowarejeshea mikopo benki, kuwalipa mishahara wafanyakazi wao, kuwalisha na kuwasomeshea watoto wao, kulipa pango, bado kuna kodi zingine utitiri na bado itabidi wamaintain na kukuza mitaji.

No. Nope! Hii nchi haikufutwa kodi ya kichwa ili mzigo uwaelemee watu wachache. Tozo za miamala ya simu ni njia mojawapo ya kuwafikia wananchi wengi ili yule aliyekoswa na TRA lakini anakidhi viwango vyote vya kulipa kodi (na watu wa dizaini hiyo wapo wengi tu) nao washiriki katika kuijenga nchi yao.

Hivi mwalimu wa shule ya msingi mwenye mshahara wa laki nne na nusu anatofautiana vipi na mlima mboga za kando ya mto anayeingiza laki nne na nusu kila mwezi? Tofauti yao ni moja tu: mwalimu wa shule ya msingi atakatwa takribani laki moja kila mwezi kama PAYE wakati mlima mboga ataitwa mwananchi tu eti asiyestahili kuguswa. Huu ni unyonyaji tu kama unyonyaji mwingine: aliukataa Nyerere enzi zile na tunaendelea kuukataa na tutaupiga vita hata sisi wa kizazi cha leo.

Kila mtu alipe kodi na kila mtu ashiriki kujenga nchi.
 
Mimi ni muumini wa chekea wafanyabiashara, ili mzigo ubebwe na wananchi wote.

Wafanyabiashara siyo wananchi?

Miaka ya Magufuli mmepiga sana kelele kwamba anaua sekta binafsi. Na ni kweli Magufuli aliingia pale with an attitude kwamba wafanyabiashara ni wakwepa kodi kwa hiyo lazima awabane. Katika kubana huko biashara nyingi zilishindwa kupanuka na hicho kinachoitwa kupungua kwa mzunguko wa pesa mtaani ni matokeo ya sera za serikali za kuwakamua watu wachache wenye biashara rasmi wanaoweza kufikika na vyombo rasmi vya kukusanya mapato, yaani TRA.

Nchi ina watu milioni 60, wafanyabiashara rasmi watozwao kodi hawafiki hata milioni 5, yet unawakamua as if serikali ndiyo itakayowarejeshea mikopo benki, kuwalipa mishahara wafanyakazi wao, kuwalisha na kuwasomeshea watoto wao, kulipa pango, bado kuna kodi zingine utitiri na bado itabidi wamaintain na kukuza mitaji.

No. Nope! Hii nchi haikufutwa kodi ya kichwa ili mzigo uwaelemee watu wachache. Tozo za miamala ya simu ni njia mojawapo ya kuwafikia wananchi wengi ili yule aliyekoswa na TRA lakini anakidhi viwango vyote vya kulipa kodi (na watu wa dizaini hiyo wapo wengi tu) nao washiriki katika kuijenga nchi yao.

Hivi mwalimu wa shule ya msingi mwenye mshahara wa laki nne na nusu anatofautiana vipi na mlima mboga za kando ya mto anayeingiza laki nne na nusu kila mwezi? Tofauti yao ni moja tu: mwalimu wa shule ya msingi atakatwa takribani laki moja kila mwezi kama PAYE wakati mlima mboga ataitwa mwananchi tu eti asiyestahili kuguswa. Huu ni unyonyaji tu kama unyonyaji mwingine: aliukataa Nyerere enzi zile na tunaendelea kuukataa na tutaupiga vita hata sisi wa kizazi cha leo.

Kila mtu alipe kodi na kila mtu ashiriki kujenga nchi.

Swala sio kumuonea mfanyabiashara issue ni kuboresha makusanyo.

Na kuna baadhi ya wafanyabiashara awajazoea kulipa kodi and also ignorants. Hivi mtu anaeuza bidhaa bila ya kutoa risiti anafahamu kweli siku TRA wakienda the only way atatoka salama kama na yeye huko aliponunua akupewa receipt, stock ya ziada anajua atakapo ificha, hiyo hela ya ziada aiendi bank maana jamaa wakimfanyia bank reconciliation wakikuta ziada ni shida. Hawa ndio aina ya wafanyabiashara watakaosema hela zao binafsi zimechukuliwa na TRA zilikuwa zinafanya nini kwenye business account.

Ni hivi kukwepa kodi is possible but a mission on its own, sio kimdhaa dhaa kama wafanyabiashara watanzania wanavyochukulia siku TRA wakienda kuwakagua wanaleta vilio; ilhali awaelewi ukaguzi wenyewe unavyofanywa including waziri mwenyewe. Sheria inaposema tunza receipt zako na kumbukumbu za kibiashara kwa miaka 5 it’s for forensic audit reasons, story ndefu kuelezea wanachofanya nini, but elewa kukwepa kodi ni mission ya kujipanga kweli kweli siku ukipigiwa hodi.

Kwanini sometimes mamlaka za mapato zinakuwa wakali. Like I said uchumi ni data serikali inakusanya VAT kutoka producers wa ndani ata kama wanaenda idai mbeleni. Hizo info ni enough kwa wizara kupata data za units za bidhaa zinazoingia sikoni; na kujiwekea targets zao za makusanyo kwa mwaka.

Similarly volumes za mizigo ya biashara nyingi zinaingilia ports au mipakani na kuna mizani kote huko unaweza pata data za bidhaa mbali mbali zinazoingia, na kujua kiasi gani cha VAT kinatakiwa kukusanywa roughly.

Kwa akili timamu labda bidhaa ulizoona kwa bei ya producers tu makusanyo yako ya VAT labda yanatakiwa yawe 20 trillion shillings at low estimate and high estimate 25 trillion. Halafu wewe unachopata ni 8 trillion kwa mwaka.

Kwa utaratibu huo kama una akili timamu lazima uwe mkali. Sasa wakati wanaanza kubadilisha fikra za watu kukwepa kodi sio idea nzuri, unakuja wewe unasema waacheni watazoea tu kulipa bila ya shuruti.

Worst mzigo unaenda waongezea mzigo wananchi wenye kipato kidogo, maana ni watu hao hao ndio wanaolipa VAT sio wafanyabiashara.

Mwigulu ajitafakari sio tu kama anatosha kwenye hiyo wizara, bali kama siasa ni wito kwake in the first place. Binafsi naona kama vile analazimisha career ambayo sio natural kwake.
 
NUKUU ZA MHE DKT MWIGULU LAMECK NCHEMBA AKITOA MREJESHO KUHUSU TOZO ZA MIAMALA YA SIMU.

“Tangu makato ya tozo yaanze kwa hizi Wiki 4 hadi leo tumekusanya zaidi ya Bilioni 48, zaidi ya Bilioni 22 tulishapeleka kwenye maeneo ambayo hayana vituo vya afya (zaidi ya vituo 90), leo tumepeleka zaidi ya Bilioni 15 kwenye eneo hilohilo na kufanya vituo kuwa zaidi ya 150“

"Tunapaswa kutambua kuwa nchi ni yako mwananchi, fedha ni zako lakini pia tuliyoyapanga kuyafanya ni yetu pia. Hivi ndivyo inavyokuwa katika nchi inayojitawala. Niwashukuru wote waliolielewa kwa kiasi hicho"

"Kama serikali tutaendelea kupokea na kuyafanyia kazi maoni yote, na haijalishi mtoa maoni yuko serikalini au la, kwetu maoni ni maoni muhimu maoni hao yanalenga kujenga nchi yetu"

"Sisi Wizara ya Fedha na Mipango tunaamini kwamba, tunapopeleka bilioni 48 kwenye uchumi maana yake tunaongeza kasi ya kutumiana fedha na kuifanya fedha iende kwenye mzunguko na kasi ya kubadilisha fedha kwenye mikono itaongezeka pia"

"Tulikiri katika nchi yetu kuwa kuna miradi mikubwa ya kimkakati na tulikubaliana wote kuwa ni lazima iendelee, miradi hii ni ndoto yetu ambayo tunataka itimie"

"Tukaangalia hili suala la tozo za miamala ya simu, tukasema hakuna namna ya kwamba serikali na watoa huduma tukae kwa pamoja tuone namna gani tutampunguzia gharama ya jumla kwa mwananchi. Tupo katika hatua ya mwisho katika hili"

"Ombi langu moja kwa Watanzania wanaonitazama kwamba jambo hili ni letu sote sio la serikali, nchi hii ni yako wewe hapo ulipo na pesa ni yako na haya mambo tuliyokuwa tunapangilia tuyafanye ni yako, hivyo haya yote ni yetu"

"Tangu tozo za miamala ya simu kuanza tayari bilioni 48 zimepatikana huku bilioni 37 zikielekezwa kwenye ujenzi wa vituo vya afya kwa maeneo ambayo hayakuwahi kuwa na vituo hivyo na bilioni 7 zikienda kwenye ujenzi wa madarasa"

"Tunapaswa kutambua kuwa nchi ni yako mwananchi, fedha ni zako lakini pia tuliyoyapanga kuyafanya ni yetu pia. Hivi ndivyo inavyokuwa katika nchi inayojitawala. Niwashukuru wote waliolielewa kwa kiasi hicho"

"Kama serikali tutaendelea kupokea na kuyafanyia kazi maoni yote, na haijalishi mtoa maoni yuko serikalini au la, kwetu maoni ni maoni muhimu maoni hao yanalenga kujenga nchi yetu"

"Bado yapo maeneo nchini ili uweze kufika kwenye kituo cha afya inakulazimu uende ama kwenye kata nyingine au tarafa nyingine, kwa umuhimu wa jambo hili tukasema sio la kuacha bila kufanyia kazi"

"Hapa katikati kuliibuka maneno mengi sana na Ilielezwa kwamba shughuli za miala ilipungua, niseme kwamba Watanzania waliendelea kutumiana na shughuli za kufanya miamala hazikuathirika na takwimu ziko pale pale, ni kati ya milioni 9 hadi milioni 11"

"Kuanzia mwaka kesho tutaanza kupokea kidato cha tano ambao wametokana na sera ya elimu bila malipo, tunafahamu mahitaji yatakuwa ni makubwa. Tunaona kabisa mambo haya tunapaswa kuyafanyia kazi na si kuyaahirisha"

View attachment 1899613

View attachment 1899617

View attachment 1899618

View attachment 1899619

Atakuwa mwongo huyu. Awapate wapi wa miamala wakati hali ni hii:

https://www.jamiiforums.com/threads/tozo-miamala-ya-simu-bado-kimeumana.1901429/
 
Swala sio kumuonea mfanyabiashara issue ni kuboresha makusanyo.

Na kuna baadhi ya wafanyabiashara awajazoea kulipa kodi and also ignorants. Hivi mtu anaeuza bidhaa bila ya kutoa risiti anafahamu kweli siku TRA wakienda the only way atatoka salama kama na yeye huko aliponunua akupewa receipt, stock ya ziada anajua atakapo ificha, hiyo hela ya ziada aiendi bank maana jamaa wakimfanyia bank reconciliation wakikuta ziada ni shida. Hawa ndio aina ya wafanyabiashara watakaosema hela zao binafsi zimechukuliwa na TRA zilikuwa zinafanya nini kwenye business account.

Ni hivi kukwepa kodi is possible but a mission on its own, sio kimdhaa dhaa kama wafanyabiashara watanzania wanavyochukulia siku TRA wakienda kuwakagua wanaleta vilio; ilhali awaelewi ukaguzi wenyewe unavyofanywa including waziri mwenyewe. Sheria inaposema tunza receipt zako na kumbukumbu za kibiashara kwa miaka 5 it’s for forensic audit reasons, story ndefu kuelezea wanachofanya nini, but elewa kukwepa kodi ni mission ya kujipanga kweli kweli siku ukipigiwa hodi.

Kwanini sometimes mamlaka za mapato zinakuwa wakali. Like I said uchumi ni data serikali inakusanya VAT kutoka producers wa ndani ata kama wanaenda idai mbeleni. Hizo info ni enough kwa wizara kupata data za units za bidhaa zinazoingia sikoni; na kujiwekea targets zao za makusanyo kwa mwaka.

Similarly volumes za mizigo ya biashara nyingi zinaingilia ports au mipakani na kuna mizani kote huko unaweza pata data za bidhaa mbali mbali zinazoingia, na kujua kiasi gani cha VAT kinatakiwa kukusanywa roughly.

Kwa akili timamu labda bidhaa ulizoona kwa bei ya producers tu makusanyo yako ya VAT labda yanatakiwa yawe 20 trillion shillings at low estimate and high estimate 25 trillion. Halafu wewe unachopata ni 8 trillion kwa mwaka.

Kwa utaratibu huo kama una akili timamu lazima uwe mkali. Sasa wakati wanaanza kubadilisha fikra za watu kukwepa kodi sio idea nzuri, unakuja wewe unasema waacheni watazoea tu kulipa bila ya shuruti.

Worst mzigo unaenda waongezea mzigo wananchi wenye kipato kidogo, maana ni watu hao hao ndio wanaolipa VAT sio wafanyabiashara.

Mwigulu ajitafakari sio tu kama anatosha kwenye hiyo wizara, bali kama siasa ni wito kwake in the first place. Binafsi naona kama vile analazimisha career ambayo sio natural kwake.
Mwigulu ni waziri wa fedha. Unaanzaje kusema analazimisha career isiyo yake? The man anaudhuria vikao vya baraza la mawaziri vinavyoongozwa na mkuu wa nchi, he is right at the top of political ladder of the nation, the right hand man wa rais wa nchi, halafu unasema analizimisha! Come on man. Hebu tuache hilo kwanza.....

Kuhusu wafanyabiashara na kodi. Wafanyabiashara tayari wanalipa kodi, tena kodi za kutosha tu. Kama mzigo akiupitisha bandarini lazima ulipiwe kodi. Kuupitisha barabarani kuna kodi zake. Kule TRA kuna kodi ya VAT ukifika viwango fulani. Bado kuna kodi za halmashauri. Kuna tozo za TFDA kwa baadhi ya bidhaa. Wakati huo huo ideally wafanyabiashara (au sekta binafsi kwa ujumla) inalenga kupunguza utegemezi wa watu kwa serikali. "Vijana mjiajiri" serikali inatwambia. You cant have your cake and eat it too.

Ni busara sana kama wafanyabiashara wakatoa kodi zile reasonable tu na kwa kiasi kinachohimilika. Tukiwa na matajiri mtaani hata mzunguko wa hela utakuwepo. Hii culture ya kuwaona wafanyabiashara kama vile ni watu waliopata mali zao kihuni na wanastahili kukamuliwa si culture ya afya. After all they are who they are kwa sababu kuna baadhi ya vitu wamesacrifice sana na wana maintain mitaji yao kwa kujibana sana sana.

Tunapowataka sekta binafsi ifanye mambo yake kiuhalali bila kona kona na bila ujanja ujanja, wakati huo ni sahihi kuweka mazingira bora na wezeshi kwa sekta binafsi kustawi. Miongoni mwa uwezeshi huo na ubora huo wa mazingira ni pamoja na kutambua kwamba mzigo wa kusukuma maendeleo ya nchi ugawanywe kwa wananchi wote. Miamala ya simu inamgusa boda boda, muuza chips, muuza mboga, muuza matunda, n.k. kila mmoja kwa urefu wa kamba yake. At least that should be the principle behind.

Suala la kodi yetu sasa imetumikaje na imefanya nini kupitia hao tuliowapa dhamana ya kukusanya kodi ni suala jingine - tena muhimu.
 
0941C427-569B-443B-9F77-267CC78A8A58.jpeg

Kodi ya mfanyabiashara ni ya faida tu either income/tax or corporate tax depending on the business status.

Kodi zingine zote anazotakiwa kulipa, levies, operation cost, depreciation costs na kila ghasia anamuwekea mlaji.

Ndio kama kwenye gharama ya hiyo luku hiyo sh 18852 ina faida za units jumlisha operation/production costs zote.

On top of that mlaji anabeba tozo zingine za ziada kama 6148 kwenye manunuzi ya sh25000.

So basically asilimia ya kodi kwenye manunuzi ya sh 25000 ni 24.6%

Bado hiyo 18852 umewekewa na costs zote za uzalishaji per unit.

Mfanyabiashara kodi yake hapo 18852 - production costs = profit (70% yake na 30%)

Tena kabla ya kugawana hiyo faida anatoa capital allowance au depreciation costs, anaruhusiwa kiasi kadhaa cha income tax free; kilichobaki kwenye faida ndio analipa income tax au corporate tax.

Wafanyabiashara kinachofanya wakwepe kodi hasa ya zilizowekwa kwenye efd machine ni kujaribu kupunguza selling price ili wauze volumes nyingi lakini hakuna mfanyabiashara anaelipa kodi zaidi ya profit tax. Kodi zingine zote atakuwekea kwenye bei ya bidhaa/huduma as production costs au utalipa on top of felling price kama kwenye hiyo receipt inavyoonyesha.

Sasa wao wanaacha kuimarisha makusanyo ya kodi, badala wanaongeza tozo na ukusanyaji wake ni maeneo ambayo lazima ulipie wewe mwananchi, matokeo yake kuwapa wakati mgumu wananchi.

Why nimesema Mwigulu analazimisha political career kwanza he is not a sweet talker as a politician needs to be when they inflict pain.

Leo ni moja ya siku chache ambazo walau kajaribu kutumia lugha ya kubembelazana.

Mwigulu ni mtu wa maelezo na shuruti sio mtu wa kubembeleza as politicians do.

Tatu amesoma, but he lacks creativity.

Ndio maana naona analazimisha career tu, huyo alitakiwa kufanya kazi ya desk job maana ata kufundisha hafai kwa attitude zake za kupenda kutumia nguvu, badala ya maarifa.
 
Tujenge nchi yetu. Cha msingi ni kuhakikisha hela zinatumika bila kufujwa.
ZitKuwa hela za laana
 
View attachment 1900746

Kodi ya mfanyabiashara ni ya faida tu either income/tax or corporate tax depending on the business status...
Kinachofanya mwanasiasa awe mzuri au mbaya si aina yake ya kuongea. Kuna mwanasiasa aliyekuwa rough talker zaidi ya JPM? "Kama hamuwezi kulipa 200 kapige mbizi", na kauli kama hizo lakini I can tell you yule jamaa alikuwa mwanasiasa kindakindaki.

What makes a good politician ni ushawishi tu. Leo Mwigulu umeona walau amebadilika si kwa sababu ya style yake ya kuongea. Sema kaongea kwa ushawishi wa hoja. Kazitetea tozo zake kwa hoja zinazogusa nini watanzania wanataka kukiona katika nchi yao. Ukweli ni kwamba watu hawapingi tozo kwa sababu eti wanakamuliwa (mwananchi wa kawaida katika maisha ya kawaida anaspend pesa nyingi kwenye mambo ya kipuuzi hujapata kuona), seuze kumshawishi atoe 1000 yake kwenye kitu kitakacholeta impact katika barabara na huduma za afya? Kitu kinachofanya watu wawe na wasiwasi kuhusu hizi tozo ni kwamba huko nyuma hakukuwahi kuonekana any value for money kwenye kodi za serikali. Barabara zinazojengwa kwenye halmashauri zetu ni of very poor quality. Ukienda hospitalini hakuna madawa wala vifaa vya kisasa. Nitoe kodi kwa ajili ya kuneemesha wanasiasa takataka dizaini hizi?

You could see mabadiliko ya mitazamo ya wananchi kuhusu kodi pale Magufuli pamoja na ukaksi wake alivyoingia na kusema anataka huduma ya afya wanayoifuata watanzania kule India ipatikane hata Tanzania. Operations za figo na moyo zinafanyika sasa Tanzania. Hayo ndiyo watanzania wanataka kuona kodi zao zinafanya. Wanataka waone shule za serikali kuna vifaa vya kisasa vya maabara na zana za kufundishia viendanavyo na elimu bora. Na kadhalika.

Sasa kuhusu wafanyabiashara visa-vis wananchi, wafanyabiashara pia ni wananchi. Unaposema mzigo wa kodi unamwelemea mwananchi kwani mfanyabiashara hawi sehemu ya mzigo huo? Kama wewe ni mfanyabiashara wa hardware haimaanishi kwamba hununui groceries zinginezo ikiwemo chakula, nguo, umeme, na mambo kama hayo.

Ni sawa na mfanyakazi. Wafanyakazi wanalipa kodi kupitia PAYE na wakati huo huo wanalipa kodi zinginezo kuhusu bidhaa wanazonunua. Sekta binafsi wanajukumu lingine pia la kwamba wakistawi na kuweza kutengeneza ajira nyingi nje ya ajira za serikali hiyo ni service nyingine ya muhimu kwa nchi zaidi ya kodi.

Nchi hii tujienge wote
 
Ninavyo jua maadui zetu ni UJINGA, UMASKINI, NA MARADHI!
Wamepungua au wameongezeka?!
Adui kubwa kabisa linalo tusumbua waTANZANIA leo hii ni UNAFIKI.... UNAF7IKI... UNAFIKI .....

Lakini tukumbuke... Mama ni Mama...na ana kifua, atapoanza wajibu hawa wapumbavu ......moto utawaka.

Alituambia tumkosoe...ila kistaarabu... MATAGA yanavuka mipaka.
SUBIRI
 
Back
Top Bottom