Juzi nimepeleka Rangi shuleni kwangu o level kwenda kufuta machata niliyochora miaka 10 iliyopita.
Mwigulu aanzie huku Namtumbo kwanza
Hahaha.. Ashtakiwe kwa kuchafua mazingira
Hahaaaa tena na faini atozwe kwa kutuchafulia mazingira
Atabaki rais wa mawe na madaraja pamoja na magofu nchi nzima. Vinginevyo akayafute kabisa