Chumchang Changchum
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 5,988
- 6,226
Hahaahahahahahahaha,,,asante mkuu sijacheka tokea jana kutokana na team yetu kuangukia pua...
Hii kasi ya mwigulu angeitumia kusafisha mazingiza dar ingekuwa kama MOSHI kwa kipindi kisupi...yani daraja limekamilika halina week kashakuja usiku na kuliandika...😕
Huyu akamatwe tu na vijana wa JKT apigishwe usafi!
Sio mby pekee, hata mawe yetu hapa Kitonga Iringa umeyachafua, uje na huku Mafinga ufute,utumie staili ile ile uliyotumia kuandika.
Naelekea kule site kumsaidia kufuta
Njoo na huku
Dah,jamaa kachafua kweli njia zote kuu. Ukipita kote huko kwenye Miamba,Madaraja na Mawe makubwa ni Majina yake tuu. Njia aliyoichafua zaidi ni kutoka Tunduma kwenda mpaka Sumbawanga,yote ameichafua.
huyu jamaa sijui alikuwa anawaza nini
Sasa alikuwa anafanya campaign au ? Mbona machizi ndio wanaandika kwenye kuta na miamba.Nae kaiga?
Tafadhal nakuomba hasa baada ya kushindwa na hatimae kukatwa na chama chako, pita na ufute uchafu ulikuwa unauandika kwenya majabari na matakataka yaliyo karibu na barabara za jamhuri.
Hivi bado hajaufuta?
...
.....ayafute aandike UKAWA kwa gharama zake !!!
Nilitegemea baada ya jina lake Kukatwa, angewahi kufuta haraka sana. ...Kwa kweli ametuchafulia madaraja yetu. .
Namshauri afute haraka kabla Magufuli hajawaha Prezo