Mwigulu Nchemba, tafadhali kafute mabango yako barabarani!

Mwigulu Nchemba, tafadhali kafute mabango yako barabarani!

Hii kasi ya mwigulu angeitumia kusafisha mazingiza dar ingekuwa kama MOSHI kwa kipindi kisupi...yani daraja limekamilika halina week kashakuja usiku na kuliandika...😕

Huyu akamatwe tu na vijana wa JKT apigishwe usafi!
 
Sio mby pekee, hata mawe yetu hapa Kitonga Iringa umeyachafua, uje na huku Mafinga ufute,utumie staili ile ile uliyotumia kuandika.

Na kwenye kingo za daraja la mto Liloya huku Masasi Mtwara, uje kufuta tafadhali.
 
Tafadhal nakuomba hasa baada ya kushindwa na hatimae kukatwa na chama chako, pita na ufute uchafu ulikuwa unauandika kwenya majabari na matakataka yaliyo karibu na barabara za jamhuri.
 
Dah,jamaa kachafua kweli njia zote kuu. Ukipita kote huko kwenye Miamba,Madaraja na Mawe makubwa ni Majina yake tuu. Njia aliyoichafua zaidi ni kutoka Tunduma kwenda mpaka Sumbawanga,yote ameichafua.
 
Kila sehemu kachafua tu. Mimi kwa sasa niko bk kachafua sana
 
Dah,jamaa kachafua kweli njia zote kuu. Ukipita kote huko kwenye Miamba,Madaraja na Mawe makubwa ni Majina yake tuu. Njia aliyoichafua zaidi ni kutoka Tunduma kwenda mpaka Sumbawanga,yote ameichafua.

Ni nchi nzima ndg pita njia ya Dodoma /Singida uone. Nilipita barabara ya Bukoba /Mtukula nako pia.
 
Sasa alikuwa anafanya campaign au ? Mbona machizi ndio wanaandika kwenye kuta na miamba.Nae kaiga?
 
Tafadhal nakuomba hasa baada ya kushindwa na hatimae kukatwa na chama chako, pita na ufute uchafu ulikuwa unauandika kwenya majabari na matakataka yaliyo karibu na barabara za jamhuri.

Naunga MKONYO HOJA
 
Nilitegemea baada ya jina lake Kukatwa, angewahi kufuta haraka sana. ...Kwa kweli ametuchafulia madaraja yetu. .

Namshauri afute haraka kabla Magufuli hajawaha Prezo

Inasikitisha kijana wa watu.
 
Back
Top Bottom