Unapaswa kutofautisha vitu viwili hapa, kuna kodi ya majengo( nyumba tunazoishi kama familia), na kodi ya pango. Na zote ni halali kabisa. Kila fedha unayoipata katika shughuli yoyote inayokuingizia kipato, should be taxed as pay as you earn! Nyumba ya kupangisha( pango) inakupatia kipato hivyo ni halali kukatwa kodi coz ni biashara. Nyumba ya kupangisha kama makazi nayo ina uhalali wa kukatwa kodi ingawa utaratibu wa ufuatiliaji wake kodi unakuwa contradicted sana kufahamu mikataba halisi ni ipi, nyumba nyingi za uswahilini tunapangishana kiaina aina namna ya ku- figure it out kipato halisi cha mwenye nyumba, inakuwa ngumu sana kwa nchi zetu hizi za kusini mwa jangwa la sahara.