Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Dada kama hutajali nioneshe hizo fursa kupitia tozo maana mficha uchi hazai....nisije ingia kwenye mkumbo wa kulaumu kumbe waziri anatutengenezea fursa.Kaka pembe tulia tuu
Katika kila jambo liwe zuri au baya tafuta fursa
Raha zinaweza kukufanya kuwa imara na shida pia zinaweza kukuimarisha
Usichoweza kukibadilisha kitumie kukubadilisha
Tamko la serikali kuhusu ufafanuzi wa tozo kwenye miamala ya benki na simu, Septemba 1, 2022
Wizara ya Fedha imetoa ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki Septemba Mosi, 2022 ikiwa ni siku kadhaa tangu kuibuka kwa malalamiko kutoka kwa wadau kuhusu gharama za huduma hizo za kifedha. Waziri wa Fedha na Mipango - Mwigulu Nchemba Chimbuko la tozo ilikuwa ni kwaajili ya...www.jamiiforums.com
Wachumi ni akina Dr Kimei waulizwe cha kufanya ila Mwigulu hajawahi Hata kusimamia saccos ila kapewa wizara ya fedha tena na mipangoNi sawa, lakini ni sawa zaidi kutoa suluhu ya nini kifanyike
wanazinunua ili kuhalisha kupewa nafasi zao za kupiga pesa.Muda wote alikuwa bungeni hiyo PhD atakuwa amepewa hapo dodoma
Cha kufanya waliopitisha jambo hili 2025 wakachunge mbuzi kwaoIlishapita hii. 7000 itakatwa tuu
Sasa nini kifanyike?
Dada kama hutajali nioneshe hizo fursa kupitia tozo maana mficha uchi hazai....nisije ingia kwenye mkumbo wa kulaumu kumbe waziri anatutengenezea fursa.
Cha kufanya waliopitisha jambo hili 2025 wakachunge mbuzi kwao
Awamu hii kuelekea 2025 fikirieni namna nyingine vinginevyo tutamkumbuka JPM sanaDada kama hutajali nioneshe hizo fursa kupitia tozo maana mficha uchi hazai....nisije ingia kwenye mkumbo wa kulaumu kumbe waziri anatutengenezea fursa.
Tozo za mafuta ziondolewe ili gharama za maisha zishuke....hayo mengine wala hatutalalamika.Sio mimi nikuonyeshe ila tujadili nini kifanyike
Kuna wakati unaweza kujikuta analazimika kuiweka pesa yako kwenye mizunguko ili tuu isiingie bank
Kwa kweli.Awamu hii kuelekea 2025 fikirieni namna nyingine vinginevyo tutamkumbuka JPM sana
Wachumi ni akina Dr Kimei waulizwe cha kufanya ila Mwigulu hajawahi Hata kusimamia saccos ila kapewa wizara ya fedha tena na mipango
Unapaswa kutofautisha vitu viwili hapa, kuna kodi ya majengo( nyumba tunazoishi kama familia), na kodi ya pango. Na zote ni halali kabisa. Kila fedha unayoipata katika shughuli yoyote inayokuingizia kipato, should be taxed as pay as you earn! Nyumba ya kupangisha( pango) inakupatia kipato hivyo ni halali kukatwa kodi coz ni biashara.Sipangishi basi. Nyumba yangu sio nyumba ya biashara, nilitaka kusaidiana na wasio na makazi hapa mjini. Kodi wange deal na wenye apartment na wenye nyumba kwa kazi za kibiashara
Tanzania tangu 1961 kila raia ni kulalamika tu. Tuangalia gari lililobeba watanzania ni gari kweli au kuna wachache wanawabaka walio wengi.Mbuzi tuchunge sisi, kisha tuwauzie waoπππ
hii italega migogoro sana maana watendaji hawapo smart watu wapigwa ma fine na mikodi hadi nyumba zianze kupigwa minada. chaka lingine hili la rushwa kwa TRASerikali imekosa ubunifu hata kdg
Tozo za mafuta ziondolewe ili gharama za maisha zishuke....hayo mengine wala hatutalalamika.
Bado kodi ya kichwaWakati wa Ile presha ya salary increment mwaka Jana nililiona hili.
Kuongeza Mshahara sio kitu kitu kidogo. Kama jumla ya increment ni trillion1 lazima ipatikane source ya uhakika ya hiyo trilion1 kila mwezi
Maumivu yamehama kichwani yamerudi mguuni....... Wacha tupambane na hali zetu
πππTanzania tangu 1961 kila raia ni kulalamika tu. Tuangalia gari lililobeba watanzania ni gari kweli au kuna wachache wanawabaka walio wengi.
Bado kodi ya kichwa
Upo sawa kabisa, nazungumzia hizi ambazo tunapingashana humu mitaani, zitaketa utata sana hizi. Hatuna system smart na ndipo picha puicha zitaanza hapo. Wapangaji kitaa leo yupo kesho hayupo mieizi kazaa hana kodi mnasitiriana watoza kodi wao hawalijui hiloUnapaswa kutofautisha vitu viwili hapa, kuna kodi ya majengo( nyumba tunazoishi kama familia), na kodi ya pango. Na zote ni halali kabisa. Kila fedha unayoipata katika shughuli yoyote inayokuingizia kipato, should be taxed as pay as you earn! Nyumba ya kupangisha( pango) inakupatia kipato hivyo ni halali kukatwa kodi coz ni biashara. Nyumba ya kupangisha kama makazi nayo ina uhalali wa kukatwa kodi ingawa utaratibu wa ufuatiliaji wake kodi unakuwa contradicted sana kufahamu mikataba halisi ni ipi, nyumba nyingi za uswahilini tunapangishana kiaina aina namna ya ku- figure it out kipato halisi cha mwenye nyumba, inakuwa ngumu sana kwa nchi zetu hizi za kusini mwa jangwa la sahara.
Tutaletewa EFD kwenye nyumba za kupanga na atakaye uumia ni mpangajihii italega migogoro sana maana watendaji hawapo smart watu wapigwa ma fine na mikodi hadi nyumba zianze kupigwa minada. chaka lingine hili la rushwa kwa TRA