Sahih kbsa feka za mafuta alfu hayo makato peleka uko kwenye mabank maisha ya mekuwa maguma mafuta yamesababisha Hal hiiTozo za mafuta ziondolewe ili gharama za maisha zishuke....hayo mengine wala hatutalalamika.
Atuambue Nani muagizaji mkuu wa YU Tong 60 na zimelupuwa kiasi gani pamoja na Kodi hadi uingie barabarani.Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imesikia kilio na malalamiko ya wananchi wake kuhusu vipengele kadhaa vinavyohusiana na tozo.
Mfano wa mapendekezo hayo ni uwepo wa makato mara mbili kwenye miamala ya simu wakati wa kutuma na kutoa. Kupitia mkutano wake na waandishi wa habari amesisitiza kuwa muda si mrefu hatua stahiki zitachukuliwa.
Kuhusu tozo za benki, serikali itakaa na watoa huduma hiyo ili kujadiliana tena kwa mara nyingine.
Kuhusu kodi ya pango, waziri amebainisha kuwa mpangaji siyo mdaiwa bali yule mwenye nyumba hivyo haitawahusu wao. Hata hivyo ili kuondoa mgogoro kati ya wapangaji na mwenye nyumba, serikali itazingatia maoni ya watu waliopendekeza kuwaondoa wapangaji kwenye kadhia hii ili serikali idai moja kwa moja kwa wamiliki wa nyumba.
Waziri amekiri kuwa lengo la kodi hii (ya pango) ni zuri lakini kulikuwa na upungufu kwenye mkakati wa ukusanyaji wake hivyo wao kama serikali watajitathimini kuona wanafanyaje.
Aisee wakifanya hivyo wataweka watanzania wengi sana ktk hali mbaya sana, wanasema kilimo na ufugaji ni mkombozi Kwa Mtanzania Sasa hapo hapo wanataka kumkamua, ukienda kununua mahitaji yako Kwa ajili ya mifugo yako wanakukamua na mifugo inakamuliwa Yaani Acha tuuAmesema anaangalia Kutoza tozo Kwa wenye mifugo wengi.
Na ukienda huko shuleni elimu mbovu,madawati hakuna na kwenye afya hakuna unafuu.Huyu jamaa ni tapeli, tozo na kodi si kitu kimoja kila siku wanasingizia madarasa na hospital. Wakati pato la taifa linapotea kupitia wizi wa taasisi na matumizi yasiyofaa.
Mwananchi kwepa kodi ukishikwa bahati mbaya
Watutajie kwa majina, mimi sijaona ujenzi mpya au mwendelezo wowote significant kwa karibu mwaka sasa.Hayo madarasa na hosipitali vilivyojengwa kwa tozo vikowapi??
Mbona hii wilaya niliyopo hakuna hata choo cha mfano kilichojengwa kwa tozo??
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nieleweshe hapa nisije pandisha mashetani kumbe nia yako ni njema
Kwa iyo wewe kwakuwa ni shemeji yako unafuraiaKaka pembe tulia tuu
Katika kila jambo liwe zuri au baya tafuta fursa
Raha zinaweza kukufanya kuwa imara na shida pia zinaweza kukuimarisha
Usichoweza kukibadilisha kitumie kukubadilisha
Wewe ni "Msen..............eeeSio mimi nikuonyeshe ila tujadili nini kifanyike
Kuna wakati unaweza kujikuta analazimika kuiweka pesa yako kwenye mizunguko ili tuu isiingie bank
Serikali imekosa ubunifu hata kdg
Mungu fundi, ngoja ziingie zikutane na wachawi wazifanyie ya dunia. Mali ya dhuluma huisha kidhuluma dhuluma piaAtuambue Nani muagizaji mkuu wa YU Tong 60 na zimelupuwa kiasi gani pamoja na Kodi hadi uingie barabarani.
Sivyo Rais amuru zigawiwe kwenye mashule!.
Nimeshauri mara nyingi sana kwa Mwigulu kwamba task force irejeshwe na Polisi wapewe mamlaka ya kukagua manunuzi ya bidhaa zote walisonunua watu Ili kubaini wasio na risiti..Waziri wa fedha Mhe. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imesikia kilio na malalamiko ya wananchi wake kuhusu vipengele kadhaa vinavyohusiana na tozo.
Mfano wa mapendekezo hayo ni uwepo wa makato mara mbili kwenye miamala ya simu wakati wa kutuma na kutoa. Kupitia mkutano wake na waandishi wa habari amesisitiza kuwa muda si mrefu hatua stahiki zitachukuliwa.
Kuhusu tozo za benki, serikali itakaa na watoa huduma hiyo ili kujadiliana tena kwa mara nyingine.
Kuhusu kodi ya pango, waziri amebainisha kuwa mpangaji siyo mdaiwa bali yule mwenye nyumba hivyo haitawahusu wao. Hata hivyo ili kuondoa mgogoro kati ya wapangaji na mwenye nyumba, serikali itazingatia maoni ya watu waliopendekeza kuwaondoa wapangaji kwenye kadhia hii ili serikali idai moja kwa moja kwa wamiliki wa nyumba.
Waziri amekiri kuwa lengo la kodi hii (ya pango) ni zuri lakini kulikuwa na upungufu kwenye mkakati wa ukusanyaji wake hivyo wao kama serikali watajitathimini kuona wanafanyaje.
jamaa ana akili sana anajua wabongo tunalalamika bila kufanya chochote!! na Bimkubwa hawezi kumtoa maana matozo yake yanaijaza sirikali mapesa, swali la kujiuliza hayo mapesa yanaenda wapi barabara za vumbi ziimejaa kwenye majiji SGR inasuasua, Nyerere Dam hapaeleweki, umeme tangu Mwendazake aondoke mgao umerudi! hii serikali inaboa kinoma!Mwigulu ni mchumi sio kilazaπ π π π
Sikufikii hata roboπWewe ni "Msen..............eee
Nimeshauri mara nyingi sana kwa Mwigulu kwamba task force irejeshwe na Polisi wapewe mamlaka ya kukagua manunuzi ya bidhaa zote walisonunua watu Ili kubaini wasio na risiti..
Watu hawataki Kulipa Kodi Wala tozo ila huduma wanataka kwa kisingizio cha ugumu wa maisha..
Nchi haiwezi kwenda kwa kubelezana kiasi hiki..
Futa tozo ila tight kwenye risiti na wasiokuwa na risiti chukua bidhaa piga mnada.
jamaa ana akili sana anajua wabongo tunalalamika bila kufanya chochote!! na Bimkubwa hawezi kumtoa maana matozo yake yanaijaza sirikali mapesa, swali la kujiuliza hayo mapesa yanaenda wapi barabara za vumbi ziimejaa kwenye majiji SGR inasuasua, Nyerere Dam hapaeleweki, umeme tangu Mwendazake aondoke mgao umerudi! hii serikali inaboa kinoma!
ila labda after 2 years tutampigia makofi miundombinu ikiisha!