Mwigulu Nchemba: Tunawafuatilia wanaopotosha na kuzushia viongozi vifo

Mwigulu Nchemba: Tunawafuatilia wanaopotosha na kuzushia viongozi vifo

Aende zake Uyo nae tushamchoka na maneno yake ya Shombo kwa Wa TZ anawafuatilia awapeleke wapi?!Mtapoteza maisha ya Wa Tanzania wangap?hamchoki kumwaga damu..ndugu yenu aliendekeza hii michezo yuko wap!
 
Waziri wa Katiba na Sheria amesema wanawafuatilia wote wanaozushia watu vifo. Na hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa kuna baadhi wameanza kushughulikiwa.

Mh waziri hata watoto wa vigogo utawachukulia hatua?

Watu wanaojipambanua kwa kujidai kuvaa skafu za bendera ya taifa kwa kulazimisha mwonekano wa uzalendo ni wakuogopwa sana.
 
Aende burundi

IMG-20210721-WA0025.jpg
 
Nafikiri ushamba na ulimbukeni wa kile kiti cha kuzunguruka, ukikua unachunga punda na kondoo, utavikalia wapi??😂
😂😂

Nimemuelewa sana RC Mtaka, mawaziri ovyo


Everyday is Saturday................................😎
Bambushka siku ukija Kimara nistue. Bia, nyama choma juu yangu na nauli ya mwendokasi
 
Back
Top Bottom