Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie madelu akawakamate gazeti la kenya linamilikiwa na familia ya Uhuru.Waziri wa Katiba na Sheria amesema wanawafuatilia wote wanaozushia watu vifo. Na hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa kuna baadhi wameanza kushughulikiwa.
Mh waziri hata watoto wa vigogo utawachukulia hatua?
View attachment 1723074
Aanze kumtafuta kigogo kama yeye ni kidume
Hivi Yule dogo,siku hizi yuko wapi.na bavicha nao wakampa mgongo dogo daaahHuyu ndio alimwita Abdul Nondo kinyago.
Hana hiyo integrity ya kukemea hayo hata kidogo.
Tatizo la watu wa kigoma hawaeleweki yaani wanafiki. Baada ya chadema kumsaidia kikajiona kimekuwa juu ya chama kikaleta za kuleta wakakipa nakoz kikamfuata kaka yake ACTHivi Yule dogo,siku hizi yuko wapi.na bavicha nao wakampa mgongo dogo daaah
[emoji106].dogo aliivamia siasa kichwakichwa.na kaka yake amekasusa amekashindwa naona.Tatizo la watu wa kigoma hawaeleweki yaani wanafiki. Baada ya chadema kumsaidia kikajiona kimekuwa juu ya chama kikaleta za kuleta wakakipa nakoz kikamfuata kaka yake ACT
Wewe wajibu wako ni nini kwa Taifa lako?Sasa mahakama ndiyo inachunguza na kukamata?
Hoja yako ni nini hasa?Kazi hiyo ni ya Waziri Wa Mambo Ya Ndani na TCRA, Jeshi la Polisi wala TCRA hazipo chini ya Wizara yake mpaka atoe amri za kamata kamata na kufanya uchunguzi wa Cyber Crime, yeye kazi ya Wizara yake ni kuandaa proporsal za marekebisho ya sheria na katiba.
Apunguze speed ya kuusaka Urais 2025, kujua kwingi mwisho ataharibu.
Mind control ni ngumu Sana kwa zama hizi.Sasa kunahaja gani madilu system kutisha watu
Kuna ushenzi mwingi sn nchi hii na kauleta mshamba na limbukeni mchunga ng'ombe mmoja iviAngeanza na gazeti la TANZANITE, limeripoti kuhusu vifo vya John Mrema na Freeman Aikale Mbowe, tena limetaja hadi sehemu walizo fia, Mbowe kafia Dubai na Mrema kafia S.A. Tusianze kuandikia mate wakati wino upo.
Haya majitu hayajiulizagi maswali km haua ili mradi yamemfurahisha faraona kingine sio eti lazima awe kiongozi tu au kumzushia mtz yoyte kifo inakuwa sawa pia??