Mwigulu Nchemba: Tunawafuatilia wanaopotosha na kuzushia viongozi vifo

Mwigulu Nchemba: Tunawafuatilia wanaopotosha na kuzushia viongozi vifo

Waziri wa Katiba na Sheria amesema wanawafuatilia wote wanaozushia watu vifo. Na hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa kuna baadhi wameanza kushughulikiw....
kwa kauli hizi umetusaidia saaana!! Mheshimiwa hapa ndo tulipataka hapa!!!! Tumekuelewa baba kumbe tayari.
 
Na sisi tusokua viongozi je??Tusichoshane!! Simtu unatokea tuu unakanusha hawavp??
 
Ulikuwa unatisha watu,Eti watashtakiwa kwa kueneza uongo kuwa Rais anaumwa, sasa imejulikana wazi kwamba wewe ndo muongo.
Kwanza umeshiriki kikamilifu kuvunja katiba,inayotambua Uhuru wa kutoa maoni,yaani Watanzania wamekosa hata muda wa kumwombea Rais wao, pengine kwa maombi ya Taifa labda MUNGU angemponya.

Msiba ni msiba tu, tumeumia sana.

Jiuzulu hiyo nafasi haikufai kabisa.
 
Samia anatakiwa hii takataka aitoe mapema sana kwenye baraza la mawaziri
 
Nilikua nahisi Mwigulu lameck Madelu Hana akili. Kupitia itv kadhibitishia ulimwengu kwamba kweli Hana akili na Kuna uwezekano hiyo PhD yake niyaku plegiarise.
 
Nilikua nahisi Mwigulu lameck Madelu Hana akili. Kupitia itv kadhibitishia ulimwengu kwamba kweli Hana akili na Kuna uwezekano hiyo PhD yake niyaku plegiarise.
PhD za viongozi wanazopata wakiwa kwenye full time job kama Uwaziri ni za kulipa fedha unaandikiwa au ku- plagiarize. UDSM wameikosea sana Tanzania kwa PhD ya Magufuli na Mwigulu
 
Nilikua nahisi Mwigulu lameck Madelu Hana akili. Kupitia itv kadhibitishia ulimwengu kwamba kweli Hana akili na Kuna uwezekano hiyo PhD yake niyaku plegiarise.
Nafikiri ushamba na ulimbukeni wa kile kiti cha kuzunguruka, ukikua unachunga punda na kondoo, utavikalia wapi??😂
😂😂

Nimemuelewa sana RC Mtaka, mawaziri ovyo

Everyday is Saturday................................😎
 
PhD za viongozi wanazopata wakiwa kwenye full time job kama Uwaziri ni za kulipa fedha unaandikiwa au jus plagiarize. UDSM wameikosea sana Tanzania kwa PhD ya Magufuli na Mwigulu
Ni kweli hizo zao ni za kununua live.......hakuna ubishi
 
Tuna viongozi waongo mno mpaka wanakera.Yani walisha tuona misukule yao.Alafu huwa hawaombi radhi.
 
Back
Top Bottom