Aende zake Uyo nae tushamchoka na maneno yake ya Shombo kwa Wa TZ anawafuatilia awapeleke wapi?!Mtapoteza maisha ya Wa Tanzania wangap?hamchoki kumwaga damu..ndugu yenu aliendekeza hii michezo yuko wap!
Waziri wa Katiba na Sheria amesema wanawafuatilia wote wanaozushia watu vifo. Na hatua kali zitachukuliwa dhidi yao. Mpaka sasa kuna baadhi wameanza kushughulikiwa.
Mh waziri hata watoto wa vigogo utawachukulia hatua?