FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #221
"mdini" mimi, wewe kinakuuma nini? Wewe kama huna dini nani alikuingilia?Wewe ajuza ni mdini sn tunakujua, mfumo wote ni ovu tupu lakini umekomaa na Mwigulu pekee kwanini usitaje wote? acha udini shame on you
Kwani kuwa "mdini" ni dhambi au kuvunja sheria?