Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe


kwa hii post yako unataka kusema si ruhusa watu kuonana mara kwa mara, mfano mbowe na slaa wakionana mara kwa mara ni kosa??
 

Hapa kuna issues mbili,
1) Kuna mawasiliano yaliwekwaga hapa kuhusu mtu mwenye jina kama lako, na mtu mwenye jina kama la Emmanuel Nchimbi. Hayo mawasilano hukuwahi kuyakanusha kua sio kweli.

2) Sasa imewekwa kua Ben aliitwa Polisi kuhojiwa kuhusu Kuingilia mawasiliano yenu, hilo unakataa kua hukuwahi kuwasiliana na Mchimbi na wala Ben hakuitwa kwa kuingilia mawasiliano, mbona hukukataa toka mwanzo??

Emmanuel Nchimbi alikua Waziri, na sasa sio tena Waziri Waziri. Tuseme mwanzo ulijua kua hata kama ni kweli hauwezi kufanywa lolote sababu tu mtu uliehusika nae ana dhamana kubwa Serikalini??

Ukijitokeza sasa kukanusha hili, huoni kama italeta picha kua kwa vile Nchimbi sio waziri, basi usalama wako na kinga zako sasa ziko Mashakani ndio maana unajitetea??
 

we jamaa punguza maneno hayo makali yenye kuongeza uchungu na hasira dhidi ya hili jambazi a.k. gaidi kuu.

unaweza ukasababisha mtu akajitwisha sime na kuanza kulitafuta guruwe hili.

sipendi hata kuliona na hasa nikikumbuka roho za marehemu wasiokuwa na hatia.
wamelishika makalio linaanza kutapa tapa na kuanza kumtisha kamanda ben
 

mkuu nme kusoma vema, time will tell
 

Haadhaa duwaaun swabahun wamasaaun. Duwaaun adhwin. Alluhumma amini. Kwakuwa kila mwanadamu hukosea kutaka msamaha kwa Mungu sio kosa.
 

Na unaamini kwa dhati kabisa kuwa kwa maneno yako haya mnamsaidia Mwigulu katika kile anachokusudia wananchi wamuelewe..!? Dah.. hebu soma tena post yako kisha jitendee haki wewe na upeo wako ndugu.
 

mkuu kwanza pole na masaibu yaliyokupata mrudie muumba atakusamehe lakin ni vyema ukakili kosa kwa umma
 
Mungu wangu, ninatubu sana dhambi zangu, kwani ndiwe mwema, ndiwe mwenye kupendeza, wachukizwa na dhambi, basi sitaki kukosa tena, nitafanya kitubio, naomba neema yako nipate kurudi kwako, Amina.
 


....Pole sana ...ina uma sana !!!

...Anza leo mapambano...tupo pamoja nawe.....
 
So that's it...

Evaluate yourself on this, where area you and so called "friends" are ?

 
Mwigulu hana tofauti na Zitto maana wote ni waongo sana... Hawezi kusema hajawasiliana na Nchimbi kwa email tangi azaliwe huo ni uwongo mkubwa labda watoto wa kindergarten ndiyo wataamini.

Mwisho siku atasema hamfahamu Nchimbi hata kidogo.
 

Mchawi mkubwa wewe, hebu sema wangapi umekwisha waua kabla ya mwanao.
 
Nchemba ni shetani, ni ngumu sana kumbadili shetani...
 

mkuu mwigulu bora ange kaa kimia anazidi kujivuwa nguo, ben ameitwa polis kwa kuingilia mawasiliano ya Mwigulu na Nchimbi, huku mwigulu anasema ajawi kuwasiliana nchimbi, anafikiri Jf inejaa Uvccm
 
"THE TEAM"
Kumbe mipango yao wanaifanyiaga hata Bungeni
 
Kama ni email feki kwa nini polisi wamuulize Ben alipata wapi Password zenu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…