Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe


...aseeh!!

Mkuu funguka...leo kazi moja tu....
 
Hata mimi na-doubt....yaani wewe upoteze mwanao, halafu uwe na ushahidi wa muhusika (ambaye si tu kwamba ameua mwanao bali na wengine pia pamoja na kujeruhi wengine kibao) halafu badala ya kuchukua hatua stahiki (at least utoe ushahidi hata hadharani ikibidi), wewe unaishia kulalamika kwenye mitandao !?

Mmh ya kweli haya?
 

Mr Benn saanane ni nyoka wa kijani ndani ya majani ya kijani,amechoka kukaa ndani ya majani.
 
Mwigulu utaitumbukiza nchi yetu kwenye machafuko soon. Sielewi ni kwa nini wazee wenye busara ndani ya CCM wanaweza kukuacha ufanye haya unayoyafanya. Pamoja na degree yako na hiyo PHD unayodai unasoma, you are not smart at all. Mipango yako mingi inakwenda ovyo ovyo na kubuma kila leo, lakini CCM wanakuona wewe ni kichwa babu kubwa. Kwa nini imekuchukua muda mrefu kuzijibu hizi tuhuma? Kwa nini haukutoa ufafanuzi mpaka Ben alipoitwa polisi?

In short, wewe ni janga la taifa.

Tiba
 
ndg wana jf salaam. Nimelazimika kuja hapa kuweka jambo hili sawa. Nimeona uzi unaoongelea kuwa mimi na mhe Nchimbi tumewashitaki vijana hao waliojitaja kwa kuingilia mawasiliano. Naomba kuweka wazi kuwa

1) Sijawahi kuwasiliana na mhe Nchimbi kwa E mail hata siku moja tangu nizaliwe.
2) Sijapeleka lalamiko la mambo hayo polisi wala vyombo vyovyote vya dola wala vya habari
3) E mail ilibandikwa ikionesha mimi nawasiliana na Nchimbi wala sio e mail yangu wala haijawahi kuwa e mail yangu.
4) Sikuwa hata na sababu ya kuwasiliana na Mhe Nchimbi kwa E mail kwakuwa muda mwingi tuko wote bungeni, kwenye vikao vya chama na mjini.
Inawezekana ni kweli vijana hawa wameitwa polisi, basi kama ndivyo, watakuwa wameitwa kwa kutengeneza e mail kwa majina ya viongozi, kutunga ujumbe wao na kutengeneza kama vile viongozi wamewasiliana na kuusambaza kwa lengo baya la kutaka kuchafua taswira za viongozi mbele ya umma. Hii ni tabia mbaya kabisa na vijana wa aina hii ni mizigo kwa Taifa. Naunga mkono polisi wafuatilie uzushi na ujinga huo wa watu kutengeneza e mail bandia, mawasiliano feki na kusambaza kama ndio mawasiliano halali ili umma upokee matope waliopanga kupakazia viongozi. e mail yangu iko kika mahali kwenye business card zangu. Nalaani kitendo chao cha kubandika e mail batili, mawasiliano batili na kusambaza kwenye mitandao, nalaani pia kwa kutokuwa wakweli kama wameitwa kwa kuandaa e mail feki na mawasiliano feki wanakuja huku kuripoti kuwa wameingilia mawasiliano. yapi? Sio e mail yangu, wala sijawahi kuwasiliana na Nchimbi kwa e mail. E mail yangu inafanya academic issues, nawasiliana na supp wangu wa PhD na wanazuoni wengine kwa academic issues. Ben, look at you?


Amejitokeza baada ya kuona Nchimbi kabwagwa kwani misheni yao imebuma. Inabidi asubirie waziri atakeyekuja ili aanze upya. Kazi unayo Mwigulu damu nyingi zinakulilia vp mbona umemwaga Tesha au kampeni zimeisha
 
Sasa ndg yangu Mkuu ya Kaya! unavielelezo vyote khs huyo Jamaa! na mpaka umepoteza mtoto! kwanza pole kwa yt lkn bado huoni 7bu yakuanika kila kitu unachokijua Unasubiri hadi aifute ARUSHA yote kwa milipuko! Ili ubaki ww uanze kusimulia wapi vikao vilikuwa vinafanyika hujui km utakuwa umechelewa sana! Plz km kuna chochote khs mipango OVU ya Ndg NCHEMBA hebu 2pia hapa jukwaani Ukisubiri hadi akanushe huenda naww hatutakusoma tena hapa JF!
 
Tokea ulivyoandaa ile video ya lwakatare ww na Bukoba boy kupeleka youtube cna imani tena na wewe
 

Mkuu, kuusu kuzurika ilo siliofii sana, na sina hofu juu ya hawa mafedhuli kwani nilisharipoti polisi juu ya usalama wa maisha yangu na kadi yao nilishawarudishia na wanajua mimi ni adui yao na kwaatakayetaka kunifuatilia zaidi asisumbuke kunitafuta kwani mimi ni Mgonbea udiwani mwaka 2010 Arusha kata ya Elerai kwa tiketi ya ccm nilieshindwa katika uchaguzi huo na Bayo aliekuwa mgombea udiwani kwa tiketi ya Chadema Ambae baadae chama kiliwafukuza uanachama na wakapoteza udiwani wao yeye na wenzakae watatu.

Siogopi na wakinizuru najua watakuwa wamezidi kujipalia makaa, kwani hili swala Mbunge wangu G.Lema analijua na nguvu ya uma ipo na itafanya kazi.
 

Ipo siku huyo saananee atakimbia kivuli chake.
 
Mkuu naanza kukuamini sasa.....chukua tu tahadhari......

 

Mkuu funguka zaidi, umma utakuwa nyuma yako kama ukieleza kinagaubaga nini kilitokea Arusha...
 

....rip ccm
 
hakiyanani mmeshatutoa kwa EWURA kupandisha Bei ya Umeme
 

Aisee huyu jamaa ana habari nzuri kwa maslahi ya taifa, jumlisha na yule aliyepelekwa na Lema bungeni..
Tafadhari, toeni taarifa hapa au kwingineko kwa maslahi mapana ya taifa.. weka habari hapa ili kesho kila mtanzania aisome magazetini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…