Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

Hivi kuna jambo ulilowahi kulikubali we M. Nchemba? Vipi kuhusu kutema mate ndani ya jengo la bunge? Hilo nalo utalikataa? Utawaambukiza wenzako magonjwa. Hivi kwa nini hamkukamatwa kutokana na hayo mawasiliano hatari kwa usalama wa raia? Mbona Lwakatare alikamatwa haraka,baadaye aibu ikawa juu yako.Ushahidi wa mbinguni uko wapi we mtema mate ovyo?
 

...well said!!!
 
Cjawahi kuona ama kusikia nchi yoyote ambayo chama kilichomadarakani, kazi yake ni kuangalia chama kikuu cha Upinzani kinafanya nn..CCM Mnaboa sana ukienda bungeni ooh! Mbowe...ivi zile ahadi mmetekeleza walau hata moja..Siasa za kizamani hizo hazitawasaidia na kama hamujui kipindi hiki cha awamu ya pili ya Kikwete mmesaidia sana kupiga kampeni za cdm
 
 
MWIGULU sijawahi kukuamini hata siku moja , hivi kwanini umekuja jf baada ya MZIGO MWENZIO NCHIMBI kupigwa chini wizarani ? Unaogopa nini ?
 
ukisikia Nchemba amepewa uwaziri utajisikieje?

Kwani Uwaziri serikali ya JK inafuata utendaji kazi au uadilifu?

Kama ww ni mtandao na swahiba wake JK tu ndiyo sifa kubwa ya kupata uwaziri serikali hii!Mbona Mulugo bado waziri bana atashindwaje kumpa Mwigulu?
 

mkuu kwa wanasiasa kila kitu kinawezekana,japo kiuhalisia inachekesha
 
Mheshimiwa Mwigulu; Jitahidi Kumrudia Mungu wako!! Shutuma Unazotupiwa na kila aliye Mtenda Haki sidhan Kama zitakusaidia Kupata Yaliyo bora!! Duniani tunapita tuu ndugu Yangu!! Pia Nakushauri uwe na upeo wa kufikiria na Kesho!! Yaleo Yamepita!!!
 
Uwii Mungu anajua na nafsi yako.Nenda basi polisi katoe hayo maelezo yako!
 
Wanakuja kukanisha baada ya Mmoja wapo kufukuzwa kazi ya Uwaziri wa mambo ya ndani
 
Mwigulu ni muongo, mzandiki, mnafiki ni mtu asiye aminika kidogo, hafai, hafai , hafai....hata ukimtupa mto wami mamba hawawezi kumla...hafai hata kidogo kuishi na jamii ya watu waungwana na wastaarab.
 
Siku hizi wauaji mnawaita waheshimiwa?...Wanyonyaji mnawaita wawekezaji? Mafisadi mnawaona celebrities? Bei ya umeme inapandishwa 85% kwaajili ya kulipa deni feki mnashangilia? Miaka 50 plus wameshindwa kuwapa wananchi maji, huduma bora za afya, elimu, barabara, maisha bora mwaka huu mmoja uliobakia wataweza? CHAMA CHA MAJANGILI ni majanga kwa WATANZANIA mkuu...
 
Mwigulu wewe ni haini full stop....Na ukweli tumeshaujua..

nakuambia hivi , lazima watatajana tu , we subiri , hatuwezi kuvumilia MTU MMOJA akituharibia amani kwa kisingizio cha kulinda ccm .
 

Sahihi kabisa. Ndio sababu nimemshauri akatatue shida za wapiga kura wake kwa muda mchache uliosalia, aachane na malumbano yanayopoteza muda wa sie walipa kodi.
 

Acha kutufanya sisi watoto wadogo, hakuna mahala ulijibu hili swala na by then kila mtu alikungoja kwa hamu kuona response yako lakini hakuna kilichotokea, by the way, huko Police Ben kaulizwa passwords alitoa wapi? so kwa mtu yeyote aliye vizuri upstairs anaelewa kwamba hizo emails ni za kweli na hakuna cha kutengenezwa.
 
Tatizo Mwigulu haji kujibu hoja badalaya hamy d ndo anajibu...

Hizi ID nyingi ni tabu tupu..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…