Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Siondoki humu mpaka .....
Kieleweke..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siondoki humu mpaka .....
Up.umbavu..
Hivi kuna deadlines za kukanusha enh? Kama siyo akili ndogo ni kitu gani.
Mwigulu Nchemba,
-Nilichoulizwa Polisi mbele ya mwanasheria wangu ndicho nilichoripoti.
-Sasa kama una updates nyingine it's none of my business
-Pia kumbe kuna vijana waliojitaja kuwa wameingilia mawasiliano?Sasa kulikua na haja gani ya Jeshi la polisi kuniita kama wapo vijana wa aina hiyo ?Unasema watakua wameitwa tu kwa kutengeneza email fake za viongozi bila malalamiko?
-Pia barua pepe hizi zilisambaa kwa kasi kwenye mitandao hata kwenye Thread yako uliyoanzisha tarehe 26.11.2013 .Hukutoa ufafanuzi
-Thread ilipoanzishwa ili utoe ufafanuzi ulikaa kimya now one month.Nilikutumia SMS utoe Ufafanuzi maana watu wataamini ni ukweli.Ukakaa kimya.
-Nilishtuka sana waliponiuliza ulipata wapi password ya Nchimbi.Pia niwasaidie kumjua aliyeweka Jamiiforums na kwenye mitandao.Na pia lengo langu la kuanzisha thread (Ku-recreate kwa maneno yao)ni nini?
-Sasa polisi niliwaambia wao watafute ni nani aliingilia mawasiliano hayo ambayo tulikubaliana ni kinyume cha sheria.Pia watafute chanzo na sehemu ambazo mawasiliano hayo yalipita maana lengo la kuanzisha thread kwa kufanya Copy and Paste ya kilichokua kinazunguka ni kuhakikisha wahusika ambao majina yanayofanana na ya Nchimbi na Mwigulu walitakiwa kutoa ufafanuzi na wewe ulikua online.Thread ilianzishwa at 13:51 na kisha masaa matatu baadae nikaona kimya kimezidi nikakutumia SMS wewe na Nchimbi ambao majina yanayofanana na yenu yalihusishwa .Niliwatumia SMS masaa 3 baadae exactly.Nitaiweka hapa na hata polisi niliwaonyesha kwa kuwa bado ipo ndani ya simu yangu na nilishaichapisha
Polisi walisema pia bado watamhoji Mhe. Nchimbi.Sijui kwanini so far haujahojiwa na Polisi
"Ben,Look at you.!"-By,Mwigulu Nchemba. (Sijui unamaanisha nini)
SMS niliyotuma ni hii
" Hon'ble Nchimbi,
Mawasiliano ya Barua pepe yanayoonyesha kati ya jina la Emmanuel Nchimbi na Mwigulu Nchemba kama yanavyosambaa JamiiForums na Mitandao mingine ya kijamii yanayoainisha njama ovu dhidi ya CHADEMA ni za kweli?Muda wote wahusika mmekaa kimya bila ufafanuzi sasa nimeanzisha thread ili mtoe ufafanuzi.Vinginevyo tutaendelea kuamini ni ukweli.
Mh.Mwigulu nawe umekua kimya pamoja na kuwa member wa JF na Facebook.Ben Saanane
CC:Mwigulu '"
Mkuu tuko pmoja, tunajuwa vijana wengi makanjanja wanatumika kutengeneza emailfake,facebook akaunti fake kwa adhumuni ya siasa za majitaka, Wewe jenga chama.....simamia serikali Waache waweweseke kwani Wananchi wameshajuwa ukweli na sasa CCM imeaminika..................Mary Christmass and Happy new year 2014.
Hivi kwanini post kama hizi Lumumba Buku7 Fc hawaonekani.....? Nakama wakoinekana hawana hoja wanatukana na kuondoka....
Au ni kwasababu zinaukweli ndani yake....? Yupo wapi ZeMarcopolo
ndg wana jf salaam. Nimelazimika kuja hapa kuweka jambo hili sawa. Nimeona uzi unaoongelea kuwa mimi na mhe Nchimbi tumewashitaki vijana hao waliojitaja kwa kuingilia mawasiliano. Naomba kuweka wazi kuwa
1) Sijawahi kuwasiliana na mhe Nchimbi kwa E mail hata siku moja tangu nizaliwe.
2) Sijapeleka lalamiko la mambo hayo polisi wala vyombo vyovyote vya dola wala vya habari
3) E mail ilibandikwa ikionesha mimi nawasiliana na Nchimbi wala sio e mail yangu wala haijawahi kuwa e mail yangu.
4) Sikuwa hata na sababu ya kuwasiliana na Mhe Nchimbi kwa E mail kwakuwa muda mwingi tuko wote bungeni, kwenye vikao vya chama na mjini.
Inawezekana ni kweli vijana hawa wameitwa polisi, basi kama ndivyo, watakuwa wameitwa kwa kutengeneza e mail kwa majina ya viongozi, kutunga ujumbe wao na kutengeneza kama vile viongozi wamewasiliana na kuusambaza kwa lengo baya la kutaka kuchafua taswira za viongozi mbele ya umma. Hii ni tabia mbaya kabisa na vijana wa aina hii ni mizigo kwa Taifa. Naunga mkono polisi wafuatilie uzushi na ujinga huo wa watu kutengeneza e mail bandia, mawasiliano feki na kusambaza kama ndio mawasiliano halali ili umma upokee matope waliopanga kupakazia viongozi. e mail yangu iko kika mahali kwenye business card zangu. Nalaani kitendo chao cha kubandika e mail batili, mawasiliano batili na kusambaza kwenye mitandao, nalaani pia kwa kutokuwa wakweli kama wameitwa kwa kuandaa e mail feki na mawasiliano feki wanakuja huku kuripoti kuwa wameingilia mawasiliano. yapi? Sio e mail yangu, wala sijawahi kuwasiliana na Nchimbi kwa e mail. E mail yangu inafanya academic issues, nawasiliana na supp wangu wa PhD na wanazuoni wengine kwa academic issues. Ben, look at you?
MAJIBU ya BEN SAANANE
Tatizo lako wewe mume wako hautoshi (haurdhiki)............namimi niikuwa na demu mwenye tabia kama zako nikamuacha!!!!!!!!!Kujipendekeza kwa kiwango hiki ni janga!
Hata bomu la Soweto alikana wakati yeye ndie alisuka mradi wote wa mauaji
we bibi lazima utakuwa mwanga...una roho mbaya sana.
ndg wana jf salaam. Nimelazimika kuja hapa kuweka jambo hili sawa. Nimeona uzi unaoongelea kuwa mimi na mhe Nchimbi tumewashitaki vijana hao waliojitaja kwa kuingilia mawasiliano. Naomba kuweka wazi kuwa
1) Sijawahi kuwasiliana na mhe Nchimbi kwa E mail hata siku moja tangu nizaliwe.
2) Sijapeleka lalamiko la mambo hayo polisi wala vyombo vyovyote vya dola wala vya habari
3) E mail ilibandikwa ikionesha mimi nawasiliana na Nchimbi wala sio e mail yangu wala haijawahi kuwa e mail yangu.
4) Sikuwa hata na sababu ya kuwasiliana na Mhe Nchimbi kwa E mail kwakuwa muda mwingi tuko wote bungeni, kwenye vikao vya chama na mjini.
Inawezekana ni kweli vijana hawa wameitwa polisi, basi kama ndivyo, watakuwa wameitwa kwa kutengeneza e mail kwa majina ya viongozi, kutunga ujumbe wao na kutengeneza kama vile viongozi wamewasiliana na kuusambaza kwa lengo baya la kutaka kuchafua taswira za viongozi mbele ya umma. Hii ni tabia mbaya kabisa na vijana wa aina hii ni mizigo kwa Taifa. Naunga mkono polisi wafuatilie uzushi na ujinga huo wa watu kutengeneza e mail bandia, mawasiliano feki na kusambaza kama ndio mawasiliano halali ili umma upokee matope waliopanga kupakazia viongozi. e mail yangu iko kika mahali kwenye business card zangu. Nalaani kitendo chao cha kubandika e mail batili, mawasiliano batili na kusambaza kwenye mitandao, nalaani pia kwa kutokuwa wakweli kama wameitwa kwa kuandaa e mail feki na mawasiliano feki wanakuja huku kuripoti kuwa wameingilia mawasiliano. yapi? Sio e mail yangu, wala sijawahi kuwasiliana na Nchimbi kwa e mail. E mail yangu inafanya academic issues, nawasiliana na supp wangu wa PhD na wanazuoni wengine kwa academic issues. Ben, look at you?
Ooh!! Jamani, Mhe. Mwigulu, uko serious kweli na haya majibu yako au ni tabia yako ya kusema ili kutimiza haja ya moyo wako pasipokujali watu wanaokuzunguka?
Okay, let's assume that is your position,,,ni nani atakuamini wewe leo baada ya kukaa kimya kwa takribani mwezi mmoja +? Emails unazojaribu kuzijibu zilikuwepo hapa JF tangu mwezi November, 2013.
Je, ulikosa muda wa kujibu au hukuwahi kusikia kutoka kwa rafiki zako wa karibu juu ya kuenezwa kwa email inayokuhusu wewe na Mhe. Nchimbi? Nooo, personally, I can't believe you at any cost.
Halafu, how dare unasema hujawahi kuwasiliana na Mhe. Nchimbi kwa njia ya email tangu ulipozaliwa? If you were giving evidence in Court, hitimisho lake lingekuwa kuwa unaidanganya mahakama..!! We all know kwamba this time around people communicate via emails and other social media means...lkn kuhusu email ndio prime mode of communication.
Mkuu wa kaya pole sana mtz mwenzetu!,,,Lakini kwanini umpeleke mwanao mkutanoni na huku ukijua kuna bomu?
Nadhani hukuemo jamvini asubuhi..alisema Nchimbi aliwataadhalisha wawazuie wapendwa wao ndugu na jamaa wasiende mkutanoni, kikao kikamuhoji kwa nini? Jibu lilikua moja tu kwamba "kunahatari itatokea" hakusema kwamba hatari hiyo ni bomu.
very shocking storry,any way ukweli anao mwenyewe MKUU WA KAYA
very shocking storry,any way ukweli anao mwenyewe MKUU WA KAYA