nyie ni wajinga sana, rahisi sana kudanganyika hamtumii akili ya kawaida ku reason mambo ya kawaida. acheni gongo
Wewe unaetumia akili za ziada (exra ordinary) tuelimishe tukuamini kama hatuwezi kutuamini, basi soma signature yangu hapa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nyie ni wajinga sana, rahisi sana kudanganyika hamtumii akili ya kawaida ku reason mambo ya kawaida. acheni gongo
Na ule mtambo wa kutuma sms feki aliuleta nani?
na bomu la arusha soweto si ni wewe umeua watu wasio na hatia?
Kuna damu ya Watanzania mikononi mwako wewe hapo Mwigulu Nchemba na utalipwa hapa hapa duniani?
PHD ya kung'oa watu kuchaHongera kumbe mwígulu unasoma phd, tudokeze ni ya nini?
wewe kila kitu unachoambiwa unameza tu kama dodoki? una ushahidi wa mambo hayo unayoongea? tumia akili usiwe unameza kila uzushi unaousikia

"Kumezuka vijana ndani ya chama chetu ambao kazi yao kubwa ni kutengeneza na kusema uongo kwa malengo wanayojua wao" ZZK
Sorry nilisahau,Mwigulu tunaomc wewe na Ndugai mje Mbeya mfanye ziara za hadharani kama kweli ninyi ni wanaume.REST IN PEACE DR,MVUNGI,DAUD MWANGOSI,NA WALE WOTE MLIPOTEA WAKATI WA OPERATION TOKOMEZA.