Mwigulu: Tunawindwa kwenye suala la dini, mtego wake hauna mshindi

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amewaonya Watanzania dhidi ya kuingia kwenye kile alichokitaja kuwa ni mtego wa migogoro ya kidini, akisisitiza kuwa migogoro inayogusa imani za watu haina mshindi na inaweza kulivuruga taifa zima endapo haitakwepwa mapema.

Akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam leo Desemba 29, 2025, wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa soko na kituo cha mabasi Bunju, Wilaya ya Kinondoni, Dkt. Nchemba amesema kuwa mataifa mengi yanayoendelea yamekuwa yakitegewa mitego katika vipindi vya uchaguzi kwa kuchochewa ukabila na udini, akieleza kuwa Tanzania imefanikiwa kuvuka mtego wa ukabila lakini sasa inakabiliwa na hatari ya mtego wa udini.

Amesema Tanzania imejengwa juu ya misingi ya kuvumiliana kidini, ambapo serikali haina dini na kila mwananchi ana uhuru wa kuabudu dini anayoamini bila vikwazo, hali iliyowezesha hata familia zenye waumini wa dini tofauti kuishi kwa amani.

“Ukigusa imani ya mtu, hapo hakuna mshindi. Ukishaingia kwenye mtego huu hauna kutoka,” amesema Dkt. Nchemba, akionya kuwa migogoro ya kidini ikianza huwakumba wote bila kujali nani alichochea au nani alikaa kimya.

Waziri Mkuu amewahimiza viongozi wa dini, viongozi wa siasa pamoja na wananchi wa kawaida kutumia njia sahihi za mazungumzo na ushauri pale wanapokuwa na hoja au malalamiko, akisisitiza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameweka wazi milango ya mazungumzo na yuko tayari kupokea mawazo, ushauri na hoja kutoka kwa wadau mbalimbali.

Ameonya dhidi ya tabia ya kushambuliana hadharani katika masuala ya imani, akieleza kuwa kiongozi wa dini anaposhambuliwa, waumini wake humtazama kama baba au kiongozi wa kiroho, jambo linaloweza kuchochea hasira na migawanyiko mikubwa katika jamii.
 
PM anapiga kazi mpaka anasema poo😀😀😀, sio kwa ubaya maana yeye ndo mtandaji mkuu wa serikali

Kila la kheri kwake
 
Hakuna udini, tunawapinga nyie mnaowatendea ukatili Watanganyika bila kujali dini zao
Mliuwa watu wa dini zote,
Maji wanakosa watu wa dini zote
Ajira wanakosa vijana wa dini zote
Wanatekwa watu wa dini zote
Kura mnaiba za watu wa dini zote
 
Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amewaonya Watanzania dhidi ya kuingia kwenye kile alichokitaja kuwa ni mtego wa migogoro ya kidini, akisisitiza kuwa migogoro inayogusa imani za watu haina mshindi na inaweza kulivuruga taifa zima endapo haitakwepwa mapema.

Akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam leo Desemba 29, 2025, wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa soko na kituo cha mabasi Bunju, Wilaya ya Kinondoni, Dkt. Nchemba amesema kuwa mataifa mengi yanayoendelea yamekuwa yakitegewa mitego katika vipindi vya uchaguzi kwa kuchochewa ukabila na udini, akieleza kuwa Tanzania imefanikiwa kuvuka mtego wa ukabila lakini sasa inakabiliwa na hatari ya mtego wa udini.

Amesema Tanzania imejengwa juu ya misingi ya kuvumiliana kidini, ambapo serikali haina dini na kila mwananchi ana uhuru wa kuabudu dini anayoamini bila vikwazo, hali iliyowezesha hata familia zenye waumini wa dini tofauti kuishi kwa amani.

“Ukigusa imani ya mtu, hapo hakuna mshindi. Ukishaingia kwenye mtego huu hauna kutoka,” amesema Dkt. Nchemba, akionya kuwa migogoro ya kidini ikianza huwakumba wote bila kujali nani alichochea au nani alikaa kimya.

Waziri Mkuu amewahimiza viongozi wa dini, viongozi wa siasa pamoja na wananchi wa kawaida kutumia njia sahihi za mazungumzo na ushauri pale wanapokuwa na hoja au malalamiko, akisisitiza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameweka wazi milango ya mazungumzo na yuko tayari kupokea mawazo, ushauri na hoja kutoka kwa wadau mbalimbali.

Ameonya dhidi ya tabia ya kushambuliana hadharani katika masuala ya imani, akieleza kuwa kiongozi wa dini anaposhambuliwa, waumini wake humtazama kama baba au kiongozi wa kiroho, jambo linaloweza kuchochea hasira na migawanyiko mikubwa katika jamii.

Hilo la dini watatafuta mchawi mwingine tu wakati ni wao wenyewe.

Hivi Samia aliposimama na kuwasingle out TEC alikuwa anamaanisha nini....!!?

Hivi Mashehe walipodai watawachinja watu vichwa serikali ilikuwa wapi na ilifanya nini...!!?

Hivi Mashehe waliposema kula Ubwabwa na pilau ya Krismasi ni haramu na nani aliinua mdomo ....!!?
 
hivi aliyesema atawakata vichwa waandamanaji ni DINI gani vile?
 
Drama zinaendelea,wakati wao ndio wapo nyuma ya hili.
 
Hawa watu ni wajinga yule alimshitaki Kitima ndio anatumika na akina Abdul
 
Hilo la dini watatafuta mchawi mwingine tu wakati ni wao wenyewe.

Hivi Samia aliposimama na kuwasingle out TEC alikuwa anamaanisha nini....!!?

Hivi Mashehe walipodai watawachinja watu vichwa serikali ilikuwa wapi na ilifanya nini...!!?

Hivi Mashehe waliposema kula Ubwabwa na pilau ya Krismasi ni haramu na nani aliinua mdomo ....!!?
Kuna vitu ukizungumza ebu tafakari kwanza na ujue hoja ipi inastahili na hoja ipi haistahili

Unapozungumzia maswala ya kula chakula cha krismass hiyo ni kiimani zaidi,huwezi kuiweka kuwa hoja ya kujadili hapa,mfano nikisema Yesu sio mungu,je utasema nimeongelea udini hapa?

Hao inaosemekana MASHEIK sio bali wahuni fulani hata watu picha zao walizirusha sana mtandaoni,kwahiyo sio kila mtu akivaa kanzu akaita media basi ni sheikh..

Kuna taasisi za kiislamu zinajulikana,hizo zikisema kweli hapo unaweza ukahoji na kutumia kama reference
 
Sawa. Tatizo linakuja pale ... wale wanaozungumzia haki wanadakwa chapuchspu na kupotezwa lakini hao kenge wanaachiwa tu kuelendea na uhuni wao.

Hivi haobwanaodai kuchinja watu vichwa na Gwajima kati yao ni nani hatari kwa nchi!?
 
Umeona TEC tu, nani alifungia makanisa ya Gwajima? Au ile sio imani ya watu? Mkiguswa kwenye ukweli inakua udini kizazi cha hayo kinaishia by the way. Beberu ndo anawatega kwa sababu mna uranium?
Tatizo Gwajiboy haeleweki ni maji Moto au baridi? Mara aongee siasa kanisani. Hakuna kipindi aliitumia vizuri nyumba Yake ya Ibada wakati wa vita Yake na makonda
 
Back
Top Bottom