Mwigulu: Tunawindwa kwenye suala la dini, mtego wake hauna mshindi

Mwigulu: Tunawindwa kwenye suala la dini, mtego wake hauna mshindi

Kuna vitu ukizungumza ebu tafakari kwanza na ujue hoja ipi inastahili na hoja ipi haistahili

Unapozungumzia maswala ya kula chakula cha krismass hiyo ni kiimani zaidi,huwezi kuiweka kuwa hoja ya kujadili hapa,mfano nikisema Yesu sio mungu,je utasema nimeongelea udini hapa?

Hao inaosemekana MASHEIK sio bali wahuni fulani hata watu picha zao walizirusha sana mtandaoni,kwahiyo sio kila mtu akivaa kanzu akaita media basi ni sheikh..

Kuna taasisi za kiislamu zinajulikana,hizo zikisema kweli hapo unaweza ukahoji na kutumia kama reference
Sasa hapo binti umeongea nini? Mbona unajichanganya mwenyewe? Yule mwaipopo aliekaita vyombo vya habari na Kudai samia anaonewa kisa uislamui wake Naye sio sheikh? Laiti Magufuli angekuwa muislamu na alivyokiandamwa na lissu,Maria sarungi,kigogo na mange kwa akili fupi Za mashehena wangedai yote hayo kisa dini
 
Back
Top Bottom