Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amewaonya Watanzania dhidi ya kuingia kwenye kile alichokitaja kuwa ni mtego wa migogoro ya kidini, akisisitiza kuwa migogoro inayogusa imani za watu haina mshindi na inaweza kulivuruga taifa zima endapo haitakwepwa mapema.
Akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam leo Desemba 29, 2025, wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa soko na kituo cha mabasi Bunju, Wilaya ya Kinondoni, Dkt. Nchemba amesema kuwa mataifa mengi yanayoendelea yamekuwa yakitegewa mitego katika vipindi vya uchaguzi kwa kuchochewa ukabila na udini, akieleza kuwa Tanzania imefanikiwa kuvuka mtego wa ukabila lakini sasa inakabiliwa na hatari ya mtego wa udini.
Amesema Tanzania imejengwa juu ya misingi ya kuvumiliana kidini, ambapo serikali haina dini na kila mwananchi ana uhuru wa kuabudu dini anayoamini bila vikwazo, hali iliyowezesha hata familia zenye waumini wa dini tofauti kuishi kwa amani.
“Ukigusa imani ya mtu, hapo hakuna mshindi. Ukishaingia kwenye mtego huu hauna kutoka,” amesema Dkt. Nchemba, akionya kuwa migogoro ya kidini ikianza huwakumba wote bila kujali nani alichochea au nani alikaa kimya.
Waziri Mkuu amewahimiza viongozi wa dini, viongozi wa siasa pamoja na wananchi wa kawaida kutumia njia sahihi za mazungumzo na ushauri pale wanapokuwa na hoja au malalamiko, akisisitiza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameweka wazi milango ya mazungumzo na yuko tayari kupokea mawazo, ushauri na hoja kutoka kwa wadau mbalimbali.
Ameonya dhidi ya tabia ya kushambuliana hadharani katika masuala ya imani, akieleza kuwa kiongozi wa dini anaposhambuliwa, waumini wake humtazama kama baba au kiongozi wa kiroho, jambo linaloweza kuchochea hasira na migawanyiko mikubwa katika jamii.
Ogopa tapeli la Esther Luxury coach.TEC wapuuzwe
Umeona TEC tu, nani alifungia makanisa ya Gwajima? Au ile sio imani ya watu? Mkiguswa kwenye ukweli inakua udini kizazi cha hayo kinaishia by the way. Beberu ndo anawatega kwa sababu mna uranium?TEC wapuuzwe
hivi aliyesema atawakata vichwa waandamanaji ni DINI gani vile?Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amewaonya Watanzania dhidi ya kuingia kwenye kile alichokitaja kuwa ni mtego wa migogoro ya kidini, akisisitiza kuwa migogoro inayogusa imani za watu haina mshindi na inaweza kulivuruga taifa zima endapo haitakwepwa mapema.
Akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam leo Desemba 29, 2025, wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa soko na kituo cha mabasi Bunju, Wilaya ya Kinondoni, Dkt. Nchemba amesema kuwa mataifa mengi yanayoendelea yamekuwa yakitegewa mitego katika vipindi vya uchaguzi kwa kuchochewa ukabila na udini, akieleza kuwa Tanzania imefanikiwa kuvuka mtego wa ukabila lakini sasa inakabiliwa na hatari ya mtego wa udini.
Amesema Tanzania imejengwa juu ya misingi ya kuvumiliana kidini, ambapo serikali haina dini na kila mwananchi ana uhuru wa kuabudu dini anayoamini bila vikwazo, hali iliyowezesha hata familia zenye waumini wa dini tofauti kuishi kwa amani.
“Ukigusa imani ya mtu, hapo hakuna mshindi. Ukishaingia kwenye mtego huu hauna kutoka,” amesema Dkt. Nchemba, akionya kuwa migogoro ya kidini ikianza huwakumba wote bila kujali nani alichochea au nani alikaa kimya.
Waziri Mkuu amewahimiza viongozi wa dini, viongozi wa siasa pamoja na wananchi wa kawaida kutumia njia sahihi za mazungumzo na ushauri pale wanapokuwa na hoja au malalamiko, akisisitiza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameweka wazi milango ya mazungumzo na yuko tayari kupokea mawazo, ushauri na hoja kutoka kwa wadau mbalimbali.
Ameonya dhidi ya tabia ya kushambuliana hadharani katika masuala ya imani, akieleza kuwa kiongozi wa dini anaposhambuliwa, waumini wake humtazama kama baba au kiongozi wa kiroho, jambo linaloweza kuchochea hasira na migawanyiko mikubwa katika jamii.
Drama zinaendelea,wakati wao ndio wapo nyuma ya hili.Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amewaonya Watanzania dhidi ya kuingia kwenye kile alichokitaja kuwa ni mtego wa migogoro ya kidini, akisisitiza kuwa migogoro inayogusa imani za watu haina mshindi na inaweza kulivuruga taifa zima endapo haitakwepwa mapema.
Akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam leo Desemba 29, 2025, wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa soko na kituo cha mabasi Bunju, Wilaya ya Kinondoni, Dkt. Nchemba amesema kuwa mataifa mengi yanayoendelea yamekuwa yakitegewa mitego katika vipindi vya uchaguzi kwa kuchochewa ukabila na udini, akieleza kuwa Tanzania imefanikiwa kuvuka mtego wa ukabila lakini sasa inakabiliwa na hatari ya mtego wa udini.
Amesema Tanzania imejengwa juu ya misingi ya kuvumiliana kidini, ambapo serikali haina dini na kila mwananchi ana uhuru wa kuabudu dini anayoamini bila vikwazo, hali iliyowezesha hata familia zenye waumini wa dini tofauti kuishi kwa amani.
“Ukigusa imani ya mtu, hapo hakuna mshindi. Ukishaingia kwenye mtego huu hauna kutoka,” amesema Dkt. Nchemba, akionya kuwa migogoro ya kidini ikianza huwakumba wote bila kujali nani alichochea au nani alikaa kimya.
Waziri Mkuu amewahimiza viongozi wa dini, viongozi wa siasa pamoja na wananchi wa kawaida kutumia njia sahihi za mazungumzo na ushauri pale wanapokuwa na hoja au malalamiko, akisisitiza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameweka wazi milango ya mazungumzo na yuko tayari kupokea mawazo, ushauri na hoja kutoka kwa wadau mbalimbali.
Ameonya dhidi ya tabia ya kushambuliana hadharani katika masuala ya imani, akieleza kuwa kiongozi wa dini anaposhambuliwa, waumini wake humtazama kama baba au kiongozi wa kiroho, jambo linaloweza kuchochea hasira na migawanyiko mikubwa katika jamii.
Hawa watu ni wajinga yule alimshitaki Kitima ndio anatumika na akina AbdulWaziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amewaonya Watanzania dhidi ya kuingia kwenye kile alichokitaja kuwa ni mtego wa migogoro ya kidini, akisisitiza kuwa migogoro inayogusa imani za watu haina mshindi na inaweza kulivuruga taifa zima endapo haitakwepwa mapema.
Akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam leo Desemba 29, 2025, wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa soko na kituo cha mabasi Bunju, Wilaya ya Kinondoni, Dkt. Nchemba amesema kuwa mataifa mengi yanayoendelea yamekuwa yakitegewa mitego katika vipindi vya uchaguzi kwa kuchochewa ukabila na udini, akieleza kuwa Tanzania imefanikiwa kuvuka mtego wa ukabila lakini sasa inakabiliwa na hatari ya mtego wa udini.
Amesema Tanzania imejengwa juu ya misingi ya kuvumiliana kidini, ambapo serikali haina dini na kila mwananchi ana uhuru wa kuabudu dini anayoamini bila vikwazo, hali iliyowezesha hata familia zenye waumini wa dini tofauti kuishi kwa amani.
“Ukigusa imani ya mtu, hapo hakuna mshindi. Ukishaingia kwenye mtego huu hauna kutoka,” amesema Dkt. Nchemba, akionya kuwa migogoro ya kidini ikianza huwakumba wote bila kujali nani alichochea au nani alikaa kimya.
Waziri Mkuu amewahimiza viongozi wa dini, viongozi wa siasa pamoja na wananchi wa kawaida kutumia njia sahihi za mazungumzo na ushauri pale wanapokuwa na hoja au malalamiko, akisisitiza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameweka wazi milango ya mazungumzo na yuko tayari kupokea mawazo, ushauri na hoja kutoka kwa wadau mbalimbali.
Ameonya dhidi ya tabia ya kushambuliana hadharani katika masuala ya imani, akieleza kuwa kiongozi wa dini anaposhambuliwa, waumini wake humtazama kama baba au kiongozi wa kiroho, jambo linaloweza kuchochea hasira na migawanyiko mikubwa katika jamii.
Kuna vitu ukizungumza ebu tafakari kwanza na ujue hoja ipi inastahili na hoja ipi haistahiliHilo la dini watatafuta mchawi mwingine tu wakati ni wao wenyewe.
Hivi Samia aliposimama na kuwasingle out TEC alikuwa anamaanisha nini....!!?
Hivi Mashehe walipodai watawachinja watu vichwa serikali ilikuwa wapi na ilifanya nini...!!?
Hivi Mashehe waliposema kula Ubwabwa na pilau ya Krismasi ni haramu na nani aliinua mdomo ....!!?
Kuna vitu ukizungumza ebu tafakari kwanza na ujue hoja ipi inastahili na hoja ipi haistahili
Unapozungumzia maswala ya kula chakula cha krismass hiyo ni kiimani zaidi,huwezi kuiweka kuwa hoja ya kujadili hapa,mfano nikisema Yesu sio mungu,je utasema nimeongelea udini hapa?
Hao inaosemekana MASHEIK sio bali wahuni fulani hata watu picha zao walizirusha sana mtandaoni,kwahiyo sio kila mtu akivaa kanzu akaita media basi ni sheikh..
Kuna taasisi za kiislamu zinajulikana,hizo zikisema kweli hapo unaweza ukahoji na kutumia kama reference
Tatizo Gwajiboy haeleweki ni maji Moto au baridi? Mara aongee siasa kanisani. Hakuna kipindi aliitumia vizuri nyumba Yake ya Ibada wakati wa vita Yake na makondaUmeona TEC tu, nani alifungia makanisa ya Gwajima? Au ile sio imani ya watu? Mkiguswa kwenye ukweli inakua udini kizazi cha hayo kinaishia by the way. Beberu ndo anawatega kwa sababu mna uranium?