Mwigulu Urais 2025 ameanza kujipanga leo, Tozo zimeshusha umarufu mdogo wa Samia kwa kiasi kikubwa

Nyumbu Chaggadomo naona unamkabidhi akili zako macho kumchuzi kengeza Mbowe. Takataka
Haya ndo majibu kuhusu tozo kwa watz au?

Vijana wa CCM : Lipeni kodi tujenge shule, tujenge barabara

Rais Samia: Wananchi nimesikia kilio chenu

Vijana wa CCM : Mama ni msikivu sana
JamiiForums-1797793390.jpg
 
Nilikuwa namsikiliza anayejiita Dr (Phd) Mwigulu Nchemba Waziri wa Fedha na Mipango akihojiwa na ITV kipindi cha Kipima Joto.

Nilichosikitika sana...
  • Nasikia Alipata First Class ya Degree yake ya kwanza ya Uchumi na anayo PhD!
  • Amesema Burundi na Zambia wana population ndogo sana kuliko sisi na ndio sababu bei yao ya
mafuta ni ndogo kulinganisha ni yetu kwasababu Supply ni kubwa demand!!

Nimejiuliza hivi Huyu Msomi ni wa vyeti tu kufaulu Darasani lakini kwenye siasa wameibeba akili yake na kuiweka pembeni wakamuacha utupu?

Kwa reasoning yake Akili hiyo basi China lita ya Petrol itakuwa ni laki moja kwasababu ya population kubwa sana!! Hii sio akili ya Mchumi kabisa!!

- Anasema tozo lililowekwa ni dogo sana na anashangaa watu kulalamika wakati wanahitaji Shule na madawa Hospitali!

Huyu Jamaa Madaraka na pesa zimemfanya awe tofauti sana na maisha ya kitaa haelewi lolote kabisa!
Daah! Yaani nimefika point hadi nimechoka kumsikiliza na kujawa hasira tu!
Ameshindwa kabisa kujenga hoja ya kueleweka kutetea tozo yake!
Aliyekuwa anamhoji alikuwa anamsukumia vigongo vya maana lakini Dr wa Uchumi ameboa big time!

Mwandishi anamuhoji ni kwanini Serikali isionyeshe mfano kwa kubana matumizi hata kwenye ununuzi wa mavite na misafara mirefu ya Viongozi ili pesa itumike kwenye kupunguza makali ya tozo??!
Mwigulu anajibu kuwa misafara ya Viongozi zaidi ya robo tatu kwenye hiyo misafara wanatumia Magari yao na sio ya Serikali!

Aiisee kwahiyo zile STL zaidi ya 100 ni namba tu sio za Serika[Tunaamini sasa hata zile zenye namba za ajabu ajabu ni zawatu wasio julikana.]li?

Yaani hadi Mwandishi amecheka na kumuacha tu!!

Yaani yule Mwandishi Midley alionekana yeye ndio PhD!! Midley alisunya kimoyo moyo, na Mwigulu, Ndalichako, Bi-tukinao/Doro Gwaji wao ni wanafiki waliopitiliza na so far ndio wamemuharibia MAMA Sammy Kwa kiasi kikubwa na hata ikiitishwa open poll , Samia kashuka umarufu kidogo aliokuwa nao, ameshuka drastically within a very short time.

Wanasahau walikotoka, Mwigulu O Level Ilboru toka amefika form one hajawahi kurudi kwao likizo zote anabaki shule kwa sababu hakuwa na uwezo wa nauli, leo kafika hapo anasahau kuwa kuna wazazi wanatafuta 10,000 mwezi mzima wawatumie watoto wao shuleni lakini kwa zile tozo wanaumizwa.

Kuna watu mwisho wao huwa mbaya sana.
Wananchi: tozo ni kubwa, tozo ni kubwa

Mama amepyaya vibaya ndani ya muda mfupi.
 
Leo nafuatilia kwa makini nini kitatangazwa bada ya kikao Cha mabeberu wa mama
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mambumbu ya ccm bhana
Ona kama hili sasa kubwa jinga.

Vijana wa CCM : Lipeni kodi tujenge shule, tujenge barabara

Rais Samia: Wananchi nimesikia kilio chenu

Vijana wa CCM : Mama ni msikivu sanaView attachment 1860426
Myahudi mwarabu El ohinu ,uliiona ile picha yako aliyoitoa IDUGUNDE...?!!

Baada ya pale jana ,sikukuona tena UKIMJIBU....🤣🤣
 
Mwigulu ana hulka ya udikteta. Anapenda sana kutumia nguvu kusupport hoja. Ni muumini wa nguvu ya hoja. Yaani Magufuli ni cha mtoto...
Kweli mkuu ,anasema ni lazma watz tufuate sheria,ila hizi awamu mbili zinadharau wasomi sana wanakaa watu wachache bila kushirikisha hata wadau wa elimu wafanye testing na review wao wanaimplement tuu bila kujali kwamba athari zitakuaje hichi walichokifanya kinadhalilisha hili taifa ,majaliwa vaa viatu vyako huyo mwigulu anatuharibia nchi kwakua yeye ni overconfidence
 
Myahudi mwarabu El ohinu ,uliiona ile picha yako aliyoitoa IDUGUNDE...?!!

Baada ya pale jana ,sikukuona tena UKIMJIBU....[emoji1787][emoji1787]
Hiyo picha siijui wala sjaiona maana najua ni pumba tu

Je hiyo picha unayosema ina uhusiano gani na tozo za kjambazi kwa watanzania ?

Vijana wa CCM : Lipeni kodi tujenge shule, tujenge barabara

Rais Samia: Wananchi nimesikia kilio chenu

Vijana wa CCM : Mama ni msikivu sana
JamiiForums-1797793390.jpg
 
Kengezaaaaaa Mbowe [emoji1787][emoji1787]

View attachment 1860429
Kumbe mbowe ndo kaleta tozo au ukimsema mbowe ndo suluhisho la tozo?

Au mbowe ana uhusiano gn na majibu ya mwigulu?
Vijana wa CCM : Lipeni kodi tujenge shule, tujenge barabara

Rais Samia: Wananchi nimesikia kilio chenu

Vijana wa CCM : Mama ni msikivu sana
JamiiForums-1797793390.jpg
 
Nilikuwa namsikiliza anayejiita Dr (Phd) Mwigulu Nchemba Waziri wa Fedha na Mipango akihojiwa na ITV kipindi cha Kipima Joto.

Nilichosikitika sana...
  • Nasikia Alipata First Class ya Degree yake ya kwanza ya Uchumi na anayo PhD!
  • Amesema Burundi na Zambia wana population ndogo sana kuliko sisi na ndio sababu bei yao ya
mafuta ni ndogo kulinganisha ni yetu kwasababu Supply ni kubwa demand!!

Nimejiuliza hivi Huyu Msomi ni wa vyeti tu kufaulu Darasani lakini kwenye siasa wameibeba akili yake na kuiweka pembeni wakamuacha utupu?

Kwa reasoning yake Akili hiyo basi China lita ya Petrol itakuwa ni laki moja kwasababu ya population kubwa sana!! Hii sio akili ya Mchumi kabisa!!

- Anasema tozo lililowekwa ni dogo sana na anashangaa watu kulalamika wakati wanahitaji Shule na madawa Hospitali!

Huyu Jamaa Madaraka na pesa zimemfanya awe tofauti sana na maisha ya kitaa haelewi lolote kabisa!
Daah! Yaani nimefika point hadi nimechoka kumsikiliza na kujawa hasira tu!
Ameshindwa kabisa kujenga hoja ya kueleweka kutetea tozo yake!
Aliyekuwa anamhoji alikuwa anamsukumia vigongo vya maana lakini Dr wa Uchumi ameboa big time!

Mwandishi anamuhoji ni kwanini Serikali isionyeshe mfano kwa kubana matumizi hata kwenye ununuzi wa mavite na misafara mirefu ya Viongozi ili pesa itumike kwenye kupunguza makali ya tozo??!
Mwigulu anajibu kuwa misafara ya Viongozi zaidi ya robo tatu kwenye hiyo misafara wanatumia Magari yao na sio ya Serikali!

Aiisee kwahiyo zile STL zaidi ya 100 ni namba tu sio za Serika[Tunaamini sasa hata zile zenye namba za ajabu ajabu ni zawatu wasio julikana.]li?

Yaani hadi Mwandishi amecheka na kumuacha tu!!

Yaani yule Mwandishi Midley alionekana yeye ndio PhD!! Midley alisunya kimoyo moyo, na Mwigulu, Ndalichako, Bi-tukinao/Doro Gwaji wao ni wanafiki waliopitiliza na so far ndio wamemuharibia MAMA Sammy Kwa kiasi kikubwa na hata ikiitishwa open poll , Samia kashuka umarufu kidogo aliokuwa nao, ameshuka drastically within a very short time.

Wanasahau walikotoka, Mwigulu O Level Ilboru toka amefika form one hajawahi kurudi kwao likizo zote anabaki shule kwa sababu hakuwa na uwezo wa nauli, leo kafika hapo anasahau kuwa kuna wazazi wanatafuta 10,000 mwezi mzima wawatumie watoto wao shuleni lakini kwa zile tozo wanaumizwa.

Kuna watu mwisho wao huwa mbaya sana.
Wananchi: tozo ni kubwa, tozo ni kubwa

Vijana wa CCM : Lipeni kodi tujenge shule, tujenge barabara

Rais Samia: Wananchi nimesikia kilio chenu

Vijana wa CCM : Mama ni msikivu sana
Nilikuwa namsikiliza lakini kwa aibu ilinibidi ni_switch channel nyingine faster nikakamata movie moja matata ya Bruce Willis a.k.a Grandpa, nikasahu hiyo aibu.
 
Kumbe mbowe ndo kaleta tozo au ukimsema mbowe ndo suluhisho la tozo?

Au mbowe ana uhusiano gn na majibu ya mwigulu?
Vijana wa CCM : Lipeni kodi tujenge shule, tujenge barabara

Rais Samia: Wananchi nimesikia kilio chenu

Vijana wa CCM : Mama ni msikivu sanaView attachment 1860434
KENGEZA MACHO KU MCHUZI MBOWEE🤣🤣🤣🤣🤣

images (1).jpeg
 
Moja ya mambo mabaya na ya ovyo mno katika maisha ni kukosa aibu. Sina imani na waziri
 
KENGEZA MACHO KU MCHUZI MBOWEE[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

View attachment 1860435
Yan majitu ya ccm aisee [emoji848]
Eti ww nae upo unateteA serikali ya ccm na unalipwa aaahaaah khaa

Chanzo cha tozo ni mbowe eti eeeh.

Vijana wa CCM : Lipeni kodi tujenge shule, tujenge barabara

Rais Samia: Wananchi nimesikia kilio chenu

Vijana wa CCM : Mama ni msikivu sana
FB_IMG_16258143606673406.jpg
 
Nilikuwa namsikiliza lakini kwa aibu ilinibidi ni_switch channel nyingine faster nikakamata movie moja matata ya Bruce Willis a.k.a Grandpa, nikasahu hiyo aibu.
Sasa tunaogopa hata watoto wetu kusoma uchumi, mtu anakuwa mwongo kuliko "ibilisi"
 
Yan majitu ya ccm aisee [emoji848]
Eti ww nae upo unateteA serikali ya ccm na unalipwa aaahaaah khaa

Chanzo cha tozo ni mbowe eti eeeh.

Vijana wa CCM : Lipeni kodi tujenge shule, tujenge barabara

Rais Samia: Wananchi nimesikia kilio chenu

Vijana wa CCM : Mama ni msikivu sanaView attachment 1860437
MATAGA bila kumtaja MBOWE hawawezi maisha.
 
Hiyo picha siijui wala sjaiona maana najua ni pumba tu

Je hiyo picha unayosema ina uhusiano gani na tozo za kjambazi kwa watanzania ?

Vijana wa CCM : Lipeni kodi tujenge shule, tujenge barabara

Rais Samia: Wananchi nimesikia kilio chenu

Vijana wa CCM : Mama ni msikivu sanaView attachment 1860433
🤣🤣
 
Yan majitu ya ccm aisee [emoji848]
Eti ww nae upo unateteA serikali ya ccm na unalipwa aaahaaah khaa

Chanzo cha tozo ni mbowe eti eeeh.

Vijana wa CCM : Lipeni kodi tujenge shule, tujenge barabara

Rais Samia: Wananchi nimesikia kilio chenu

Vijana wa CCM : Mama ni msikivu sanaView attachment 1860437
MACHO KU MCHUZI.

MAKENGEZA MBOWE 🤣🤣🤣

images (1).jpeg
 
Back
Top Bottom