Mwigulu Urais 2025 ameanza kujipanga leo, Tozo zimeshusha umarufu mdogo wa Samia kwa kiasi kikubwa

Mwigulu Urais 2025 ameanza kujipanga leo, Tozo zimeshusha umarufu mdogo wa Samia kwa kiasi kikubwa

2025 atamtoa nani kafara?
Manake kaka keshamzika?!!


Ulingoni miaka 15 hata zahanati ya maana i kwao hamna
 
Mwigulu atakuwa dictator kuliko Magufuli jinsi tu juzi na Farhia middle alikuwa anajibu kiujeuri na dharau,huyu aishie tu uwaziri, U Rais sio wa majaribio
 
Unapima upepo. Kama unautaka uraisi kwa kukamia Sana hautopata kabisa. Nadhani history inajiongelea
 
ongea na wananchi wa kawaida, SSH hana umaarufu tena, angalia watu wanarudia maneno ya mwendazake aliposema "MTanikumbuka"

SSH ashachemka mpira haujafika hata half time, kapanga timu mbovu kuwahi kutokea, wewe kocha unapanga mshambuliaji anayetaka kuwa kocha kwenye timu hiyo hiyo unategemea nini?
MADELU anataka urais, wewe unampanga, unategema akuachie uendelee kukubalika?
Hapo umegusa penyewe yaani lazima striker awe anapiga nje tu ili kocha utimuliwe achukue mikoba kibabe
 
Huyo ni dikteta nani ampe udereva labda wa singida united
 
Nilikuwa namsikiliza anayejiita Dr (Phd) Mwigulu Nchemba Waziri wa Fedha na Mipango akihojiwa na ITV kipindi cha Kipima Joto.

Nilichosikitika sana...
  • Nasikia Alipata First Class ya Degree yake ya kwanza ya Uchumi na anayo PhD!
  • Amesema Burundi na Zambia wana population ndogo sana kuliko sisi na ndio sababu bei yao ya
mafuta ni ndogo kulinganisha ni yetu kwasababu Supply ni kubwa demand!!

Nimejiuliza hivi Huyu Msomi ni wa vyeti tu kufaulu Darasani lakini kwenye siasa wameibeba akili yake na kuiweka pembeni wakamuacha utupu?

Kwa reasoning yake Akili hiyo basi China lita ya Petrol itakuwa ni laki moja kwasababu ya population kubwa sana!! Hii sio akili ya Mchumi kabisa!!

- Anasema tozo lililowekwa ni dogo sana na anashangaa watu kulalamika wakati wanahitaji Shule na madawa Hospitali!

Huyu Jamaa Madaraka na pesa zimemfanya awe tofauti sana na maisha ya kitaa haelewi lolote kabisa!
Daah! Yaani nimefika point hadi nimechoka kumsikiliza na kujawa hasira tu!
Ameshindwa kabisa kujenga hoja ya kueleweka kutetea tozo yake!
Aliyekuwa anamhoji alikuwa anamsukumia vigongo vya maana lakini Dr wa Uchumi ameboa big time!


Mwandishi anamuhoji ni kwanini Serikali isionyeshe mfano kwa kubana matumizi hata kwenye ununuzi wa mavite na misafara mirefu ya Viongozi ili pesa itumike kwenye kupunguza makali ya tozo??!
Mwigulu anajibu kuwa misafara ya Viongozi zaidi ya robo tatu kwenye hiyo misafara wanatumia Magari yao na sio ya Serikali!

Aiisee kwahiyo zile STL zaidi ya 100 ni namba tu sio za Serika[Tunaamini sasa hata zile zenye namba za ajabu ajabu ni zawatu wasio julikana.]li?

Yaani hadi Mwandishi amecheka na kumuacha tu!!

Yaani yule Mwandishi Midley alionekana yeye ndio PhD!! Midley alisunya kimoyo moyo, na Mwigulu, Ndalichako, Bi-tukinao/Doro Gwaji wao ni wanafiki waliopitiliza na so far ndio wamemuharibia MAMA Sammy Kwa kiasi kikubwa na hata ikiitishwa open poll , Samia kashuka umarufu kidogo aliokuwa nao, ameshuka drastically within a very short time.

Wanasahau walikotoka, Mwigulu O Level Ilboru toka amefika form one hajawahi kurudi kwao likizo zote anabaki shule kwa sababu hakuwa na uwezo wa nauli, leo kafika hapo anasahau kuwa kuna wazazi wanatafuta 10,000 mwezi mzima wawatumie watoto wao shuleni lakini kwa zile tozo wanaumizwa.

Kuna watu mwisho wao huwa mbaya sana.
Wananchi: tozo ni kubwa, tozo ni kubwa

Vijana wa CCM : Lipeni kodi tujenge shule, tujenge barabara

Rais Samia: Wananchi nimesikia kilio chenu

Vijana wa CCM : Mama ni msikivu sana
Sukuma gang linajiandaa URAIS 2025

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom