Ndivyo walivyojengwa tangu UVCCM ya Lukuvi hadi ya Nchimbi.Mwigulu ana hulka ya udikteta. Anapenda sana kutumia nguvu kusupport hoja. Ni muumini wa nguvu ya hoja. Yaani Magufuli ni cha mtoto...
Haya ndo majibu kuhusu tozo kwa watz au?Nyumbu Chaggadomo naona unamkabidhi akili zako macho kumchuzi kengeza Mbowe. Takataka
Mama amepyaya vibaya ndani ya muda mfupi.Nilikuwa namsikiliza anayejiita Dr (Phd) Mwigulu Nchemba Waziri wa Fedha na Mipango akihojiwa na ITV kipindi cha Kipima Joto.
Nilichosikitika sana...
mafuta ni ndogo kulinganisha ni yetu kwasababu Supply ni kubwa demand!!
- Nasikia Alipata First Class ya Degree yake ya kwanza ya Uchumi na anayo PhD!
- Amesema Burundi na Zambia wana population ndogo sana kuliko sisi na ndio sababu bei yao ya
Nimejiuliza hivi Huyu Msomi ni wa vyeti tu kufaulu Darasani lakini kwenye siasa wameibeba akili yake na kuiweka pembeni wakamuacha utupu?
Kwa reasoning yake Akili hiyo basi China lita ya Petrol itakuwa ni laki moja kwasababu ya population kubwa sana!! Hii sio akili ya Mchumi kabisa!!
- Anasema tozo lililowekwa ni dogo sana na anashangaa watu kulalamika wakati wanahitaji Shule na madawa Hospitali!
Huyu Jamaa Madaraka na pesa zimemfanya awe tofauti sana na maisha ya kitaa haelewi lolote kabisa!
Daah! Yaani nimefika point hadi nimechoka kumsikiliza na kujawa hasira tu!
Ameshindwa kabisa kujenga hoja ya kueleweka kutetea tozo yake!
Aliyekuwa anamhoji alikuwa anamsukumia vigongo vya maana lakini Dr wa Uchumi ameboa big time!
Mwandishi anamuhoji ni kwanini Serikali isionyeshe mfano kwa kubana matumizi hata kwenye ununuzi wa mavite na misafara mirefu ya Viongozi ili pesa itumike kwenye kupunguza makali ya tozo??!
Mwigulu anajibu kuwa misafara ya Viongozi zaidi ya robo tatu kwenye hiyo misafara wanatumia Magari yao na sio ya Serikali!
Aiisee kwahiyo zile STL zaidi ya 100 ni namba tu sio za Serika[Tunaamini sasa hata zile zenye namba za ajabu ajabu ni zawatu wasio julikana.]li?
Yaani hadi Mwandishi amecheka na kumuacha tu!!
Yaani yule Mwandishi Midley alionekana yeye ndio PhD!! Midley alisunya kimoyo moyo, na Mwigulu, Ndalichako, Bi-tukinao/Doro Gwaji wao ni wanafiki waliopitiliza na so far ndio wamemuharibia MAMA Sammy Kwa kiasi kikubwa na hata ikiitishwa open poll , Samia kashuka umarufu kidogo aliokuwa nao, ameshuka drastically within a very short time.
Wanasahau walikotoka, Mwigulu O Level Ilboru toka amefika form one hajawahi kurudi kwao likizo zote anabaki shule kwa sababu hakuwa na uwezo wa nauli, leo kafika hapo anasahau kuwa kuna wazazi wanatafuta 10,000 mwezi mzima wawatumie watoto wao shuleni lakini kwa zile tozo wanaumizwa.
Kuna watu mwisho wao huwa mbaya sana.
Wananchi: tozo ni kubwa, tozo ni kubwa
Vijana wa CCM : Lipeni kodi tujenge shule, tujenge barabara
Rais Samia: Wananchi nimesikia kilio chenu
Vijana wa CCM : Mama ni msikivu sana
Myahudi mwarabu El ohinu ,uliiona ile picha yako aliyoitoa IDUGUNDE...?!![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mambumbu ya ccm bhana
Ona kama hili sasa kubwa jinga.
Vijana wa CCM : Lipeni kodi tujenge shule, tujenge barabara
Rais Samia: Wananchi nimesikia kilio chenu
Vijana wa CCM : Mama ni msikivu sanaView attachment 1860426
tumuombee tu aisee, inatia huruma, akifeli hata viti maalum navyo viondolewe tu, hatuwezi kujaza gharama kubwa wakati hakuna return.Mama amepyaya vibaya ndani ya muda mfupi.
Kweli mkuu ,anasema ni lazma watz tufuate sheria,ila hizi awamu mbili zinadharau wasomi sana wanakaa watu wachache bila kushirikisha hata wadau wa elimu wafanye testing na review wao wanaimplement tuu bila kujali kwamba athari zitakuaje hichi walichokifanya kinadhalilisha hili taifa ,majaliwa vaa viatu vyako huyo mwigulu anatuharibia nchi kwakua yeye ni overconfidenceMwigulu ana hulka ya udikteta. Anapenda sana kutumia nguvu kusupport hoja. Ni muumini wa nguvu ya hoja. Yaani Magufuli ni cha mtoto...
Kengezaaaaaa Mbowe 🤣🤣Haya ndo majibu kuhusu tozo kwa watz au?
Vijana wa CCM : Lipeni kodi tujenge shule, tujenge barabara
Rais Samia: Wananchi nimesikia kilio chenu
Vijana wa CCM : Mama ni msikivu sanaView attachment 1860428
Hiyo picha siijui wala sjaiona maana najua ni pumba tuMyahudi mwarabu El ohinu ,uliiona ile picha yako aliyoitoa IDUGUNDE...?!!
Baada ya pale jana ,sikukuona tena UKIMJIBU....[emoji1787][emoji1787]
Kumbe mbowe ndo kaleta tozo au ukimsema mbowe ndo suluhisho la tozo?
Nilikuwa namsikiliza lakini kwa aibu ilinibidi ni_switch channel nyingine faster nikakamata movie moja matata ya Bruce Willis a.k.a Grandpa, nikasahu hiyo aibu.Nilikuwa namsikiliza anayejiita Dr (Phd) Mwigulu Nchemba Waziri wa Fedha na Mipango akihojiwa na ITV kipindi cha Kipima Joto.
Nilichosikitika sana...
mafuta ni ndogo kulinganisha ni yetu kwasababu Supply ni kubwa demand!!
- Nasikia Alipata First Class ya Degree yake ya kwanza ya Uchumi na anayo PhD!
- Amesema Burundi na Zambia wana population ndogo sana kuliko sisi na ndio sababu bei yao ya
Nimejiuliza hivi Huyu Msomi ni wa vyeti tu kufaulu Darasani lakini kwenye siasa wameibeba akili yake na kuiweka pembeni wakamuacha utupu?
Kwa reasoning yake Akili hiyo basi China lita ya Petrol itakuwa ni laki moja kwasababu ya population kubwa sana!! Hii sio akili ya Mchumi kabisa!!
- Anasema tozo lililowekwa ni dogo sana na anashangaa watu kulalamika wakati wanahitaji Shule na madawa Hospitali!
Huyu Jamaa Madaraka na pesa zimemfanya awe tofauti sana na maisha ya kitaa haelewi lolote kabisa!
Daah! Yaani nimefika point hadi nimechoka kumsikiliza na kujawa hasira tu!
Ameshindwa kabisa kujenga hoja ya kueleweka kutetea tozo yake!
Aliyekuwa anamhoji alikuwa anamsukumia vigongo vya maana lakini Dr wa Uchumi ameboa big time!
Mwandishi anamuhoji ni kwanini Serikali isionyeshe mfano kwa kubana matumizi hata kwenye ununuzi wa mavite na misafara mirefu ya Viongozi ili pesa itumike kwenye kupunguza makali ya tozo??!
Mwigulu anajibu kuwa misafara ya Viongozi zaidi ya robo tatu kwenye hiyo misafara wanatumia Magari yao na sio ya Serikali!
Aiisee kwahiyo zile STL zaidi ya 100 ni namba tu sio za Serika[Tunaamini sasa hata zile zenye namba za ajabu ajabu ni zawatu wasio julikana.]li?
Yaani hadi Mwandishi amecheka na kumuacha tu!!
Yaani yule Mwandishi Midley alionekana yeye ndio PhD!! Midley alisunya kimoyo moyo, na Mwigulu, Ndalichako, Bi-tukinao/Doro Gwaji wao ni wanafiki waliopitiliza na so far ndio wamemuharibia MAMA Sammy Kwa kiasi kikubwa na hata ikiitishwa open poll , Samia kashuka umarufu kidogo aliokuwa nao, ameshuka drastically within a very short time.
Wanasahau walikotoka, Mwigulu O Level Ilboru toka amefika form one hajawahi kurudi kwao likizo zote anabaki shule kwa sababu hakuwa na uwezo wa nauli, leo kafika hapo anasahau kuwa kuna wazazi wanatafuta 10,000 mwezi mzima wawatumie watoto wao shuleni lakini kwa zile tozo wanaumizwa.
Kuna watu mwisho wao huwa mbaya sana.
Wananchi: tozo ni kubwa, tozo ni kubwa
Vijana wa CCM : Lipeni kodi tujenge shule, tujenge barabara
Rais Samia: Wananchi nimesikia kilio chenu
Vijana wa CCM : Mama ni msikivu sana
KENGEZA MACHO KU MCHUZI MBOWEE🤣🤣🤣🤣🤣Kumbe mbowe ndo kaleta tozo au ukimsema mbowe ndo suluhisho la tozo?
Au mbowe ana uhusiano gn na majibu ya mwigulu?
Vijana wa CCM : Lipeni kodi tujenge shule, tujenge barabara
Rais Samia: Wananchi nimesikia kilio chenu
Vijana wa CCM : Mama ni msikivu sanaView attachment 1860434
Mbavu zangu utalipa [emoji23][emoji23][emoji23]Mwigulu mbona ni Rais kitambo tu!! Kaanza kutawala majabali tangu 2015!!
Yan majitu ya ccm aisee [emoji848]KENGEZA MACHO KU MCHUZI MBOWEE[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1860435
Sasa tunaogopa hata watoto wetu kusoma uchumi, mtu anakuwa mwongo kuliko "ibilisi"Nilikuwa namsikiliza lakini kwa aibu ilinibidi ni_switch channel nyingine faster nikakamata movie moja matata ya Bruce Willis a.k.a Grandpa, nikasahu hiyo aibu.
MATAGA bila kumtaja MBOWE hawawezi maisha.Yan majitu ya ccm aisee [emoji848]
Eti ww nae upo unateteA serikali ya ccm na unalipwa aaahaaah khaa
Chanzo cha tozo ni mbowe eti eeeh.
Vijana wa CCM : Lipeni kodi tujenge shule, tujenge barabara
Rais Samia: Wananchi nimesikia kilio chenu
Vijana wa CCM : Mama ni msikivu sanaView attachment 1860437
🤣🤣Hiyo picha siijui wala sjaiona maana najua ni pumba tu
Je hiyo picha unayosema ina uhusiano gani na tozo za kjambazi kwa watanzania ?
Vijana wa CCM : Lipeni kodi tujenge shule, tujenge barabara
Rais Samia: Wananchi nimesikia kilio chenu
Vijana wa CCM : Mama ni msikivu sanaView attachment 1860433
MACHO KU MCHUZI.Yan majitu ya ccm aisee [emoji848]