Mwigulu Urais 2025 ameanza kujipanga leo, Tozo zimeshusha umarufu mdogo wa Samia kwa kiasi kikubwa

Mwigulu is the most unpopular politician/Minister right now, sitashangaa akitumbuliwa.

Bila serikali kubana matumizi yao, hatutaweza kufanikiwa

Zile think tank za kutafuta vyanzo vya mapato nazo bure kabisa, kwa kweli mama samia hana watu wakumsaidia
 
Sio Mwigulu tu hata akina Lukuvi wanajinasua kutoka maangalizo ya JPM!
 
Hizi ndiyo hazina za CCM
Fisadi papa mama la vijisent name nawewe umeanza kupinga ,kama tulivyo sema ni swala la muda tu heshima ya magufuli itang'aa kama jua hapo ndiyo utakuwa mwisho wa wanafiki katika nchi hii ,na wote waliopata madaraka kwa kufurahia kifo cha magu
 
Tatizo la Watanganyika, mnalalamika tu, hakuna solution, wanaokuja na solution kudai katiba mnawapinga alafu hauonyeshi mbadala,
tufanyeje tutoke hapo?
unamiliki bando na smart phone alafu unauliza maswali ya ushirombo?
Wewe unauliza maswali ya MACHAME au TENGERU ?

 
nimecheka sana
Wao kwawao wanabishana
 
1. Ni msomi Mchumi
2. Ana uzoefu kwenye Uongozi
3. Anakifahamu Chama vizuri na anakipenda.
4. Mzalendo aliyetopea
5. Ana watu wengi nyuma yake
6. Anajiamini sana katika maamuzi yake.

Nashauri anapomaliza muda wake mwaka 2025 Rais Samia amwachie Kijana Mwigulu Nchemba. Rais Samia nadhani utakuwa wakati mzuri kupumzika.
 
Umekunywa konyagi
 
Mavi tupu
 

so far hakuna mbunge wa ccm mwenye asili ya singida anayeonyesha kuwa na akili timamu. singida wapo watatu na ni kabila moja, wanyiramba.....ukiwafuatilia unaishia kukung'uta kichwa tu....
 
Sawa we nenda nae
Mimi nimetafakari nimeona niende mwenyewe tu!
 
Huwezi kumchafua aliyechafuka, utachafuka wewe. Mwigul HAFAI kwa lolote:
1. PhD yake fake
2. Ni muuaji, ameshiriki sana mikakati ya kuua wapinzani
3. Hana rekodi yeyote ya kufanya vizuri
4. Hana kauli safi kwa wananchi
 
Tatizo la mwigulu ni mzee wa michakato na upembuzi yakinifu...hafai
Hussein mwinyi anatoaha!
 
Labda rais wa wasafi. Au aende akagombee urais burundi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…