Mwigulu Urais 2025 ameanza kujipanga leo, Tozo zimeshusha umarufu mdogo wa Samia kwa kiasi kikubwa

Kumbe hata ndani ya chama huyu mama yenu hakubaliki?
 
2025 atamtoa nani kafara?
Manake kaka keshamzika?!!


Ulingoni miaka 15 hata zahanati ya maana i kwao hamna
 
Mwigulu atakuwa dictator kuliko Magufuli jinsi tu juzi na Farhia middle alikuwa anajibu kiujeuri na dharau,huyu aishie tu uwaziri, U Rais sio wa majaribio
 
Unapima upepo. Kama unautaka uraisi kwa kukamia Sana hautopata kabisa. Nadhani history inajiongelea
 
Hapo umegusa penyewe yaani lazima striker awe anapiga nje tu ili kocha utimuliwe achukue mikoba kibabe
 
Huyo ni dikteta nani ampe udereva labda wa singida united
 
Sukuma gang linajiandaa URAIS 2025

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…