PostGE2025 Mwigulu: Wanaharakati wanalipwa kuchochea vurugu. Juzi kuna kijana amepewa bilioni 5

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba , ametangaza madai mazito akieleza kuwa kuna baadhi ya wanaharakati wanaolipwa ili kuchochea vurugu na kuzusha taharuki katika maeneo mbalimbali nchini.

Akihutubia leo Jumapili, Novemba 30, 2025, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Arusha, eneo la Katiti, Dkt. Mwigulu alisema Serikali imekuwa ikifuatilia kwa karibu mienendo ya makundi yanayodaiwa kuendesha

Na mmeshindwa kumkamata huyo kijana.
Hizo billion 5 kwanini hawakupewa ccm ili washawishi vijana waachane na madai yao kwao?
 
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba , ametangaza madai mazito akieleza kuwa kuna baadhi ya wanaharakati wanaolipwa ili kuchochea vurugu na kuzusha taharuki katika maeneo mbalimbali nchini.

Akihutubia leo Jumapili, Novemba 30, 2025, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Arusha, eneo la Katiti, Dkt. Mwigulu alisema Serikali imekuwa ikifuatilia kwa karibu mienendo ya makundi yanayodaiwa kuendesha

Rubbish!
Malalam8ko ya watanzaania particularly WaTanganyika yanajulikana.
Katiba
Tumehuri ya uchaguzi
Kuteka watu
Kuua watu
Wizi wa mali ya umma
Ounevu wa polisi kwa raia
Etc
Etc
Etc
Leo unaleta talalila ya kununuliwa na hela eti 5b.
 
Ujinga mtupu, yote hayo kuwatetea hawa
IMG_2351.jpeg
 
Huyo Mwigulu anaongea kama nani?

Na kama watu wanalipwa kuchochea vurugu kwanini na wao wasiwalipe vijana bilioni 5 kutochochea vurugu?

Na watueleze wafyatua risasi hadi majumbani kwa watu nani aliwalipa.
 
Back
Top Bottom