Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba , ametangaza madai mazito akieleza kuwa kuna baadhi ya wanaharakati wanaolipwa ili kuchochea vurugu na kuzusha taharuki katika maeneo mbalimbali nchini.
Akihutubia leo Jumapili, Novemba 30, 2025, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Arusha, eneo la Katiti, Dkt. Mwigulu alisema Serikali imekuwa ikifuatilia kwa karibu mienendo ya makundi yanayodaiwa kuendesha
Uzuri watanzania wa kizazi hiki wana uwezo mkubwa wa ku-reason;
1. Fujo hazitokani na watu kulipwa kuzisababisha, kukosa uwajinikaji, kujilimbikizia mali, kutapanya mali za umma si jambo linalotaka hadi kupata msukumo mtu kulipwa na kuwa influenve wengine, its something which pain na hayo mavurugu ndio ndio matokeo ya maumivu ambayo wananchi wanayapata kwa kuona watawala wamekosa uwajibikaji na badala yake wanajilimbikizia mali.
2. Kusema kwamba mataifa ya Ulaya na America yanaionea gere amani yetu ni mawazo na hoja mufirisi maana amani ikitoweka hata wao hawatoweza kuingia kwa utulivu nchini kwa sababu ya impact zinazisababishwa na uvunjifu huo wa amani. Kwa hiyo bi kuwahadaa wananchi kwa jambo ambalo watawala wanatamvua bayana kwamba sio kweli.
3. Madai makubwa ni katiba Mpya, miili ya ndugu wa wananchi ambao wamepotea pasipo kujua wameuliwa au lah, marejeo ya uchaguzi ambao kwa kina uligubikwa na sintofahamu.
4. Kurejeshwa kwa wananchi waliotekwa ambao hawajulikana walipo, wanaoshikiliwa na polisi au magereza, majumba ya vificho ya mateso etc, mambo haya hayawahusu wazungu nahivyo kusema wanalipa mabilions ni jambo ambalo linatamkwa na watawala kwa kuwahadaa wananchi ambao wamechoka ngojera za watawala ambao kwa kina ni wafaidika uonevu wowote unaofanywa na baadhi za taasisi za kiusalama zenye lengo la kuwalinda watawala kwa manufaa chanya kwako.
Mwingulu na watawala wengine, respond to matakwa ya wanachi; 1. Katiba Mpya, 2. Marejeo ya uchaguzi uliogubikwa na sintofahanu kwa 100%. 3. Miili ya marehemu waliouawa wakati wa vurugu ambazo watawala mkishindwa kuziepuka kwa kutekeleza matakwa ya awali.
4. Kurejeshwa kwa mateka wote 100+ wakiwa hai au wamekufa hata kwa kuonesha makaburi au walipozikwa ili ndugu zao wazike na wajue kwa uhakika ndugu zao waliuliwa na majeshi ambayo u have the control with.
Kuweka haya sawa serikali inatakiwa ijikane kwenye baadhi ya issues; mfano hata kwa kuingiza mfanye mna reform jeshi la polisi, Tume ya uchaguzi na mengine kama hayo wakati tukisubiri mchakato wa katiba mpya itakayotuongoza kwa vizazi vilivyobaki na vijavyo.